Masaibu ya mabossi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Masaibu ya mabossi

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by PRECIOUSDOE, Apr 12, 2010.

 1. PRECIOUSDOE

  PRECIOUSDOE Senior Member

  #1
  Apr 12, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 114
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Recently nimepata promotion nikakwenda department nyingine.Aliyekuwa bossi wangu ambaye
  nilimuheshimu sana kama baba yangu akanipigia simu akiniambia twende lunch.Tulipoenda lunch akanieleza kwamba tangu mwanzo miaka minne iliyo pita amekuwa akinitamani lakini kwa sababu alikuwa direct boss wangu hangeweza nieleza eti amekuwa akivumilia tuu lakini nilipotoka chini yake hawezi akanificha tena eti alikuwa amebeba mzigo mzito.Niliudhika sana kwa sababu nilivyo mheshimu huyu mtu.
  Yaani nilikuwa ninarelate naye kama baba so nikahisi nikama baba yangu anataka mapenzi.
  Huyu mtu ni mkuu wangu miaka ishirini ana bibi na watoto,na pia mimi nimeolewa.
  Yote hayo anayajua.Sikuweza hata mwambia chochote kwa sababu ya aibu niliyo iskia nilitoka nikaenda zangu na nimekuwa nikimu avoid.Kwenye kazi yangu mpya tunafanya kazi pamoja lakini sio kama bossi
  na mdogo wake, lakini tukienda meeting huwa ninasikia vibaya sana because nilikuwa nimemweka
  above such behaviour from experience yangu njema ya kufanya kazi vyema sana naye.Sasa haya
  yote yametoka wapi?Hebu neleze vile nita mhandle kwa sababu sitaki hata kidogo kumwona huyu
  bwana.
   
 2. bht

  bht JF-Expert Member

  #2
  Apr 12, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  aaah easy
  kumbe tena sio mkuu wako wa kitengo wala
  mpe za uso tu
  yaani wa hivo mie hata sioni tabu (usitetereke hata kidogo). fanya nae kazi kama kawaida tu ila uwe makini anaweza kukuzushia vitu ili akuharibia (I have experienced such nonesense) ila kwangu wala haikuwa shughulu (hapa bendera chuma mlingoti chuma) na jamaa alinywea mwenyewe and now we are even. But I thank God nin boss ambaye anasoma katikati ya mistari.
   
 3. B

  Boney E.M. JF-Expert Member

  #3
  Apr 12, 2010
  Joined: Jan 22, 2007
  Messages: 425
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Mbona umeshaweza ku-handle situation? sisi tukushauri yepi tena? Gangamala....
   
 4. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #4
  Apr 12, 2010
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Nimepapenda hapo kwenye RED!!
   
 5. P

  Preacher JF-Expert Member

  #5
  Apr 12, 2010
  Joined: Aug 25, 2008
  Messages: 328
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Pole sana - watu wa hivyo humu duniani wapo - wewe unamheshimu - yeye kumbe ana mawazo mengine - usikubali tena kwenda lunch na yeye - unapokutana naye - uwe serious - no jokes etc. Otherwise ukiona anazidi kukuelezea upuuzi wake maybe kwa njia ambayo hukutarajia - be open and tell him that you respect yourself - u respect your marriage - and you respect him as a father - itamwingia kichwani - am sure
  Hongera kwa kuwa mama mwenye nidhamu - keep it up
   
 6. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #6
  Apr 12, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Mmmh Pole sana yashinde majaribu ...Boss anatawaliwa na tamaa ya ngono ...
  Kiubinadamu akili ,mwili na fikira zake potofu zimemfanya ashindwe kukabiliana na tamaa zake za ngono
  Mwambie unajiheshimu ,unamheshimu na kumpenda mmeo na pia unaheshimu ndoa yako
  atajiju mwenyewe!
   
 7. bht

  bht JF-Expert Member

  #7
  Apr 12, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  hahaa Meku hizi mambo bana usipogangamal mtu anakufanya wewe instrument yake akutumie pale atakapo.

  dayyyyyyyyyyyyyym, from wat I experienced, mwanzoni karibu niteme kibarua but there is another strong self of me ikaniambia btw why would you?? stand tall and hold your head up
  nikatangaza vita, tukavipiga weeee, finally I won!!
   
 8. T

  Tall JF-Expert Member

  #8
  Apr 12, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 1,431
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  Tulia na mweleze taratibu kuwa haiwezekani,unakasirikia nini sasa? hasira hukaa kifuani mwa mpumbavu,maandiko husema hivyo.
  Jinasue kwake kiistarabu,usimsemeseme kwa watu kuwa anakutaka otherwise umechoka kazi,na mumeo nae si lazima umweleze. Kumbuka mambo haya maofisini yapo sana tu,Misamaki mikubwa kumeza vidogo,bahati yako umeteleza ungekuta saa hii unasema i miss you babu.
   
 9. I

  Isskia Member

  #9
  Apr 12, 2010
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Pole dada
   
 10. N

  Nali JF-Expert Member

  #10
  Apr 12, 2010
  Joined: Mar 31, 2010
  Messages: 826
  Likes Received: 248
  Trophy Points: 60
  Strong woman! congratulation ndugu yangu!!!!!
   
Loading...