Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wazee, ipo hivi; kuna vijana tunahitaji sana, tena sana, kupata familia au kuanzisha familia na wenza wetu tunaowapenda. Shida inaanzia pale mzazi, yaani mkwe, unaponipimia mahari kama vile...
2 Reactions
15 Replies
287 Views
Baada ya jana kutua Bongo Leo Nimeenda saloon kunyoa, maandalizi si unajua tena, baadae naambiwa vua shati na vest tufanye scrub ya mgongo! Ha! sasa mimi nimekuja kunyoa nywele, hilo suala la...
3 Reactions
22 Replies
3K Views
Kuna dogo ana miaka 28 bado hajaoa ila ana girlfriend wake ambae wamejuana takribani miezi minne hivi bila tatizo, kaja kwangu kaka yake aje nimpe ushauri hasa ukizingatia binafsi nimeshaoa na...
8 Reactions
111 Replies
6K Views
Tupate maana tofauti tofauti ya Mapenzi 1 Ni hisia kali juu ya mtu ambaye mna jinsia Tofauti 2. Ni jaribu la kutesa moyo bila Utaratibu 3. Ni upofu wa Muda mpaka mtakapo achana Najua kila...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Habari.. Nilicho kuja kugundua kwa hawa mabinti wa kilokole wanaojiona wafia dini, nyuma ya pazia wanapenda sana kunyanduliwa ipasavyo . Bint utamuona ni mlokole haswa mbele ya jamii na mbele...
9 Reactions
20 Replies
4K Views
Love a woman she will use you, you put her first she puts you last. You text back in 2 minutes she leaves you on read for 2 days. You open your heart she opens her legs. Use a woman she will...
0 Reactions
0 Replies
94 Views
Kwanini mara nyingi wanaume wanaopewa limbwata ni waswahili au waafrika? na unashangaa wazungu wanawapenda waafrika wanawake lakin hawapewi limbwata? Au tafsiri ya limbwata ndo tunakosea, au...
5 Reactions
25 Replies
3K Views
  • Redirect
Jamii ya magharib inatumia mbinu nyingi kuhakikisha Tanzania inatumbukia kwenye huu uchafu. Maeneo ya zanzibar na Dar ndiyo yamekuwa maeneo sugu.utakuta watoto wa kiume wapo...
1 Reactions
– Replies
– Views
Either kwa unyanyapaa au kunyanyaswa kingono. Ndio maana anaposikia uchungu shemeji ndio namba moja ya reaction yake kuja mdomoni maana ana uchungu nae.
1 Reactions
1 Replies
82 Views
Yani kazini wadada wananiambia, we mzuri au umependeza sana n.k lakini sijawai kuona jamaa wakisema kama ata ile ya kiume kua " aah mwanangu umetokelezea kinoma" kwanini? ni roho ya kwanini au ni...
7 Reactions
87 Replies
1K Views
Naingia kwenye mada straight away bila kuwachosha. Mada hii inatokana na utafiti binafsi nilioufanya hivi karibuni. Ndugu zangu mabachela mnaotafuta wanawake wa kuoa nawaomba muwe makini sana na...
8 Reactions
50 Replies
5K Views
"Wewe ni shujaa unayepambana kila siku bila ngao. Upendo, nguvu, na ustahimilivu wako unajenga mustakabali wa watoto wako, hata pale unapohisi umechoka au haitoshi. Kumbuka kuwa kila tone la jasho...
4 Reactions
31 Replies
361 Views
Kama certified singo maza wa one kid onze earth na anaza kid inze womb naandika hii huku tuchozi tukinilenga coz hakuna kitu inauma kama kuukubali ukweli unaotamani uwe uwongo. Pamoja na kuwa...
22 Reactions
205 Replies
2K Views
Miaka ya 90 katikati kuna filamu fupi iliyoitwa 'Silent Scream' ilikuwa ya kutisha na kuzunisha mno, ilihusu utoaji mimba, ikionyesha wazi wazi mikasi, sindano na madawa vilivyokuwa vikiteketeza...
4 Reactions
30 Replies
3K Views
Binafsi BushDokta naamini ktk tiba ya mizizi na mimea kama ilivyokuwa hapo kale. Kamwe siamini ktk ushirikina au mambo ya mauza uza. Mwaka fulani nilikutana na Msichana Mrembo mzuri anavutia...
3 Reactions
49 Replies
807 Views
Nawapenda tena nawapenda sana. Kwanza nianze na kukasirika kama kuna watu wanajifanya wanajijua vile, eti mzuri sana wewe jinsia gani, niseme tu haiwauhusu! Sasa naomba nianze na mada yangu...
10 Reactions
205 Replies
8K Views
Baada ya kuandika uzi kuhusu kumtelekeza mke wangu maana nimegundua amenichiti sana kipindi anasoma chuo miaka mitatu imepita, Sasa wakati natafakari njia nzuri ya kumuacha maana bado Niko nae...
2 Reactions
16 Replies
373 Views
Kabla ya kuwa na mwanaume (mimi), mahitaji yako yaliyohitaji fedha ulikuwa ukiyatatua vipi? Ni nani aliyekuaminisha ya kuwa, ukishakuwa na rafiki wa kiume, tayari umemiliki ATM? Hallo, nimechoka...
11 Reactions
104 Replies
839 Views
Mwaka 2023 kama sio 2024 niliweka uzi hapa unaohusu upweke na kujitenga sana kwa upande wange,basi kuna dada mmoja akanifuata pm,tukawa tunachati baadae tukawa tunawasilia kwa whatssap,yeye ni...
27 Reactions
168 Replies
3K Views
Wanawake wanaojiuza kimboka, kwenye bar na clubs wanaosemwa na kuchukuliwa vibaya sana na jamii lakini mimi nafikiri hao wako wazi zaidi, sio wanafiki na wanafanya biashara rasmi. Wanawake...
14 Reactions
65 Replies
927 Views
Back
Top Bottom