Mpenzi wangu ana shida kichwani si bure. Eti anampenda sana Jay Melody mbele yangu

Melki the Storyteller

JF-Expert Member
May 3, 2022
5,701
9,779
Hawa viumbe wana shida ndugu zanguni. Muda huu tumetoka kuachana njia, yeye kaelekea kazini kwake na mimi naelekea mahali nikabadili hii suti yangu ili nivae vikali vyangu vya kutembezea nguo za ndani pale Sinza

Yaani tukiwa kwenye chombo cha usafiri wa umma, binti huyu alikuwa akitazama ngoma ya Diamond, Mr. Blue na Jay Melody ya Matikitiki kudondokeana. Ndipo akawa anatabasamu sana huku kayalegeza macho yake, udelele mlaini ukimtoka kumkinywa mpaka watu wanamshangaa. Mara ghafla nikasikia akirejelea "Na kibaridi hiki...", akamalizia kwa kusema "Nampenda sana Jay Melody kutoka moyoni mwangu, sipati picha nikipata bahati ya kuwa naye...". Neno lililomalizikia kutoka moyoni mwangu ni "...unampatia mbususu...". Moyo umeuma sana ndugu zanguni

Yaani hapa tulivyoachana kwa njia, ndivyo hivyo tumeachana kimapenzi. Haiwezekani ampende mtu asiyempatia hata 100 halafu mimi ninayepasuka sijawahi kusikia kutangaziwa kuwa napendwa kwa watu wengine

Inauma sana
 
Wanawake ni viumbe wa ajabu sana. Mimi mwanamke wangu amewahi kumsifia jirani yangu kwamba ana macho mazuri. Nikampiga chini hapohapo
Wa kwangu alikuwa akimuangalia christiano ronaldo akikiwasha uwanjani anakuwa wet, kuna siku nilimfuma anajipiga selfie huku anaangalia picha ya ronaldo kwa simu, nilishangaa sana, akataka kuacha nikwamwambia endelea tu mama, raha jipe mwenyewe, kumaliza akaniambia njoo nikupe ktu kzuri, akanitunuku kule, akasema najua ulikwazika, naomba unisamehe.
 
Hatari
 
Ni kawaida hiyo, wewe umemzidi nini jai melodi??
Na ukimuangalia huyo manzi yako alivyo anaweza walau kuruka kiwanja chochote na akageuza shingo za wanaume??

Mambo mengine unapotezea tu maana hata yeye anajua haiwezekani ndo mana anaropoka akijua hata wewe unawaza hivyo.
Ila kama mwanaume ni lazima umrambe biti kali, asirudie.
 
Back
Top Bottom