Hizi SALON za kiume za massage na Kushave balaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hizi SALON za kiume za massage na Kushave balaa

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Kyachakiche, Jun 26, 2009.

 1. K

  Kyachakiche JF-Expert Member

  #1
  Jun 26, 2009
  Joined: Feb 16, 2009
  Messages: 877
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Kwa vijana wa zamani watakumbuka jinsi huduma ya kunyoa nywele ilivyokuwa ikitolewa.

  Kama siyo chini ya mti mkubwa wenye kivuli basi ilikuwa ni kwenye vibanda vidogo vidogo ambavyo kulikuwepo na kinyozi mmoja mwanaume.

  Taratibu kwa kadri muda ulivyoendelea na utandawazi kushika hatamu, sasa tunashuhudia naweza kusema nyumba za kisasa kabisa zimejengwa ama kugeuzwa kuwa maeneo ya kunyolea nywele huku huduma nyingine za kuosha nywele,uso, kucha na nyingine kama hizo zikifanywa na akina dada tena warembo kweli kweli.

  Baadhi ya hawa akina dada wamekuwa wanavaa nguo ambazo wakati mwingine zinaacha maswali mengi kwamba je ni huduma hii ya kufanya usafi wa nywele na uso ama ni zaidi ya hapo. Na zaidi ya hapo wakati wa hizi huduma wana minjonjo mingi tu kama kufungua vifungo vya shati ili waweke taulo/kitambaa, wasugue masikio, shingo,..nk.

  Nawaulizeni wana-JF wenzangu, je kama uko na mai waifu wako akaona unayofanyiwa na hawa akina dada atakuruhusu uwe unakwenda peke yako? Au kama maiwaifu wako angekuwa anafanya kazi huko, ungemruhusu awafanyie wanaume wengine vile hawa akina dada wanafanya?

  Na tujadili!
   
 2. Akili Unazo!

  Akili Unazo! JF-Expert Member

  #2
  Jun 26, 2009
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 1,234
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Sijawahi ona mwanaume anaenda kunyoa au kufanyiwa facial akiwa na mke wake!!
   
 3. Belo

  Belo JF-Expert Member

  #3
  Jun 26, 2009
  Joined: Jun 11, 2007
  Messages: 10,403
  Likes Received: 2,954
  Trophy Points: 280
  Hapa Mwenge karibia Saloon zote za kiume kuna wanawake
   
 4. Akili Unazo!

  Akili Unazo! JF-Expert Member

  #4
  Jun 26, 2009
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 1,234
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135

  Hao watakuwa wanataka tips tu.
   
 5. Kaniki1974

  Kaniki1974 JF-Expert Member

  #5
  Jun 26, 2009
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 352
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kwa kwa kwa kwaaaaaaaaaaaaaaaa
   
 6. Kaniki1974

  Kaniki1974 JF-Expert Member

  #6
  Jun 26, 2009
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 352
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Eti kazi ni mbaya ukiwa nayo
   
 7. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #7
  Jun 26, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,463
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Wanatuibia tu..wanatupaka tu-chemicali ambako hata hatutujui..Wanazuga sijui facial sijui nini ..ili mradi ulipie fedha nyingi zaidi..Uwizi mtupu.
   
 8. K

  Kyachakiche JF-Expert Member

  #8
  Jun 26, 2009
  Joined: Feb 16, 2009
  Messages: 877
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Ni kwanini mkuu huwa haiko hivyo?
   
 9. Kimori

  Kimori JF-Expert Member

  #9
  Jun 26, 2009
  Joined: May 26, 2008
  Messages: 217
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama unaona wewe inakukwaza usiende. Au ukishanyolewa usisafishwe na hao wadada kama unaona itakuharibia......
   
 10. K

  Kyachakiche JF-Expert Member

  #10
  Jun 26, 2009
  Joined: Feb 16, 2009
  Messages: 877
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Pamoja na haya ya kulipa malipo makubwa, je mkeo akiona yanayoambatana na hayo malipo kutoka kwa hawa akina dada ingekuwaje?
   
 11. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #11
  Jun 26, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,463
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  teh teh teh..mazee mboni unakaba kiivo..ntakujibu 'when it is over'..lol
   
 12. Akili Unazo!

  Akili Unazo! JF-Expert Member

  #12
  Jun 26, 2009
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 1,234
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135

  Kwanza wanaweza wasiamni kama malipo ni ya facial tu halafu wanavyokuwa nashikashika kasikioni utadhani mkeo wezi watu hao akina dada na waliowengi utakuta hawajaolewa kabisa.wezi watu
   
 13. K

  Kyachakiche JF-Expert Member

  #13
  Jun 26, 2009
  Joined: Feb 16, 2009
  Messages: 877
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Swala linalojadiliwa hapa ni je, huduma hii inapofanywa na hawa akina dada, akija mkeo akashuhudia atakuruhusu uwe unaendelea kuipata? Au je, kama ni kazi nzuri kama nyingine, utakuwa radhi kumruhusu mkeo akaifanye? Sizungumzii kukwazika ama kutokwazika.
   
 14. M

  Malila JF-Expert Member

  #14
  Jun 26, 2009
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,262
  Likes Received: 452
  Trophy Points: 180
  Mke wangu hawezi kuniruhusu,pia siwezi kukubali mke wangu afanye hiyo kazi. Omba usifanyiwe hiyo kitu. Wanatekenya vibaya madada hawa,acha kabisa.
   
 15. K

  Kyachakiche JF-Expert Member

  #15
  Jun 26, 2009
  Joined: Feb 16, 2009
  Messages: 877
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35

  Hapo mkuu umeniacha hoi!!!
   
 16. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #16
  Jun 26, 2009
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,155
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Kuna jamaa yangu alienda saloon baada ya kunyolewa akaanza kufanyiwa scrub kwa jinsi alivyokuwa anaguswa mpaka kwenye masikio anapitishwa vidole kwa ufundi na binti wa saloon, mwamvuli uko chini ukaanza kukunjuka, kidogo angepiga bao.
   
 17. K

  Kyachakiche JF-Expert Member

  #17
  Jun 26, 2009
  Joined: Feb 16, 2009
  Messages: 877
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Duh! Hapo SIPO!!!
   
 18. Exaud J. Makyao

  Exaud J. Makyao JF-Expert Member

  #18
  Jun 26, 2009
  Joined: Nov 30, 2008
  Messages: 1,523
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Haya bwana,
  mapya hayo
   
 19. M

  Mwanjelwa JF-Expert Member

  #19
  Jun 26, 2009
  Joined: Jul 29, 2007
  Messages: 962
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Lazima ni wewe mwenyewe. Ulijua hili?
   
 20. K

  Kyachakiche JF-Expert Member

  #20
  Jun 26, 2009
  Joined: Feb 16, 2009
  Messages: 877
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Yapi mkuu, kwani Moshi hayapo?
   
Loading...