Donatila
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,557
- 21,513
Habari wakuu,
Husika na kichwa cha habari tajwa,
Niende kwenye mada isemayo utapeli wa mapenzi unafanyika siku ya Valentine Day.
Kama mjuavyo mwezi huu wa pili tar 14 Huwa ni siku ya wapendanao.
Siku hii hiitwa Valentine Day na inaadhimishwa na Dunia karibu nzima.
Siku hii imekuwa ni ya tofauti yaani kwa mapokeo kwa wapendanao na wale ambao wanasaka wapenzi Bado.
Kwa wale ambao walio na wapenzi au ndoa, wao huitumia kukumbushana mapenzi na kupeana zawadi.
Hawa Sina habari maana wao Huwa ni sahihi kufanya hivyo.
Nipo na wale ambao wanatumia mwezi huu kutapeli wanawake kimapenzi.
Watu wengine ni Hawa ambao ni Hawa vidume wenye kiu na ngono.
Kama kuna kipindi ambacho wadada wanatumika ni hiki, maana wanaume washajua udhaifu ni vizawadi.
Basi wao hununua na kuwapelekea na kuwatafuna kama nyama choma.
Hapo ndipo utapeli unapoanza, maana wanaume wwanakuwa wanatumia Valentine Day kama utapeli kwa wanawake.
Mbaya zaidi wanawake hawajui, wakishatolewa tu mtoko na vizawadi kidogo wanajiachia chanuu.
Bado siku chache watu watapeliwe mapenzi na vidume vyenye kiu.
Siku hiyo nyumba za kulala wageni zinajaa balaa maana ndio wanapowatapelia.
Valentine Day siku ya wanaume kutapeli wanawake kimapenzi...