Watoto hawakumbuki nani aliwazaa wanakumbuka nani alikuwepo

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
24,595
Reaction score
59,936
Kuna kitu watu wengi hawataki kukisikia… unaweza kuwa baba kibaiolojia lakini ukafeli kuwa baba wa mtoto wako emotionally.

Tumeona kisa cha Dudubaya na mwanae Wille kinatoa somo kubwa sana. Watu wengi wanaangalia upande wa drama tu, ila nyuma yake kuna psychology nzito. Mtoto akikua bila ile bonding ya baba tangu mwanzo, akija miaka ya baadaye ghafla unataka “full respect package”, mara nyingi chemistry inakuwa forced.Ni kama mtu hakulipia membership miaka yote halafu anataka benefits zote siku moja.

Watoto hawakariri DNA sana, wanakumbuka presence.
Nani alikuwa karibu akiwa mgonjwa, nani alimjua anapenda nini, nani alikuwepo kwenye life yake wakati wa moments za msingi.nani alimpeleka shule au kumnunulia viatu.

Ndo maana unaweza kuona wille anaishi kiurahisi na marafiki au “masela wa Coco Beach” kuliko mzazi wake mwenyewe, sababu huko anahisi freedom na acceptance kuliko mazingira ya kulazimishwa mapenzi.

Halafu stress zikizidi tunaanza kuona posts za usiku za dudubaya
“Simtaki”, “sio mwanangu”me nwanangu ni maria tu..ile ni frustationna stress kutokana na kilevi na hasira.kwa sababu dudubaya kwa sasa hv ni mgonjwa ilipaswa wille kijana wake ndo akae naye hapo bahari beach.. relationship nyingi za baba na watoto haziharibiki siku 1 zinajengwa taratibu..

Hata kwa Diamond Platnumz watu wengi hujadili kuhusu baba yake. Imagine kama kungekuwa na picha nyingi za utotoni, memories, outings, bonding na presence ya karibu… labda leo hii public perception ingekuwa tofauti kabisa.

Siku hizi watu wanaona kuzaa kama achievement ya haraka.
“Kijana mzima lazima uwe na mtoto.”Lakini nobody talks kuhusu school fees, emotional support, muda, attention, na consistency.mtoto anakuwa mkubwa hajawahi kuona ukimbembeleza akiwa ana hasira au ukimpiga akiwa kakosea

Tusizae kwa pressure za sifa au kuthibitisha uwezo wetu wa mbegu ..mbegu ziko okaya muda wote as long unakula proteins..” Mtoto sio screenshot ya ushindi wa usiku mmoja. Ukifanya makosa ya bahati mbaya, usiyageuze kuwa maisha ya bahati mbaya kwa mtoto ambaye hana kosa lolote.

Mwisho wa siku mtoto anaweza kusamehe umaskin akaona sawa zamani hukuwa na hela za kumnunulia atakacho lakini ni ngumu kusahau absence yako hukuwepo akiwa under 10 years..na kama akitokea amekutafuta ukubwani basi kasikia wewe uko taasisi nzuri au una miliki migodi na hotel au umekuwa mwigulu..
 
Kuna kitu watu wengi hawataki kukisikia… unaweza kuwa baba kibaiolojia lakini ukafeli kuwa baba wa mtoto wako emotionally.

tumeona kisa cha Dudubaya na mwanae Wille kinatoa somo kubwa sana. Watu wengi wanaangalia upande wa drama tu, ila nyuma yake kuna psychology nzito. Mtoto akikua bila ile bonding ya baba tangu mwanzo, akija miaka ya baadaye ghafla unataka “full respect package”, mara nyingi chemistry inakuwa forced.Ni kama mtu hakulipia membership miaka yote halafu anataka benefits zote siku moja.

Kaka sperm za mtu hazipotei bure
 
Dahh huu ujumbe mzito sana!❤️‍🩹
zamani mzee angezaa watoto 10 kijijini maisha yanaenda tu. Shamba lipo, chakula kipo, mtoto anakua huku jamii nzima inamlea. Lakini leo hii dunia imebadilika. Mtoto wa sasa anahitaji school fees, attention, malezi, muda, afya ya akili na future plan. Ndo maana siku hizi kuzaa ovyo nje nje sio ishu tena ni kujiongezea matatizo mwisho wake unaweza kushindwa hata kujigawa.
 
