Kufanya kazi TANESCO kumepelekea kumkosa mrembo kimasihara

Melki the Storyteller

JF-Expert Member
May 3, 2022
5,701
9,779
Mpaka sasa najuta sana kulisikia neno "TANESCO" masikioni mwangu. Basi bhana! Mida ya saa 12 niliwasili hapa Ubungo kwenye hii fly over ya Kijazi, pembezoni mwa jengo la mitambo ya umeme

Nikiwa nimeshikilia zangu kibahasha chenye pea tatu za kyupi mdangio kwa ajili ya mteja aliyehitaji delivery, (nikiwa namngoja) nalishangaa kumuona mwanamke mmoja mzuri sana kuwahi kutokea hapa chini ya jua na peponi kwa ujumla

Alikuwa na umbo la nyigu mwenye upwiru, ngozi ya zambarau, nywele za singa. Pia alikuwa ni mwenye adabu nikiwa na maana ya mwanamke mwenye tako mbudule yaani matikiti kudondokeana

Kwa kuwa nilivalia traki la bluu ambalo kimuonekano unaweza dhania ni ovaroli, nikachekecha kichwa kwa haraka ili nimnase pasi na mashaka. Nikaona wacha nitazame miwaya waya ndani ya lile jengo huku nikijaribu kumakinika sana kana kwamba nasolve hesabu za Dr. Heinstain

Yule mwanamke aliponikaribia nikaamua kumuhamishia attention. Baada ya salamu nikaingizia hoja za "Nilikuwa najaribu kutafakari huo waya, maake ndio unaosafirisha mawasiliano ya umeme Ubungo nzima kuelekea Mbezi mwisho, najitahidi sana siku ya leo umeme usijaribu kuzima hata kidogo. Kwani dada yangu ulikuwa unaelekea wapi labda nikupe kampani?"

Mwanamke wa watu akaamua kuniuliza, "Umesema wewe ni mfanyakazi wa TANESCO?". Nikajua nimekula shavu, nikaongezea nyama nyama "Sio mfanyakazi, mimi ni Mkurugenzi Mfawidhi". Yule mwanamke akanipatia msonyo wa nguvu, akamalizia na neno "TANESCO hiyo kwio". Akaondoka zake

Ni mara mia ningezuga kuwa Gerejian huenda ningeibuka na hiyo mama. Namuomba mama awatandike viboko watumishi wote wa TANESCO kwa dhambi kubwa ya kunikosesha utelezi

Ni hilo tu
 
😂😂😂😂😂😂😂😂
 
The story teller :D Anyways vikubwa pia vilianza vikiwa vidogo nawe ungeanzia chini ungepata kiulaini kabsa we ni ni wa kule kaskazini mashariki ety
 
Hii ya baridi, ipashe kidogo
Kweli hii ya baridi alipaswa airudishe jikoni ipate kajoto kidogo...
Screenshot_20231203-111406.jpg
 
Mpaka sasa najuta sana kulisikia neno "TANESCO" masikioni mwangu. Basi bhana! Mida ya saa 12 niliwasili hapa Ubungo kwenye hii fly over ya Kijazi, pembezoni mwa jengo la mitambo ya umeme

Nikiwa nimeshikilia zangu kibahasha chenye pea tatu za kyupi mdangio kwa ajili ya mteja aliyehitaji delivery, (nikiwa namngoja) nalishangaa kumuona mwanamke mmoja mzuri sana kuwahi kutokea hapa chini ya jua na peponi kwa ujumla

Alikuwa na umbo la nyigu mwenye upwiru, ngozi ya zambarau, nywele za singa. Pia alikuwa ni mwenye adabu nikiwa na maana ya mwanamke mwenye tako mbudule yaani matikiti kudondokeana

Kwa kuwa nilivalia traki la bluu ambalo kimuonekano unaweza dhania ni ovaroli, nikachekecha kichwa kwa haraka ili nimnase pasi na mashaka. Nikaona wacha nitazame miwaya waya ndani ya lile jengo huku nikijaribu kumakinika sana kana kwamba nasolve hesabu za Dr. Heinstain

Yule mwanamke aliponikaribia nikaamua kumuhamishia attention. Baada ya salamu nikaingizia hoja za "Nilikuwa najaribu kutafakari huo waya, maake ndio unaosafirisha mawasiliano ya umeme Ubungo nzima kuelekea Mbezi mwisho, najitahidi sana siku ya leo umeme usijaribu kuzima hata kidogo. Kwani dada yangu ulikuwa unaelekea wapi labda nikupe kampani?"

Mwanamke wa watu akaamua kuniuliza, "Umesema wewe ni mfanyakazi wa TANESCO?". Nikajua nimekula shavu, nikaongezea nyama nyama "Sio mfanyakazi, mimi ni Mkurugenzi Mfawidhi". Yule mwanamke akanipatia msonyo wa nguvu, akamalizia na neno "TANESCO hiyo kwio". Akaondoka zake

Ni mara mia ningezuga kuwa Gerejian huenda ningeibuka na hiyo mama. Namuomba mama awatandike viboko watumishi wote wa TANESCO kwa dhambi kubwa ya kunikosesha utelezi

Ni hilo tu
Wambwaweee kila siku watu wanalazwa Giza alafu upate mseleleko kiraisi mpk mseme 😂😂
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom