Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kuna aina mbalimbali za laana zinazoaminiwa kuathiri maisha na mwili wa binadamu, pamoja na mbinu tofauti za kujikinga kulingana na imani za kidini na kijadi. hizi laana zimegawanywa kulingana...
15 Reactions
63 Replies
910 Views
Kifupi yaani huyu demu katokea kunielewa code ninazopiga sababu ni pamba Kali na kunukia pafyumu nzuriMimi ni mtaalamu sana wa kupangilia pamba Sasa huyu jamaa yeye kuva hajui na pesa Hana Sasa...
10 Reactions
174 Replies
3K Views
Ambao mpo kwenye mahusiano mnavyo wasiliana kila siku huwa mnaongea nini ??
8 Reactions
53 Replies
1K Views
SINGIDA: Mwanamke aliejifungua Mtoto japokua hajakutana kimwili na Mwanaume kwa miaka mitatu, asema yuko tayari kuhojiwa.
5 Reactions
105 Replies
11K Views
Upo kipindi gani Therapy,Gym au devorce Au vyote kwa pamoja Au maombi🤣
8 Reactions
32 Replies
460 Views
Bado naikumbuka Ile siku jembe langu, ili kuwa saa 11 asubui nili amka ili ni download nyimbo mbili tu za kusikiliza asubui hiyo. sijui Kama ili kuwa ni kuandaliwa au kujulishwaa, ila sikumbuki...
6 Reactions
29 Replies
2K Views
Wapo wanaume wanaokopa fedha ili kufanikisha harusi. Je, hiyo ni busara au ni presha?
8 Reactions
20 Replies
318 Views
Habari wanajf kipindi namfukuzia manzi ilikuwa ni 2019 hiyo tukakubaliana kabisa tuonane so akaniomba nimtumie nauli nikamtumia ilivyofika muda tulipanga tuonane simu yake ikawa haipatikani...
15 Reactions
61 Replies
1K Views
UZI WA KIJOBLESS NA MBINU ZA KIDIGREE (Utatu wenye utata) GAP YEAR......!!! Kati ya mwaka 2017_2018, inaweza kuwa mwanzoni au mwishoni mwa miaka hio kumbukumbu zangu hazijakaa vizuri...
4 Reactions
20 Replies
3K Views
Maisha yamekuwa magumu sana, imenibidi niitishe kikao cha dharula kwa hawa wapenzi wangu 11, kila mmoja aandike insha ya ukurasa mmoja yakueleza, zaidi ya tendo la ndoa wana nini cha kunipa...
12 Reactions
31 Replies
627 Views
Habari everyone. We're too weary... you did it long enough, no more chance for that. haipiti week mwanaume analeta uzi analia sijui kaachwa, mara sijui anaitwa bahili na vitu kadha wa kadha...
20 Reactions
139 Replies
1K Views
Ni yupi anayebisha ? Siambi kujipa sifa, tena ambazo sinazo Hunifuata sharafa, mahali penye mzozo Wanijua makhalifa, nawachangia mawazo Kunao wengi magwiji, tena watajika haswa Kuna mafundi...
7 Reactions
11 Replies
213 Views
MWANAMKE AKIKUAMBIA TUACHANE. MUACHE SIKU HIYOHIYO HATA KAMA ALIKUWA ANATANIA. Anaandika, Robert Heriel Tz Mtibeli 1. Usimuulize Kwa nini? Usitake kujua sababu. Amesema mwenyewe. Hukumlazimisha...
16 Reactions
59 Replies
1K Views
Mambo ya kuoa mke wa mtu 😀😀🔥 Natafuta Ajira
14 Reactions
65 Replies
2K Views
Katika Moja ya onesho la Akon, mwaka Fulani, kamera ilimulika jamaa Moja big man, allipo. Kuwa akisikiliza performance ya lonely Kwa hisia huku akilia. Nyimbo inahusu mwanamke alie amua kuondoka...
1 Reactions
0 Replies
151 Views
Baada ya MKE kurudi kwangu na kuconfess makosa yake yote na yale ambayo nilikuwa sijui...,,, Na akasema ametambua makosa yake yote ndo amekili ametaka MOYO wake uwe huru... Na amesema...
7 Reactions
35 Replies
1K Views
Habari zenu Nimefika Dodoma nikaopoa kipoozeo flani hivi hapa mitaa ya nkuhungu. Oya,hiki kitoto cha kihehe kina mbunye ya moto na tamu balaa,kinakata mauno kama feni. Kwa kweli wanawake wa Dar...
5 Reactions
32 Replies
1K Views
Habari za wakati huu wakuu, Nimekuja kwenu kuomba mtazamo tofauti juu ya jambo ambalo limekuwa likinitokea mara nyingi sasa mpaka nimeanza kujihoji mwenyewe. Tatizo langu ni hili: Kila...
16 Reactions
102 Replies
1K Views
Taa ndogo ya chumbani ilikuwa ikitoa mwanga hafifu wa rangi ya machungwa, ikimulika nyuso zetu tukiwa tumetazamana kwa ukaribu ambao ulifanya hata pumzi zetu zigongane. Nje, upepo mwanana wa usiku...
8 Reactions
18 Replies
480 Views
Back
Top Bottom