MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 15,524
- 39,116
Ni hivi, kwenye mahusiano ya kimapenzi kuna hali mbili kupendwa ama la.
Mapenzi siyo kitu cha kudumu kama nyumba, hisia za mtu zinaweza kuwepo na kupotea.
Ukiachana na mapenzi ya wanafamilia, wazazi na watoto wao ambayo nayo pia siyo guarantee, mengine ni maigizo
Cha msingi ujue na ukubali huo ukweli mchungu.
Tafakari chukua hatua. SITAKUFUNDISHA TENA