Vita vya panzi ndani ya nyumba

Janjaweed

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
13,157
10,655
Really funny!!!

Hii ni true story kabisaa, kuna dada mmoja kamegwa na mume akagundua, sasa jamaa akamconfront mwizi wake na kumuomba aache... mwizi akaacha, basi imekua tabu nyumbani! mwanamke anashindana kulazimisha jamaa waendelee kwani mme anamsimanga nyumbani kwa kuachwa na sasa anaitumia kama fimbo kwamba mkewe is a loser mbaya

dada amekua very much aggressive hadi anatishia kwenda kumharibia aliyemmega kazini na kwa washikaji

je ingekua wewe mkeo amefanya hivi ungefanyaje? aachwe au vipi?
 
unampa counselling na kuongeza mapenzi maana huyo dada anashindana na mwanaume wa mtu kwa kukosa hamasa nyumbani!!! she must be mentally unstable though
 
sasa kama mambo ndo hivyo basi haina haja watu kuwa na ndoa... why are we getting married anyway? isnt to stay committed to one another and give each other respect?.... if you wanna f... other ppl no need to get married...honestly...
 
Really funny!!!

Hii ni true story kabisaa, kuna dada mmoja kamegwa na mume akagundua, sasa jamaa akamconfront mwizi wake na kumuomba aache... mwizi akaacha, basi imekua tabu nyumbani! mwanamke anashindana kulazimisha jamaa waendelee kwani mme anamsimanga nyumbani kwa kuachwa na sasa anaitumia kama fimbo kwamba mkewe is a loser mbaya

dada amekua very much aggressive hadi anatishia kwenda kumharibia aliyemmega kazini na kwa washikaji

je ingekua wewe mkeo amefanya hivi ungefanyaje? aachwe au vipi?

Anahitaji roho wa bwana huyo... ana pepo
 
Anahitaji roho wa bwana huyo... ana pepo
kumwacha mtu anaekupenda hali anajua una mwacha ni kujitafutia balaa na hata kifo. Ukitaka kumwacha akupendea nenda nae taratibu hadi unamwacha. USIZIME STOVE LINALOWAKA KWA MAJI LITAKULIPUKIA.Mambo huenda taratiiibu hadi....complete separation.
 
Back
Top Bottom