Habari viongozi, na ninaimani muwazima kabisa, kwa jamii ya sasa wanawake wanaonekana kuwa wengi sana ila likija swala la kuchagua mke, basi kichwa hua kinauma sana, maana tunashindwaga kujua yupi...
Unaweza kushinda ndani kama jini nani sijui!, Halafu ukitoka nje dakika mbili tu unatamani tena kurudi ndani.. mbaya mbovu introvert tunaujinga huu.
Naweza nikawa nataka kutoka na wewe umekaa...
Mimi kusema kweli sina roho ya kitajiri. Halafu sikopeshi kabisa ni mambo taslimu. Huyu binti alikuja toka mkoani kusoma chuo. Tukapendana. Basi nikawa sababu mimi mzazi alikuwa anauwezo nikawa...
Kuna mgahawa classic huwa naenda kupata msosi. Mimi ni mtu low key sana, napenda hata nikifika sehemu attention isiwe kwangu. Huwa nafika pale wadada wasaidizi wananihudumia vizuri tu, na huduma...
Mkurugenzi wa Mbezi Garden Hotel Bi Haika Lawere jana kwenye Kitchen Party Gala amewafundisha Wanawake kuficha mali zao Wanaume wao wasizijue kwa sababu wanaume ni matapeli hivyo wakizijua...
"Ulikwenda hospitali mke wangu?" Masofa alimuuliza mke wake Sulee.
"Nilikwenda, lakini daktari kasema mimba nitapata tu ndani ya mwezi mmoja."
"Ndani ya mwezi mmoja utapata mimba? Inawezekana...
Kuna wanawake wanajifanyaga wajanja kwamba wanadamganya wanaume kupata pesa kwamba anaumwa au kuna shida we mpe tu pesa anajiweka mwenyewe kwenye kona
Yaan huyo utamla sana kuliko ambaye...
Waambieni madogo ambao tasnia ya mapenzi imewavuruga kwamba ,
Mapenzi yawavuruge sana lakini katikati ya miguu anayolala rafiki au ndugu yake wenyewe wasilale hapo hata shemu akijaa kwenye...
Tangu wanaume wawaimbie sifa za kuwa na makalio makubwa wanawake ndio wenye soko mjini na vijijini mabinti wamelewa sifa hizo na akili wameweka kando wamebakiza makalio, yawezekana ndio ujana wa...
Babu mkubwa bachela,wajomba watatu marehemu walikufa mabachela,mashangazi wawili marehemu walikufa bila watoto. na hapa mimi hapa bachela tayari na mimi...
Sababu ni hizi hapa 👇👇👇
1. Hawa mademu tunao waita wapenzi wetu huku mitaani ndio hao hao wanao enda kujiuza viwanja au wengine hujiuza kupitia mitandao mbalimbali. So ile kusema kwamba siwezi...
Mahakama Kuu ya Nairobi ilimpata Meja wa zamani wa KDF Peter Mugure Mwaura na hatia ya kumuua mkewe Joyce Syombua na watoto wao wawili katika Kituo cha Anga cha Nanyuki.
Ushahidi wa kiuchunguzi...
Mapenzi sio hisia iliyo dhahiri ni jambo la kufikirika ambalo binadamu anahisi kuna ukweli juu ya hisia hiyo lakini kumbe ni kama kijicho ama mazingaombwe na siyo hisia iliyo ktk uhalisia.
Kuachiana alama au kielelezo ndio uthibitisho tosha kwa kile kilichofanyika huko nyuma.
Hatuwezi kusema umehitimu mafunzo bila kuwepo na uthibitisho wa cheti.
Ni hivyo hivyo ata kwenye...
KWa upande wangu binti awe:
1-Asiwe na uvaaji kama stejishow wa bongoflava
2-Asiwe muongeaji na mlopokaji kama cherehani
3- Napendelea mweusi, makalio makubwa hapana labda yaje baadae baada ya...
Ndugu zangu naombeni ushauri baada ya kuachwa na Khadija mwanamke ninayempenda sana.
Sasa Kuna mwamba mmoja alinipeleka kwa mtaalamu tukafanya mambo, nimelazwa makaburini siku 7 mfulilizo na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.