Shikamooni wakubwa kaka, dada zangu na wengine.
Mmh Leo Nina furaha nimeamka tangu alfajir najikuta nina mudi ya kazi ,mpaka saa moja kamili nilishamaliza kila kitu kuanzia kufua , kufanya usafi...
Wala msihusishe mambo ya mahusiano hata kama una mahusiano yako humu basi yawe mbali na marafiki zako humu
Mkishavuana tu hicho kifuniko cha utamu basiiii urafiki umekwisha
I thank God for this...
Aisee sijui kanda ya ziwa wanawake wao wana shida gani yaani ni rahisi kumpata msichana bikra kanda ya pwani ila ngumu sana ni kama ngamia kupita kwenye tundu la sindano ndivyo ilivyo ni ngumu...
Ukichagua mwanamke anayefanya kazi ya kuajiriwa, lazima ukubali kwamba hawezi kushughulikia kazi za nyumbani zote.
Ukichagua mama wa nyumbani anayekujali na kusimamia nyumba yako vizuri, lazima...
Greetings
Hivi wakuu, kwa mwanaume kuonekana uko romantic kibongobongo ni pamoja na kugawa pesa hovyo kwa kila shankupe unalokutana nalo hapa mjini?
Iko hivi kuna shankupe flani nilikutana nalo...
1. Siku ya kwanza mnaona kawaida tuu Kila mtu anahisi mwenzake atamtafuta. kisanga kinaanza siku ya pili ya ukimya.
2 : Siku ya pili inaisha hapo Kila mtu anaanza kupata wasiwasi, Kila mtu...
Wakuu nilidhani kutofikia malengo ninayojiwekea ni kwasababu ya kuhonga michepuko hivyo pesa hazikai cha ajabu toka mwaka jana nikablock michepuko yote na kufanikiwa kupunguza gharama za...
Takwimu zinaonyesha kwamba waume wanaowabusu wake zao kabla ya kwenda kazini huishi miaka mitano zaidi.
Na pia hupata hadi asilimia 35 zaidi ya kipato kuliko wale wasiokuwa na tabia hiyo...
Huyu demu nilimpata kupitia hizi dating app kama ilivyo kawaida siku hizi. Unajua tena maisha ya sasa - watu wengi wanakutana mtandaoni, wanaongea kidogo, halafu wanaamua kuonana.
Yeye aliniambia...
Oscar Wilde anatoa mtazamo wa kejeli na wenye utata kuhusu mahusiano ya kimapenzi.
Akimaanisha kuwa mapenzi ya kweli mara nyingi huja na maumivu, wivu, hofu ya kupoteza, matarajio makubwa, na...
Serikali ya Uingereza iliwafukuza baba, mama, na watoto wao watatu kurudi Nigeria baada ya kuuza mali zao zote na kukopa 40,000,000Tsh ili kuhamia Uingereza.
Tobore aliuza nyumba yake huko...
Kuna aina mbalimbali za laana zinazoaminiwa kuathiri maisha na mwili wa binadamu, pamoja na mbinu tofauti za kujikinga kulingana na imani za kidini na kijadi.
hizi laana zimegawanywa kulingana...
Kifupi yaani huyu demu katokea kunielewa code ninazopiga sababu ni pamba Kali na kunukia pafyumu nzuriMimi ni mtaalamu sana wa kupangilia pamba Sasa huyu jamaa yeye kuva hajui na pesa Hana Sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.