Paul dybala
JF-Expert Member
- Jul 30, 2023
- 553
- 2,266
Wakuu poleni sana na majukumu,,..ama Kwa hakika kwenye hili jukwaa wapo wataalamu na wajuzi na wenye experience katika maswala ya mahusiano..Niende Moja Kwa Moja kwenye mada na kiufupi kabisa..,,ebhna mimi baada ya kufanya uchambuzi yakinifu nimebani kuwa mimi ni backup plan Kwa demu wangu...Yaani kiufupi ni option no 2(second choice)...Yani ninakuwa na wakti mzuri sana mambo yanapoenda vibaya katika penzi la huyu mwanamke wangu na jamaa yake ..bhasi hapo ntapata kila kitu,,mwili wake,muda wake simu haziishi na wivu mwingi so...ni jambo zuri kwangu nafurahia na pia nainjoy isitoshe nampenda sana huyu mwanamke.
Achilia mbali hayo...zipo sababu ambazo naamini ni kigezo Cha kupendwa ,,kwanza kabisa hanisumbui kuhusu pesa,,Tena yeye hunikopesha muda mwingine za kwake,,la pili..hata ingekuwaje yeye ndio ananitafuta Mimi sio Kwa simu Wala Kwa sms yaan sijawahi kujali kuhusu kumtafuta. Tayari Kwa hilo nimefanikiwa,,sabb hakuna kinachonizuia kumtafuta sababu sio mke wa mtu..ni anakaa kwao,,hoja zake licha ya changamoto za muingiliano wa kimahusiano na upande wa tatu ...yeye husema Mimi ananipenda kusex na mwili wangu Yani jinsi nilivyo.
Hivi karibuni limetokea tukio baya kwangu nilitoka out nae..Sasa sijajua jamaa alipataje taarifa hadi akafika eneo la tukio basi tukiwa tumekaa tunapata vinywaji na story za hapa na pale mm sikuwa na mjua ila gafla nikamnot uchangamfu umepungua,,ndipo nilipo muuliza mbona umepoa akakili kweli jamaa ninae muona meza ya jirani ndio huyo mtu wake(sikuwa na mfahamu),,,nikamwambia mimi sina wasiwasi ila akianzisha vurugu sitokuwa mnyonge ..akanisihi sana nitulie na ata handle situation kila kitu kitakuwa sawa na ikiwezekana niende home yeye angemalizana na jamaa yake atanitafuta ...sikuwa na shida Kwa sababu sikuchokozwa na jamaa yeye alifata mtu wake...Usiku wake demu akanitafuta na kunielezea kuwa alimdanganya Mimi nilienda kumpa kampani ni rafiki ake tu...nikamhoji kwanini hufanyi maamuzi magumu,..au mimi ndio nijiachie akasema mimi naonaje Kwa sabb Kuna muda kweli ananionea huruma ila sio kiurahisi hivo kumuacha huyo jamaa...ko nikamwambia Mimi sitoweza kuendelea tena na wewe...ikaisha hivyo ila Sasa Nina mpa mwezi mmja tu ikishakuwaga tumeachana hivyo ni lazima atanitafuta tu..mwishowe itakuwaje? Nishaurini ndugu zangu....naweza kufanikiwa akawa wangu Moja Kwa Moja au napoteza muda?msinishauri kumuacha.