Seleina Tikili
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,351
- 2,650
Za asubuhi wanajamv? Hiv ww ukiwa na mpenzi wako huwa mnapendelea kufanya kitu gani ambacho kinawapa furaha wote.
Show showZa asubuhi wanajamv? Hiv ww ukiwa na mpenzi wako huwa mnapendelea kufanya kitu gani ambacho kinawapa furaha wote.
Anza kwanza wewe madamtuambie kwanza wew mwenyewe hupendelea kufanya nn nasi tuseme yetu
Umbea ndio zaidiMahusiano mengi ya kibongo hasa wakiwa katika stori mara nyingi ni stori za umbea sana na kucheka hahaha