Kwa vijana wa zamani watakumbuka jinsi huduma ya kunyoa nywele ilivyokuwa ikitolewa.
Kama siyo chini ya mti mkubwa wenye kivuli basi ilikuwa ni kwenye vibanda vidogo vidogo ambavyo kulikuwepo na...
am the most luckiest man on this world!
They say that the three top reasons for problems in relationships are, and not nessasarily in this order:
1. Money, how to spend it, how to save it or...
is it bad to keep the prizes of past r/ship as souvenirs?
Elizabeth is currently dating a 34-year-old guy who is very loving and caring to me. However, he is very cautious and secretive about...
Zamani kidogo wenye pesa na kazi nzuri walikuwa na uhakika wa mapenzi bora na furaha kwenye ndoa au familia ila siku hizi masikini na matajiri wote twaimba wimbo mmoja, siku hizi masingle maza...
Unaogopa Kuchitiwa Wakati Wewe Ndiye Bingwa wa Michezo!
Dunia ya sasa imekuwa ya ajabu sana, hasa hapa mjini ambapo kila mtu anajifanya mjanja. Lakini kuna ile hali moja inayovunja mbavu na...
Nilipita twitter nikakuta mtu ame tweet kwa ku list account zinazotuma mauthui ya ngono, nikasema ngoja niangalie kidogo. Sasa cha ajabu, account zaidi ya nne, video ni nyingi sana na ni za...
Shikamoon wakubwa zangu wote
Wadogo zangu hamjambo.
Leo ni siku nzuri Sana kwangu,
Si kwamba siku nyingine huwa mbaya,hapanaa,bali ni kwamba jambo likija wakati mzuri huwa moyo unafarijika...
Kuna kitu watu wengi hawataki kukisikia… unaweza kuwa baba kibaiolojia lakini ukafeli kuwa baba wa mtoto wako emotionally.
Tumeona kisa cha Dudubaya na mwanae Wille kinatoa somo kubwa sana. Watu...
Wakuu adui namba moja wa taifa hili ni ccm wanachopigania ni chama chao kutawala ili kuendelea kuiba na kulinda walichoiba ndiyo maana watapishana vipindi vingine tu ila kipindi cha uchaguzi...
Ndg zangu Kheri iwe nanyi
Wanaume jambo la msingi na muhimu inatakiwa tujue sisi ME ni wachache sana ukilinganisha na wenzetu KE hivyo tunapoleta Uzi humu kuwaasa na kupeana mbinu na ushauri si...
Wakuu tayari kishanilamba
Huyu single mother ashaanza kuniletea mapicha picha aisee kila rangi naiona
Inafikia muda ananizuia nisimtumie mama yangu hela.
Nilidhani nimepata mke ama kweli...
Katika maisha ya sasa ya teknolojia, simu imekuwa sehemu kubwa ya maisha binafsi ya watu. Ndani yake kuna mawasiliano, kumbukumbu, siri na hata heshima ya familia.
Wakati mwingine mtu anaweza...
Leo nimewawazia sana madada zangu wa JF
Toka niiingie sijawahi sikia mkaribisho wa harusi hadharan
Nawaza mmeamua kuwa ma single maza ama ndio ile mmeiga kimya kimya tukutane nyumban
Otherwise...
Kwa miezi miwili sasa nimekuwa nikifanya master dating naenda restaurant kupata dinner alone,kuwatch movie,kula gambe alone,ama naenda kwenye dense forest...nk
I really love master dating
VIGEZO NA SIFA ZA MWANAMKE WA KUOA KWA 2024 - 2050
Anàandika, Robert Heriel.
Mtibeli
Pasipo kupoteza muda. Ikiwa wewe ni mwanaume unatafuta mke wa kuoa ili ujenge naye familia basi vigezo na...
Adui namba moja wa taifa hili ni ccm wote walioko huko wapo kwaajili ya maslahi yao tu na si taifa hili na raia wa nchi hii.
Wapo tayari CCM ishinde kwa damu ili tu walinde wanachoiba.
Wakuu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.