Huyu mke wa mtu ananiweka kwenye wakati mgumu

Melki the Storyteller

JF-Expert Member
May 3, 2022
5,701
9,779
Twende kwenye kisa:
Mwaka 2022 mwezi September kuna binti nilivutiwa naye kutokana na kuwa na sura yenye nuru na tabasamu, shape 8 na trako la kwenda likiwa na tabia mbaya ya kunesa nesa. Aliajiliwa kwenye duka la mtu. Hivyo nikaamua kumfukuzia, sikupata majibu ya kufurahisha, lakini pia sikupata majibu mabaya pia. Hivyo nikaamua kuachana naye kutokana na kiburi cha uzima nilichobarikiwa chenye kauli mbiu ya "Mwanamke habembelezwi"

Mwezi November yule binti alianza kunionesha kuvutiwa na mimi kana kwamba ni mtu aliyehitaji attention yangu, kwa kuwa nilikuwa tayari nishachefukwa, sikumuhitaji kabisaaa, baada ya muda kupita upendo wa binti dhidi yangu ilikwisha, pia upendo wangu dhidi yake ulikwisha pia, hivyo kila mtu akafuata njia yake kama sio kumuumiza kwa kutafuta binti mwingine na kupetiana naye mbele yake. Utoto raha sana. Mwezi Desember huyo binti alitokomea kusikojulikana

Juzi jioni nalimuona huyo huyo binti kwenye situation ambayo sikuiamini kirahisi, alikuwa na katoto ka kiume umri miaka mitatu hivi baada ya kuulizia waliokuwa wanamfahamu ndipo kunisanua kuwa huyo binti ni mke wa mtu tangiapo

Ndugu wana JF, hiyo siku ya juzi nilipomuona huyu binti, kwa kweli alifana sana, hastahili kabisa kuitwa mwanamama, ni mbichi mbichi mbichi, yaani kana kwamba hajawahi kuzaa, sio kwa huo mzigo alioshonea, huo weupe sasa mara dufu. Nikiwa katika hali ya taharuki, aligeuka na kunitizama kisha kuendelea na safari, kufika mbele akageuka tena akanitupia bonge la tabasamu lilioambatana na mkonyezo mmoja wa hatari sana. Nilijikuta tayari Bwana Mkubwa ameshaanza kutatua zipu ya suruali kwa maumivu makali sana. Nilibaki nikiutazama ule mneso kwa hulka sana mpaka pale ulipoishia. Dah! Mola anaumba

Mola anisaidie nisiwaze kabisa kula mke wa mtu. Mke wa mtu sumu
 
Hapo unacheza na ubongo wako tu, sex is over rated.......
 
Wazungu bhn mara ooooh ustamani mke wa mtu haya sasa unaona hiyo😆
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom