Ngongo
Platinum Member
- Sep 20, 2008
- 21,341
- 37,832
Mzee wetu mpendwa Hemed Mmbaga amefariki dunia juzi hospital ya KCMC alikuwa akitibiwa ugonjwa wa moyo.Mzee Mbaga alikuwa mkuu wa magereza mkoa wa Arusha pia kati ya mwaka 1980 - 1985 alikuwa mbunge wa Arusha mjini baada ya kumwangusha marehemu Ole Saibul.
Mzee Mmbaga anatarajiwa kupumzishwa kesho jumapili nyumbani kwake Usangi.Mzee wetu ameacha mke mmoja na watoto nane.
Mungu kampenda zaidi.
Amen.
Mzee Mmbaga anatarajiwa kupumzishwa kesho jumapili nyumbani kwake Usangi.Mzee wetu ameacha mke mmoja na watoto nane.
Mungu kampenda zaidi.
Amen.