Acheze mbali na mke wangu nitaua bila kukusudia

Acheze mbali na mke wangu nitaua bila kukusudia

KAOROGOMA

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2015
Posts
529
Reaction score
904
Niko mbali kidogo na kwangu ambako niseme nje ya Bara la Africa kabisa,

Mke wangu kakwama sehemu akawa amemuomba msaada jamaa yake mmoja msaada bila kunihusisha, sasa lichojibiwa ndo akanihusisha.

Hapa mawazo hayapo kichwani tena maana wanaume wengi wabunifu wa kuwadanganya wanawake na kuwapata.

Ona;

IMG_20180315_173044.png




Baada ya hapo nikampa ushauri huu


[15/03, 17:09] my number: Hakuna urafiki kati ya mwanaume na mwanamke hata siku moja, lazima mazingira yatengenezwe mtu aliwe hivo sitaki urafiki wako na huyo jamaa uendelee full stop, wanaume huja kwa njia nyingi tu, we hujui muda wa kukupa somo ilo bado, yaani mimi ni mwanaume najua na ninaelewa sana.

Na ubaya wa wanawake huwa wepesi kuamini sijui kwanini, wanawake wengi wameliwa ndo wa akuna kugundua ukweli.

Wanaume hutumia mbinu nyingi mno sana.
1. Mtu hubadiri hadi tabia ampate mtu, hata kwaya wengine ujiunga, kabisa na kuanza kuhubiri neno.
2. Wengine kuonesha hata miradi isiyo Yao na kuwahadaa wanawake na wanawake akili fupi uingia kingi mifano mingi nami nimeitumia Sana hiyo Mifano.

3. Majumba mtu huonesha mpaka majumba ya shirika kwamba ni yake au mwingine anakuwa kapanga muda mrefu anadanganya kwamba mi yangu na mwanamke anaelewa Tu hahahaha Mungu huyo.

[15/03, 17:13] My number: Mwingine hata magari wanatembelea ya serikali wanawake wakiyaona wanadhani ni ya mabwana wanaowatongoza, wengine kujifanya walokole kabisa, wengine hujifanya wamiliki wa maduka makubwa kumbe ni wahudumu mle tu.

Na bahati mbaya hakunaga mwanamke mwenye ujasiri wa kusema nioneshe hati miliki au wa kuuliza nyaraka za umiliki wa vitu anavyotambia I know mimi ni mwanaume, kwa wengine anakudanganya sijaoa kumbe ana mke, mwingine wameachana na mke kwa tabia chafu chafu anakwambia yeye ndo kasalitiwa , mwingine atakwambia mke wangu kafa kwa ajali kumbe UKIMWI na hao huwa wajanja hutanguliza story tamu za kwamba mi sifanyi mapenzi na mwanamke mpaka nipime kumbe anamuandaa mwanamke kisaikolojia ili amtafune yaani majanga mengi mno.

15/03, 17:13] wife : Nimekuelewa mume wangu na namba yake naiblok kabisa.
 
Naona mkeo anakuzuga tu apo ili ujue jamaa alimtaka, wanawake wengi hufanya ivo ili kuondoa saspisheni kwa waume/wapenzi wao atakwambia flani anantongoza, flani ananisumbua nawe ukiwa na kichwa kibovu unaanza kupanic.

Kwanza fikiria alietengeneza mazingira ya kuombwa kidudu ni mkeo anakopaje ela kwa mwanaume ambae sio kakaake
 
Ni kosa lako kutomwachia pesa ya kukidhi mahitaji yake . Kama sivyo,basi itakuwa ni tamaa zake zinampelekesha. Mwanamke kukukopa pesa ni kukutega tu coz anajua hutoweza kumdai, utamwachia tu either freely or with something else to pay instead
 
Back
Top Bottom