Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mimi ni kijana Niko mbeya natamani tu kuwa na mwanamke wa miaka iyoo maana Hawa wa 2000 mbona kama pasua kichwa sana, na mimi nna miaka 28, kama upo interested DM, uwe vyovyote Ile usiwe mnene...
6 Reactions
37 Replies
507 Views
1. Hakikisha mpenzi wako hatilii shaka uaminifu wako. Kikwazo nambari moja kwa maisha ya mapenzi yenye afya ni mawazo ya ukafiri kuwa na wasiwasi na mpenzi wako 2. Maandalizi mazuri Kabla ya...
4 Reactions
6 Replies
2K Views
Mapenzi bhana, kuna time baada ya kuachana na mpenzi wako au maisha kuwawatenganisha kwa mda mrefu unaanza kuhisi umemmiss X wako and all of a suddenly unataka fall in love tena lakini kadri...
7 Reactions
53 Replies
685 Views
Habari za asubuhi wazee, Niende kwenye mada mojamoja jana usiku nimerudi home sielewi lile wala hili mfukoni sina kitu si nikaona ebu nichukue buku mbili kwenye mkoba wa wife, nikanunua maji na...
15 Reactions
59 Replies
887 Views
Sijawahi kufikiria wala kudhani kuwa mazingira ya gym ni hatari kiasi hiki hadi niliposikiliza video hii hapo chini na kumshirikisha jamaa yangu mmoja ambaye anaenda gym mara kwa mara...
10 Reactions
134 Replies
2K Views
Vipi, umeshawahi kukutana na mtu ambaye hatosheki kingono au kweye mahusiano ya kimapenzi? Ambao hamjaangalia hii shoo ya “the polygamist”, inamhusu mbaba anaitwa Jonasi ambaye ana ndoa ya mke...
9 Reactions
213 Replies
2K Views
Iko hivi, wiki mbili zimepita nilikua kiwanja kimoja maarufu sana hapa Dar nikavutiwa na mrembo mmoja nikamuita akanipa namba na nilipotaka kuondoka nikataka kuondoka nae ila akasema amekuja na...
50 Reactions
120 Replies
20K Views
Kubali au ukatae, Dunia ni ya mwanaume,kila kilichomo ulimwengu kipo kwenye control ya mwanaume. Kila anachofanya mwanamke ujue kimeanzishwa na mwanaume. Kwanza niwasalimie,lakini pili nichukue...
2 Reactions
5 Replies
131 Views
Maisha yanatufundisha kwamba unaweza kumsaidia mtu kwa moyo wa dhati, ukijua unajenga uhusiano wa kudumu, kumbe bila kujua unajipalilia miiba. Sio kila anayepokea wema wako anatamani kukuona...
3 Reactions
1 Replies
92 Views
Jana jioni niliweza kuwatembelea wazee kadhaa waliostaafu na wengine wafanyabiashara wakubwa kiasi (mitaji yao bilioni kadhaa). Wengine wametelekeza majengo na biashara zao na kuamia mikoa...
21 Reactions
88 Replies
1K Views
Katika dunia tunayoishi leo, si rahisi kupata msaada wa kweli wa kihisia kutoka kwa watu Mara nyingi mtu anapokuwa na changamoto hutamani kuonewa huruma kuambiwa maneno ya faraja, kushikwa...
16 Reactions
123 Replies
1K Views
Hamjambo! Kwa asilimia tisini na tisa kijana mwenye future kubwa, anayejitambua, mchapakazi, anayejiamini hawezi kuwa na wazo la kutoka na mwanamke mtu mzima, lishangazi. Huwezi kuta kijana...
6 Reactions
65 Replies
689 Views
Utamu wa safari za usiku kwa kutumia mabasi "Nilisafiri kutoka Dar es Salaam kwenda Bukoba kwa basi. Tuliondoka stendi majira ya saa 10 jioni. Bahati nzuri nilikaa siti moja na kijana aliyekuwa...
11 Reactions
80 Replies
2K Views
Mwaka huu nilirudi Tz kikazi mara moja. Nikakutana na mdada ambaye miaka ya 2000 mwishoni kazini nliwahi mtokea. Demu alikuwa ana nyodo kinyama. Alikuwa anatoka na Mkurugenzi halafu anaendesha...
34 Reactions
55 Replies
2K Views
Kuna mdada mrembo sana ukimuangalia si tukakubaliana nimpe jiwe 5 kwa nusu saa, nikamfuata kwake sehemu sitaitaja Ana shepu nzuri ni maarufu hapa dar ! Nikafika Kwake tutashughulika ila alikuwa...
24 Reactions
157 Replies
3K Views
Vaa KONDOMU jikinge na maambukizi yasiyo na sababu. Kumekua na kawaida wanawake hawataki uvae condom wanataka upige kavu. Nakukumbusha vaa Condom.
11 Reactions
50 Replies
694 Views
Habari Kama kichwa cha habari kinavyosomeka... Nimeamka hapa asubuhi nimekutana na huo ujumbe kutoka kwa manzi flani huwa najipigia tu. Sasa hapo natakiwa kumjibu nini wakuu?
5 Reactions
44 Replies
652 Views
Ukiona mtu amebeba mimba unaweza Tu kuhisi imepatikana kirahisi rahisi,. Kuna ambao wanapata kirahisi Tu chap tena wengine bila hata kutarajia imo,. Ila kuna ambao kutafuta Mtoto IPO ndani ya...
29 Reactions
277 Replies
4K Views
Mimi ni msichana nina miaka 26 nina mtoto mmoja ambae nimezaa na huyu mwanaume kiukweli nina changamoto ambayo nahisi kukataa tamaa iko hivyo mwaka 2019 nilikuta na huyu mwanaume nilimkuta...
21 Reactions
506 Replies
5K Views
Habari viongozi, na ninaimani muwazima kabisa, kwa jamii ya sasa wanawake wanaonekana kuwa wengi sana ila likija swala la kuchagua mke, basi kichwa hua kinauma sana, maana tunashindwaga kujua yupi...
10 Reactions
116 Replies
2K Views
Back
Top Bottom