Kwa sasa maisha ya utafutaji yanatupeleka kasi sana kiasi kwamba hatuna mda wa kutosha kutengeneza bond na watoto hivyo tusitegemee watoto kuwa karibu nasi uzeeni, tukubali upweke wa uzeeni na tuchague mke mwenye utu awezae kuuguza kama alivyofanya profesa j, pia usisahau kamilioni kalea vizuri watoto wake ila alivyoumwa wakamtusi mtandaoni same kesi kwa lemutuz, so maisha ya sasa 90% ni kuzeeka pekeyako na kuuguzwa na pesa yako na kuzikwa na majirani
 
upo sahihi ila pia umesahau khs sumu wanazolishwa watoto kutoka kwa wazazi wao hasa mama zao, hata kama upo na mwanao kila sek, mama akiamua amfanye mwanao akuchukie bc n ishu nyepesi sana.
Nakubaliana nawe mkuu kuna baadhi ya cases watoto wanaweza kulishwa sumu dhidi ya mzazi mmoja, hilo lipo ila pia tusijifanye watoto wa sasa hawaoni reality za ndani ya nyumba. Wengi hasa wa kiume wanaona kabisa hata kwa mademu zao jinsi walivyo makelele, jeuri au tabia zinazochangia ndoa kuvunjika. Mtoto akifika umri fulani anaanza kuchanganua mambo mwenyewe, sio kila kitu anaaminishwa tu. Lakini pamoja na hayo yote, kuna kitu kigumu kufutika kichwani mwa mtoto nasemea ile presence ya mzazi. Majukumu, muda, upendo, zile moments za utotoni hizo hazifutwi kirahisi hata mtu asemwe vibaya kiasi gani. Ndo maana mzazi aliyekuwepo kweli mara nyingi mtoto hukua akijua tu huyu alijitahidi hata kama kulikuwa na migogoro mingi pembeni.
 
zamani mzee angezaa watoto 10 kijijini maisha yanaenda tu. Shamba lipo, chakula kipo, mtoto anakua huku jamii nzima inamlea. Lakini leo hii dunia imebadilika. Mtoto wa sasa anahitaji school fees, attention, malezi, muda, afya ya akili na future plan. Ndo maana siku hizi kuzaa ovyo nje nje sio ishu tena ni kujiongezea matatizo mwisho wake unaweza kushindwa hata kujigawa.
Umenena vyema! Na kizazi cha sikuhizi kipo sensitive sana sijui kwanini, ukimtenga mtoto kidogo tu utanotice mabadiliko kama anaathirika hivi! Kwahivyo inabidi uingie gharama kumuweka katika mazingira fulani yasiyomkosesha anachokitaka! Bora uwe na mtoto mmoja wawili au unaoweza kuwamudu bila kukosa mahitaji yote uliyotaja hapo juu!
 
Kuna kitu watu wengi hawataki kukisikia… unaweza kuwa baba kibaiolojia lakini ukafeli kuwa baba wa mtoto wako emotionally.

tumeona kisa cha Dudubaya na mwanae Wille kinatoa somo kubwa sana. Watu wengi wanaangalia upande wa drama tu, ila nyuma yake kuna psychology nzito. Mtoto akikua bila ile bonding ya baba tangu mwanzo, akija miaka ya baadaye ghafla unataka “full respect package”, mara nyingi chemistry inakuwa forced.Ni kama mtu hakulipia membership miaka yote halafu anataka benefits zote siku moja.

Watoto hawakariri DNA sana, wanakumbuka presence.
Nani alikuwa karibu akiwa mgonjwa, nani alimjua anapenda nini, nani alikuwepo kwenye life yake wakati wa moments za msingi.nani alimpeleka shule au kumnunulia viatu.

Ndo maana unaweza kuona wille anaishi kiurahisi na marafiki au “masela wa Coco Beach” kuliko mzazi wake mwenyewe, sababu huko anahisi freedom na acceptance kuliko mazingira ya kulazimishwa mapenzi.

Halafu stress zikizidi tunaanza kuona posts za usiku za dudubaya
“Simtaki”, “sio mwanangu”me nwanangu ni maria tu..ile ni frustationna stress kutokana na kilevi na hasira.kwa sababu dudubaya kwa sasa hv ni mgonjwa ilipaswa wille kijana wake ndo akae naye hapo bahari beach.. relationship nyingi za baba na watoto haziharibiki siku 1 zinajengwa taratibu..

Hata kwa Diamond Platnumz watu wengi hujadili kuhusu baba yake. Imagine kama kungekuwa na picha nyingi za utotoni, memories, outings, bonding na presence ya karibu… labda leo hii public perception ingekuwa tofauti kabisa.

