Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

JF Prefixes:

Location: Michamvi, Unguja, Zanzibar karibu na Karafuu Hotel Price: 33,000,000/= Tshs Contact: +255742004658 (WhatsApp only) •Ina vyumba viwili na vyote ni self-contained •Sebule •Dining room...
0 Reactions
10 Replies
244 Views
Nyumba Inauzwa. Ipo Vingunguti kituo Msikitini karibu na Tabata Barakuda. Ina Vyumba vinne(4), hakuna master bedroom. Eneo: Sqm 135.73 Nyaraka: Ina leseni ya makazi. Bei: Milioni 75 Karibu sana...
1 Reactions
1 Replies
154 Views
Ni eneo la biashara linauzwa. Lina frem za maduka 12. Lina Apartments, 4 zenye chumba. Self na sebule kila moja Lipo kibaha Misugusugu Pwani. Bei yake ni milioni 90. Umiliki hati ya...
1 Reactions
0 Replies
74 Views
NYUMBA (BINAFSI) NZURI IMEJENGWA KISASA INAUZWA MSUFINI MLANDIZI. IKO KWENYE CORNER PLOT, NI KILOMITA 1 TU TOKA MAIN ROAD LOC : KIBAHA KARIBU NA MSUFINI MLANDIZI AREA :SQM 534 PRICE : MIL 38...
0 Reactions
2 Replies
228 Views
SKY ROYAL Commercial and residential units for sale. Experience a luxury SEAVIEW city living in our stylish and modern project Located at MIKOCHENI. Our prime location offers easy access to...
0 Reactions
3 Replies
121 Views
Nyumba Inauzwa Nzega.Bei-35m Ina Vyumba 2 (Kimoja Master), Sebure,Jiko,store ndogo.Ina Umeme na Maji ya Mamlaka ya Nzega (Nzuwasa).Pia kuna Kisima cha Kuhifadhi Maji ya Mvua cha Lita 15,000.Uwanja...
1 Reactions
5 Replies
252 Views
Nyumba inauzwa kimara Temboni. Bei milioni 30 tu. Vyumba vitatu kimoja master Sebule jiko na choo cha public. Ukubwa wa eneo mita 20 kwa 20 Ukishainunua una malizia kufanya finishing tu Ina...
1 Reactions
17 Replies
553 Views
Habari Wana JF, Nyumba inauzwa ipo Chanika Masantula Dar es Saalam. Ina eneo la nusu heka. Ina vyumba vinne vyote master. Ina sebule, jiko, Stoo na dining kubwa tu. Ina nyumba ya uani ya vyumba...
1 Reactions
7 Replies
414 Views
Nyumba ipo Goba kwa Robert, * Ni nyumba mpya anakaa mlinzi tuu. *Ina vyumba vinne vikubwa ,kila chumba kina choo chake . *Ina Spanish tiles. *madirisha ni pvc *ina fence *ina vyoo (toilets) 5 ...
5 Reactions
29 Replies
3K Views
Apartments for Sale Nzuri sana ya kisasa, iko Mikocheni Karibu na palm village, barabarani kabisa. Fully furnished, 3 master bedroom, kuna gym na swimming pool. Inauzwa $220,000 ( Dola laki mbili...
1 Reactions
4 Replies
404 Views
Pagale ya vyumba vitatu, kimoja master, jiko, public toilet, dinning, sitting na store. Kiwanja ni 27*18 bei ni maelewano, Nyumba ipo Msomi! Boda 1000 kutoka Msumi center! Kama upo interested...
0 Reactions
9 Replies
429 Views
Habari za mvua Wadau. Nahitaji nyumba ya kununua maeneo ya kuanzia Ubungo kuelekea Kibaha. Kwenye Mfuko wa shati kuna TZS. 30M. Mawasiliano piga 0784636291. Ahsante.
2 Reactions
8 Replies
416 Views
Nyumba ya kisasa inauzwa ipo MAPINGA SHULE nyumba ya kisasa YENYE idadi ya vyumba vitatu master ipo moja lakini pia kuna NYUMBA za wapangaji kwa Nyuma YANI boy kotta zenye chumba sebule x 2 pia...
0 Reactions
2 Replies
314 Views
Zimejengwa katika kiwanja chenye ukubwa wa mita za mraba 1405 Kiwanja kimepimwa na kina Hati Miliki. Nyumba zinafikika. Kiwanja kimezungushiwa uzio kwa matofali. Huduma ya umeme na maji zipo...
0 Reactions
4 Replies
272 Views
NYUMBA INAUZWAAA BEI CHEEEE NYUMBA IPO KIGAMBONI MWEMBE MTENGU... Master 2 Living room 2 Kitchen 1 Public toilet 1 Dinning 1 Seating 1 Ukubwa eneo 400sqm(20*20) Bei milion 29 MAWASILIANO...
1 Reactions
6 Replies
536 Views
APPARTMENTS ZINAUZWA-KARIBU NA KITUO CHA DALADALA _____ SABABU YA KUUZA-BOSS KAKWAMA KIFEDHA ______ MAHALI-NKUHUNGU ______ UMBALI TOKA BARABARA YA LAMI-80M ______ -ZIKO APPARTMENTS 06 KWENYE...
3 Reactions
22 Replies
1K Views
Ina vyumba 4, viwili master bedroom. Kiwanja kikubwa, square meter 1200 Umbali km 1 kutoka Morogoro road. Umeme na maji vipo Bei milioni 45
1 Reactions
36 Replies
1K Views
Ina vyumba vitatu (3) vya kulala kimoja kinachojitoshereza ( Master bedroom) vyoo viwili, ukumbi na mahala pa kula, nyumba ya kisasa ina mvoto wa ndani na nje. Jengo lina lift, genereta, gym na...
3 Reactions
11 Replies
563 Views
Tuna furaha kutangaza uuzaji wa nyumba ya kupangisha ambayo bado haijakamilika. Nyumba hii ipo katika eneo la mbezi mwisho msakuzi. Nyumba ni mjumuisho wa apartment mbili ambazo kila moja ina...
4 Reactions
9 Replies
1K Views
Back
Top Bottom