Hii ni haki kweli jamani???!!.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii ni haki kweli jamani???!!....

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Sajenti, Apr 12, 2010.

 1. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #1
  Apr 12, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Huwa nashangazwa na tabia ya huyu mchumba wangu. kila ninapokuwa mbali naye kwa shughuli za kikazi au za kifamilia ( kutembelea ndugu mkoani kwetu) kwa muda zaidi ya siku tatu, nikirudi wakati wa kufanya naye mapenzi huwa anataka kujua kama huko nilikokuwa nilidokoa kidogo (kutoka nje ya mahusiano yetu au la). Kipimo chake kikubwa ni volume ya mzigo ninaoshusha (manii) wakati wa mechi. Juzi jumamosi kwa kweli ilibidi mechi ivunjike kwani alinibadirikia katikati ya mchezo eti mzigo nilioshusha ni wa kitoto lazima nilichepuka mahali. Kwani yeye anaamini kwa muda niliokuwa safarini alitegemea ujazo wa kutosha. Kwa ukweli kwa siku zote nilizokuwa huko safarini (wiki 2) sikuwahi kudokoa mahali popote. Amekuwa akinilaumu sana wakati mimi kwa ukweli na nafsi yangu ni muaminifu sana kwake. Hili jambo linanikera sana sijui nifanye nini?? Inakuwaje hii wandugu??
   
 2. Noname

  Noname JF-Expert Member

  #2
  Apr 12, 2010
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,269
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  siumwambie tuu wajameni...
   
 3. Dreamliner

  Dreamliner JF-Expert Member

  #3
  Apr 12, 2010
  Joined: Jan 17, 2010
  Messages: 2,034
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Kama ni Mchumba, anza kumrekebisha mapema asiwe na mtazamo huo.. Akiingia ndani utaona SHUGHULI yake. Wakina Mama wote wako hivyo ila jitahidi aache hizo.
   
 4. vkeisy2006

  vkeisy2006 JF-Expert Member

  #4
  Apr 12, 2010
  Joined: Mar 26, 2010
  Messages: 230
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 45
  MMM HUYO AMEZIDI KHAAAA....WIVU UKIZIDI NI UNAHARIBU UHUSIANO MPE LIVE HUPENDI HIYO TABIA KHAAA....mbona ankipimo cha zamni huyo kha....
   
 5. bht

  bht JF-Expert Member

  #5
  Apr 12, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  Laligeni kipimo cha uaminifu kwa mzigo unaotoa ndo nasikia leo!!! (nashawishika kukuuliza anapimaje mwenzetu?)

  Anyway kama wewe unajiamini huibii nje jaribu tu kumweleza lakini hata hivyo iweje ana note ujazo iwapo tu wewe ulisafiri kwa siku kadhaa?
  Maana kama ujazo unakuw apowa ukiwepo then wat happens when u come back from wherever?
   
 6. N

  Nandoa Member

  #6
  Apr 12, 2010
  Joined: Mar 22, 2009
  Messages: 68
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  Hicho kipimo hata mimi nimeshakisikia sana. Ila nashukuru mara zote kimekuwa kikitumika kunipa sifa kwamba sikufanya uhalifu huko nilikoenda. Huwa anadai kwamba mtu ukikaa siku nyingi bila kushusha mzigo, basi siku unapokuja kushusha hasa mzigo wa kwanza huwa unakuwa na mshindo mkuu, usipotoka mshindo mkuu inakuwa kesi mkuu.
   
 7. T

  Tall JF-Expert Member

  #7
  Apr 12, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 1,431
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  Hakuna tatizo hapo,huyo anakupenda sana,yaani umemchanganya sana na ni pia huyo ni mwanamke mwenye wivu?jenga tabia ya uaminifu kwake, wewe kama story zako ni mademu wa zamani wa home unadhani atafikirije? KWANI? ukienda nae safari kila usafiripo kuna tatizo?mambo ya kupimana mizigo mambo gani tena haya?KWANI?si naweza nikaiba sana tu kisha nikala vyakula vya proteni kwa wingi mzigo ukawa pale pale?.Mzee mwenzangu mambo mengi kwenye mapenzi ni kuvumila tu, wapenzi wetu sio malaika ni binadamu,wanakasoro kibao pamoja na mimi na wewe tuna kasoro UVUMILIVU ndio solution.Jipinde mzee toa kilo znazotakiwa,lakini angalia usijetoa damu.
   