Siku hizi watu wanaona kuzaa kama achievement ya haraka.
“Kijana mzima lazima uwe na mtoto.”Lakini nobody talks kuhusu school fees, emotional support, muda, attention, na consistency.mtoto anakuwa mkubwa hajawahi kuona ukimbembeleza akiwa ana hasira au ukimpiga akiwa kakosea

Tusizae kwa pressure za sifa au kuthibitisha uwezo wetu wa mbegu ..mbegu ziko okaya muda wote as long unakula proteins..” Mtoto sio screenshot ya ushindi wa usiku mmoja. Ukifanya makosa ya bahati mbaya, usiyageuze kuwa maisha ya bahati mbaya kwa mtoto ambaye hana kosa lolote.

Mwisho wa siku mtoto anaweza kusamehe umaskin akaona sawa zamani hukuwa na hela za kumnunulia atakacho lakini ni ngumu kusahau absence yako hukuwepo akiwa under 10 years..na kama akitokea amekutafuta ukubwani basi kasikia wewe uko taasisi nzuri au una miliki migodi na hotel au umekuwa mwigulu..

Fact​

Sio mtoto tuu! Hata mnyama kama Mbwa, Bata, Kanga n.k.

Longtime kijijini mama yangu alikuwa, anachukua mayai ya Kanga, anawapa kuku watotoe, wakitotoa tule tutoto tunaambatana na kuku, hata kama kanga wengine wapo. Mpaka tunakua. 😁
Hii anaifanya sana mwenye nyumba wnagu mmoja wa nilipokuwa naishi, na watamfuata huyo kuku kama mzazi wao mpaka mwisho sio hawa vifaranga wakikuwa wanampanda tena mzazi wao😁
 
Kuna hawa wengine wanakosa bond ya wazazi wao wote tangu wakiwa wadogo,kuna dada mmoja alikuwa anaongea kwenye simu kuhusiana na mtoto mmoja wa familia fulani kupelekwa boarding school akiwa na miaka 4,kisa wazazi wao wanashindwa kuishi na wadada wa kazi
 
upo sahihi ila pia umesahau khs sumu wanazolishwa watoto kutoka kwa wazazi wao hasa mama zao, hata kama upo na mwanao kila sek, mama akiamua amfanye mwanao akuchukie bc n ishu nyepesi sana.

Mbaga, mtoto ni binadamu, ukimpenda na mrija wako ukamfikia hata kama kuna uhasama, wewe na mama yake.
Mtoto yule atajua, sabuni hii imwtoka kwa baba, uniform hii kaleta baba.
Hela hii ameleta baba. Hiyo ndio bond ya mzazi na mtoto, inavyojengwa.

Kumbukeni mtoto anazaliwa kama daftari jipya, wa kuchora au kuandika kitu ni wewe mzazi. Usipochora au andika kitu, maana yake haupo. Na yeye hawezi tunza kitu ambacho hakipo.
 
Listen guys, kwenye haya maisha ya malezi kosea vyote lakini usikosane na mwanamke aliyekuzalia mtoto, ambaye ndie mama wa mtoto wako.

Hata kama baada ya kuzaa ulikuja kumpata mwanamke mwingine, lakini amini nawaambia, mahusiano yako ya kirafiki na mama wa mtoto wako hiyo ndio funguo ya uhusiano wako na mwanao mbele ya safari.

Mkumbuke mwanamke ukiewahi kuzaa nae, ukipata visenti mtumie kama surprise, usimsubiri akuombe, ukiwa huna mwambie vumilia kidogo siku mbili tatu nitakuoatia.

Ukiweza kufanya hayo, mama wa mtoto wako atatengeneza mahusiano mazuri kwako na mtoto wako, atakuwa anamkunbusha kila siku kuhusu wewe baba yake, aamwambia wema wako unavyomjali.

Baada ya hapo hata kama hutakuwa ukionana na mtoto mara kwa mara, lakini kutokana na kile anachoambiwa na mama yake kukuhusu, basi mtoto automatically atakuwa na hamu siku zote ya kukuona baba yake, bila kujali muda gani umepita.

Lakini kama utakuwa na mahusiano mabaya na mama wa mtoto wako, basi hapo jiandae kukataliwa na mwanao mwenyewe wa damu yako.

Kina mama, ambao ndio wazazi wa watoto wetu ndio kila kitu, hata kama atakuwa na tabia za mcharuko, adapt tabia yake, nenda nae taratibu, usitengeneze ligi baina yenu, mtoto akishakujua baba yake, basi mama akija kosea mbele mtoto nae sio mjinga atajua mama mizinguo.
 
