mr pipa
JF-Expert Member
- Jul 26, 2021
- 2,331
- 4,857
Isi unavyoweza, kutokana na ndoa kuwa ngumu kila dume lililopo kwenye ndoa kulalamika ooh namuhudumia lakini haniheshimu ananisaliti nk sasa kwangu nimekuja na mfumo wa fo4 fo4 two huu mfumo, upo hivi unamuhoji kwanza wife unataka pesa? Je unataka kuingiza kipato uwe na uhuru kipesa? Akijibu ndio kinachofuata vigezo na mashart kuzingatiwa, anatafutiwa kazi au anapewa mtaji kila mwisho wa mwez ukifika lazima nihoji mshahara upo wapi? Na ukipatikana kama laki sita laki mbili zake laki nne za mzunguko wa nyumbani na maendeleo na hiyi ndio inaitwa 50/50 broo hawana shukrani hao hata ukisema ujitoe utaishia kujiua sa we jifanye unakaza fuvu matokeo utayapata, mwanaume umeagizwa kuwa kichwa, msimamizi, kiongozi, msimamie mkeo onyesha uanaume sio kisa mbususu basi unakuwa jinga jinga, nyinyi ni mwili mmoja mkeo ni kama msaidizi wako, wanaume weng tunalia lia tokana na kutokusimama imara kama mwanaume mmeacha utaratibu wa babu zenu mnaiga utaratibu wa kipuuzi, matokeo yake every day wanawake wanawake wanawake