Mwanaume mwenzangu ukimzalisha mwanamke kama hujamuoa basi hudumia usiache damu yako ikahangaika nawewe una uwezo.
Note :nimemaliza sijataja jina la mtu
Makamu wa rais Samia Suluhu Hassan, amesema pamoja na wadhfa alionao, lakini mbele ya mume wake atapiga goti ili kuonesha mahaba aliyonayo kwake.
Alikuwa akiwaambia wanawake kuwa hawako sawa...
Hatari sana leo
Nimetembelewa na mtoto heavy ndo mambo yangu Lakin tunamalizia niende viwanja
Kwanza tuka swim , tukapunga upepo kwa pool , sasa hivi nimpeleke maeneo,
Maana ni mgeni, nauli...
Wadau huyu dogo ana umri wa 33 nimemfukuza bado anaganda. Mme wangu aliniasa nimuache kwa muda ajipange lkn mm naona anazidi kung'ang'ana.
Ni muda mrefu tangu aombe kujipanga, nishamchoka ni...
Ushawahi kupigwa huo mkwara? ilikuwaje kuwaje na je ulipewa au ulitoa tamu? au ulitoka kapa?
Acha nianze:
Kitambo hicho chuo tulikua kipindi cha mitihani, kaboyfriend kakaniomba niende room kwake...
Tendo la sex linamdhalilisha mwanamke na kumfedheesha sana
Jinsi anavyoshughulishwa wakati wa kufanya sex, , abinywee, akunjweee, daah alaf ukute apewi pesa daah sex haipo fair Kwa mwanamke ni...
Wakuu habari ya uzima wenu na majukumu ya maendeleo yenu naamini MUNGU anazidi kuwapigania usiku na mchana.
Basi twende moja kwa moja kwenye maada,kiukweli wakuu nakabiliwa na stress mpaka kuna...
Ni week ya kwanza na mwezi wa kwanza wa mwaka. Tarehe mbili Mr Filajim yupo ofisini kwake hajui aanze na nini. Bado ana uchovu na kwa mbali anasikia maumivu ya kichwa. Wengi wapo likizo isipokuwa...
Anyway leo nimekaa mahali penye umati wa watu wengi kidogo.
Katika kutizama kwangu, nikawa nimeishia kukagua maumbo ya wanawake na sura zao.
Hitimisho.
Kati ya wanawake 258 niliowatazama kwa...
Msaani wa uchoraji wa Katuni Msoud Kipanya amesema kuwa asilimia 80 ya wanawake wanakwepa mtego wa umasiki kupitia ndoa na pia asilimia 80 ya wanaume wanaingia kwenye mtego wa umasikini kupitia...
Hivi ni baadhi ya vitu ambavyo hatukuwahi kutarajia Watanzania tutaingiamo ila kwa bahati mbaya tayari tumo.
Wanawake wanatumia hadi buttplugs zenye vibrator (ice breaker), vibrator device vya...
Kwa wanawake wote wa Jamiiforums 🌸🌸
Leo tunasimama kuwapongeza na kuwashukuru kwa nguvu, hekima, na mchango wenu mkubwa katika jamii. Ninyi ni chanzo cha upendo, ujasiri, na mabadiliko chanya...
Wengi huanza safari ya mafanikio wakiwa na maono makubwa, lakini njiani hupoteza mwelekeo kwa kukimbizana na wanawake wengi badala ya kujenga ndoto zao.
Mwanaume mwenye maono hujenga thamani yake...
Habari za mda huu wanajamvi
Huyu wangu tuliokotana mwaka jana mwezi WA 3 Aisee nakajihisi nimepata Ila baada ya siku kuenda
Aisee naona hafai na nilipatikana mbona wanawake wa kipare huwa...
Amani ya Bwana iwe nanyi!
Kuna mwanamke nilikua na appointment nae ya kwenda kusex leo, mimi kwa bajeti yangu ya elfu 30, nilipanga twende lodge flani tu hapa hapa mtaani. Mahesabu yangu yalikua...
"Dada samahani nilikuwa na shida na wewe kiukweli nimetokea kuvutia na wewe yaani nakupendaa"
Kama wewe ni mwanaume alafu bado unamiseme hiyo hapo juu piga kifua angalia juu sema "mimi mpumbavu...
MSHKAJI WANGU ALIYEOA SINGLE MOTHER NA LEO HII ANATAKA KUJIUA KWA STRESS NA Dharau.
Wakuu, leo nataka niwape simulizi ya kweli kabisa ya mshkaji wangu wa damu, ambaye alikuwa na utafutaji wake...
Hey people good morning,
Uzi huu ni maalumu kwa wenye matamanio ya kuacha tabia za "hovyo" na kuanza tabia nzuri na zenye manufaa binafsi,na jamii
Binafsi kuanzia leo tarehe 9 June, saa 06:00...
Muigizaji Siwa akizungumza kwenye kipindi cha mashamsham cha wasafi fm Juni 30/2026 na kusema ya kwamba hajawahi kuathirika anapoachana na mume wake na hutumia dakika 5 tu kutafakari pindi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.