Kuna kitu watu wengi hawataki kukisikia… unaweza kuwa baba kibaiolojia lakini ukafeli kuwa baba wa mtoto wako emotionally.

tumeona kisa cha Dudubaya na mwanae Wille kinatoa somo kubwa sana. Watu wengi wanaangalia upande wa drama tu, ila nyuma yake kuna psychology nzito. Mtoto akikua bila ile bonding ya baba tangu mwanzo, akija miaka ya baadaye ghafla unataka “full respect package”, mara nyingi chemistry inakuwa forced.Ni kama mtu hakulipia membership miaka yote halafu anataka benefits zote siku moja.

Watoto hawakariri DNA sana, wanakumbuka presence.
Nani alikuwa karibu akiwa mgonjwa, nani alimjua anapenda nini, nani alikuwepo kwenye life yake wakati wa moments za msingi.nani alimpeleka shule au kumnunulia viatu.

Ndo maana unaweza kuona wille anaishi kiurahisi na marafiki au “masela wa Coco Beach” kuliko mzazi wake mwenyewe, sababu huko anahisi freedom na acceptance kuliko mazingira ya kulazimishwa mapenzi.

Halafu stress zikizidi tunaanza kuona posts za usiku za dudubaya
“Simtaki”, “sio mwanangu”me nwanangu ni maria tu..ile ni frustationna stress kutokana na kilevi na hasira.kwa sababu dudubaya kwa sasa hv ni mgonjwa ilipaswa wille kijana wake ndo akae naye hapo bahari beach.. relationship nyingi za baba na watoto haziharibiki siku 1 zinajengwa taratibu..

Hata kwa Diamond Platnumz watu wengi hujadili kuhusu baba yake. Imagine kama kungekuwa na picha nyingi za utotoni, memories, outings, bonding na presence ya karibu… labda leo hii public perception ingekuwa tofauti kabisa.

Siku hizi watu wanaona kuzaa kama achievement ya haraka.
“Kijana mzima lazima uwe na mtoto.”Lakini nobody talks kuhusu school fees, emotional support, muda, attention, na consistency.mtoto anakuwa mkubwa hajawahi kuona ukimbembeleza akiwa ana hasira au ukimpiga akiwa kakosea

Tusizae kwa pressure za sifa au kuthibitisha uwezo wetu wa mbegu ..mbegu ziko okaya muda wote as long unakula proteins..” Mtoto sio screenshot ya ushindi wa usiku mmoja. Ukifanya makosa ya bahati mbaya, usiyageuze kuwa maisha ya bahati mbaya kwa mtoto ambaye hana kosa lolote.

Mwisho wa siku mtoto anaweza kusamehe umaskin akaona sawa zamani hukuwa na hela za kumnunulia atakacho lakini ni ngumu kusahau absence yako hukuwepo akiwa under 10 years..na kama akitokea amekutafuta ukubwani basi kasikia wewe uko taasisi nzuri au una miliki migodi na hotel au umekuwa mwigulu..
Jumbe sahii sana. Tuishi humu.
Screenshot ya usiku moja sio chapa ya maisha.
 
Upo sahihi kabisa,mtoto anakua ila anakua hana mapenzi na mzazi wake coz hakuna bond au emotion connection kati yao iliyotengenezwa kwenye malezi,

Wazazi wengi wanashindwa kutofautisha kati ya Huduma na Malezi,

Mfano angalia misiba ya watoto wa masikini wanapofiwa na wazazi wao,hulia sana coz wanakua muda mwingi wapo na wazazi wao na kunakua na emotion connection kati yao,ni tofauti na watoto wa matajiri au watoto wenye wazazi wenye vyeo vikubwa,wao muda mwingi hawawaoni wazazi wao,ndio maana hata kwenye misiba ya wazazi wao huwezi kuona wanalia sana.
 
Mbaga, mtoto ni binadamu, ukimpenda na mrija wako ukamfikia hata kama kuna uhasama, wewe na mama yake.
Mtoto yule atajua, sabuni hii imwtoka kwa baba, uniform hii kaleta baba.
Hela hii ameleta baba. Hiyo ndio bond ya mzazi na mtoto, inavyojengwa.

Kumbukeni mtoto anazaliwa kama daftari jipya, wa kuchora au kuandika kitu ni wewe mzazi. Usipochora au andika kitu, maana yake haupo. Na yeye hawezi tunza kitu ambacho hakipo.
Bc hujui sumu ya mama ww
 
Back
Top Bottom