Nimelimiss sana hili Jukwaa la Mapenzi na Wadau Wake Wote | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimelimiss sana hili Jukwaa la Mapenzi na Wadau Wake Wote

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Regia Mtema, Mar 30, 2010.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Regia Mtema

  Regia Mtema R I P

  #1
  Mar 30, 2010
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 2,974
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  Wapenzi habari za masiku kadhaa.Nimatumani yangu kuwa wote tu wazima na tunaendelea vizuri na shughuli zetu za kila siku...Nilukuwa mbali kidogo nba jukwaa hili kwa sababu mbalimbali zilizokuwa nje ya uwezo wangu..Kifupi ni kwamba nilikuwa na majukumu yaliyonifanya niwe mbali na kitu kinachoitwa computer na hivyo kupitwa na mengi ndani ya jukwaaa letu murua la mapenzi..Nilikuwa napata wasaa mchache nakupitia kuleee kwenye jukwaa la siasa kidogo na kupotea..Kusema ukweli nimekosa vitu vingi vya humu na nimewamiss sana yaani ile mbaya..Nimemiss point zenu,nimemiss pumba zenu,nimemiss kucheka peke yangu,nimemiss kukuasirika peke yangu,nimemiss kufurahi peke yangu ,nimemiss na hata kuhuzunika..Vyote hivi huwa navipata ndani ya jukwaa hili..Nafurahi sana kurudi tena hewani leo...

  I missed you all!
  Mwaaaaaaaaaaaaaaa
   
 2. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #2
  Mar 30, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  We acha tu ; JF ni kiboko ; karibu ujumuike tena! Tume imiss pia mikasa ulityokuwa unatuletea
   
 3. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #3
  Mar 30, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  hata sie tulikumiss sana JF huko ulipokuwa kuna mafanikio yoyote na me niende kuchungulia ?
   
 4. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #4
  Mar 30, 2010
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,649
  Likes Received: 1,474
  Trophy Points: 280
  haya GS karibu sana. Uliwamiss wapwaz eeh!
   
 5. T

  Tall JF-Expert Member

  #5
  Mar 30, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 1,431
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  karibu
   
 6. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #6
  Mar 30, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,050
  Likes Received: 23,825
  Trophy Points: 280
  Hapo kwenye red leo nimesahau mawani yangu. Hebu nisomeeni hapo.

  Mimi siku-kumisi. Ila kiukweli Nimefurahi sana kurudi kwako hapa.
  Nigongee Senksi hapo kama ishara ya kudumisha mapenzi yetu.
   
 7. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #7
  Mar 30, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  karibu tena jukwaani gs tulikumis pia hope umekuja na michango mipya
   
 8. M

  Myujumi Juma Member

  #8
  Mar 30, 2010
  Joined: Oct 31, 2007
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nimem-misi kana ka nsungu
   
 9. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #9
  Mar 30, 2010
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Karibu sana bibie
   
 10. bht

  bht JF-Expert Member

  #10
  Mar 30, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  GS asante kwa kuwa honest, pamoj na kumis mapwenti ulimisi pia pumba
  good to have you back!!!
   
 11. Regia Mtema

  Regia Mtema R I P

  #11
  Mar 30, 2010
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 2,974
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  Jamani nashukuru sana kwa kunikaribisha tena..Asante sana Maskini Jeuri ila angalia usiwe mjeuri kwani ujeuri sio mzuri,mikasa ipo inakuja kwa wingi tu.Asante sana FL1 huko nilikotoka kuna mafanikio mzuri tu ila sijui kama unaweza kwenda kuchungulia.Ni unapita vijijini kupiga jaramba kama kichaa,halafu mbaya ni pale wengine hawakuelewi unazungumza nini,ni kugumu tulikuwa tunashinda na njaa,wakati mwingine tunakwama barabarani kwani barabara ni mbaya mvua ikishenyesha hazipitiki,kama unaroho ndogo huwezi kuvumilia kutoa machozi,watu bado ni maskini kupita kiasi,watoto wanaenda shule nusu shati limechanika miguuni yuko peke peku..shule zina walimu ama 3 au 6 tu,Zahanati anapatikana nesi mmoja tu ambaye hawezi kupoatikana wakati wote..ila kama uko fiti unaweza kwenda..Asante sana Kaizer niliwamiss sana wapwaz na binamuz wot.Asante sana Tall kwa kunikaribisha..Asante sana Xpin kwa kutonimis lakini nashukuru kwa kufurahi kwako kurudi kwangu..Ni kweli nimemiss some pumbaz za humu ndani kama zako n.k.Asante sna drphone usijali michango mipya ipo inakuja kwa wingi tu.Asante sana Charity na Bht kwa ukarimu wenu..

  Ni jumanne nzuri kabisa.
   
 12. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #12
  Mar 30, 2010
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Karibu tena GS, We missed you too
   
 13. Regia Mtema

  Regia Mtema R I P

  #13
  Mar 30, 2010
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 2,974
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  Asante sana Ndege ya Uchumi
   
 14. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #14
  Mar 30, 2010
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  You are Welcome
   
 15. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #15
  Mar 30, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  thanx GS hayo ndo maisha ya uswazi kwetu usihofu nimeyazoea we nipe mchongo .
   
 16. Regia Mtema

  Regia Mtema R I P

  #16
  Mar 30, 2010
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 2,974
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  Sio rahisi kama unavyodhani.lakin kwa kuwa wewe ni FL1 na unapaswa kuwa tayari kwa lolote,naamini kabisa utaweza..Jiandae afta Ista tunaweza kuwa wote..Hakuna kulala mpaka kieleweke.
   
 17. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #17
  Mar 30, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,050
  Likes Received: 23,825
  Trophy Points: 280
  Dah! Kweli uzee mbaya. Mi siku zote nilikuwa najiona namwaga vyointi vya kufa mtu kumbe pumbaz? Anyaway ndio matokeo ya kusomea chini ya miembe. Ulichonifurahisha hukunibania Senksi. Siku nyingine ukienda tena vijijini nione nikupe listauti langu. Masharti yake ni lazima angalau pipa la mbege liwemo.
   
 18. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #18
  Mar 30, 2010
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Pole na majukumu karibu tena mamii!
   
 19. bht

  bht JF-Expert Member

  #19
  Mar 30, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  hahaaaa thats why GS missed you
   
 20. bht

  bht JF-Expert Member

  #20
  Mar 30, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  ulienda kisiasa GS??
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...