 8. Noname

  Noname JF-Expert Member

  #8
  Apr 12, 2010
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,269
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Dreamie: umetusingizia hapo...sio wote bana
   
 9. p

  pori Member

  #9
  Apr 12, 2010
  Joined: Mar 12, 2010
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  asante kwa kazi mliyoifanya ya kukarabati JF lakini jamani mbona maandishi yako faint na madogo sana? mnatuua macho. please please do somethin about it.

  thanks.
   
 10. Konakali

  Konakali JF-Expert Member

  #10
  Apr 12, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Aambiwe nini jamani...? Au nawe unamaanisha kuwa jamaa alipaswa kumwaga manii nyingi kwa kuwa hakufanya kwa muda mrefu? Labda amwambie alikuwa anafanya kazi za mikoni zilizotumia manii hizo, au jamaa amwambie kuwa kamwota jana na hivyo nyingi zimwagika hewani...?
   
 11. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #11
  Apr 12, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Hahaha hata mie mkuu hicho kipimo huwa napimwa nacho sana. Kwani kuna uhusiano gani hapo eti akina mama mtuambieeeee
   
 12. Noname

  Noname JF-Expert Member

  #12
  Apr 12, 2010
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,269
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  HAhaa actually its first time nasoma kama kuna vipimo.....I meant... amwambie kama hapendi hiyo tabia na wivu ukizidi ni noma...
   
 13. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #13
  Apr 12, 2010
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Hicho kipimo lakini si kina ukweli?
  Itabidi u justify kwanini umekwenda chini ya viwango ndugu vinginevyo hapatoshi lol.
   
 14. T

  Tall JF-Expert Member

  #14
  Apr 12, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 1,431
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  samahani kama nakukwaza,hiyo avatar niiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.............?
   
 15. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #15
  Apr 12, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  ..bht, unajua mambo mengine mtu unajaribu kufikiria kama yana mantiki yoyote katika mahusiano...mi sioni. Hilo la kupima ujazo halikuwepo tulipoanza urafiki wetu karibu miaka 2 iliyopita. Ila sasa hivi naona linachukua sana nafasi tena kwa taarifa yako si ujazo tu wakati mwingine anataka mpka aone mzigo ni mzito kiasi gani usishangae unaulizwa ..mh! mbona za leo nyepesi hivi?? Unajua huwa nabaki kucheka tu.....Sijui kama na nyie wadada wengine hizo nazo ndio zenu!
   
 16. bht

  bht JF-Expert Member

  #16
  Apr 12, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  Laligeni kwenye mabo ya mahusiano hakuna ukomoo kujifunza (we always acquire new skills and techniques) usimshangae hakuwa hivyo miaka miwili nyuma.

  hili la wingi na uzito wa 'the so called mzigo' mie mgeni maeneo hayo. ila kila mwnamke ana vijimambo vyake.....dadaangu alikuwa na tabia ya kuchungulia boxers za mumewe akitoka job ili ajue jamaa alikula kona au lah....
  mweh me dunno Laligeni bana!!!
   
 17. roselyne1

  roselyne1 JF-Expert Member

  #17
  Apr 12, 2010
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  mnh huyo dada nahisi atafute vipimo vingine...:eek::D

  sidhani kama kuna uhusiano kati ya ufanyaji mapenzi na utokaji shahawa!!otherwise wale wanaume wanaoenda 'round' tatu na kuendelea wangekuwa wanatoa 'hewa' na si shahawa!..lol
   
 18. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #18
  Apr 12, 2010
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Dah sasa hicho kipimo kinapimwaje? anatumia measuring cylinder?lol! cc ngapi kwa round moja!!
   
 19. roselyne1

  roselyne1 JF-Expert Member

  #19
  Apr 12, 2010
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  heheh dada hataki mchezo!..anapima consinstency!!..sijui hio 'sample'..anaipata pata vipi...ikishaingia kuleee...mwee!lolz..siriazz wewe kaka utakuwa umemuharibu sana kisaikolojia...labda ushawahi kumcheat???
   
 20. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #20
  Apr 12, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  ...WOS kwa kweli sasa nimeamini kuwa waarabu wa pemba hujuana kwa vilemba. Hivi hili la ujazo laweza kweli likakupotezea muda mpaka wakati mwingine kusababisha uvunjifu wa amani?? I don't believe this....Sasa na sie tuna kipimo gani cha kujua kama mamaaa hakumegwa kitaa?
   
Loading...