Nimwokoaje Dada yangu??

KakaJambazi

JF-Expert Member
Jun 5, 2009
18,712
12,068
Miezi michache iliyopita nilimkabidhi shemeji yangu dada yangu kwenye sendi off iliyofuatiwa na harusi ya kubwa iliyofana sana.

Wiki mbili zilizopita nilikua natembelea mitandao ya mahusiano, na mara nikakuta jina la a.k.a la shemeji yangu likuwa ninatafuta mchumba au rafiki wa kike TU wa kuchati nae.
Mi nikajipa jina na kike na kuanza ku-flirt naye.
Niliamua kujiridhishe kwa kumwomba namba ya simu, nae akanipa. Kuitest kwenye simu yangu, ika-display jina la shemeji yangu. Sikujali,,,nikaendelea ku-flit naye kimapenzi zaidi. Aliniomba namba ya simu, nikamwambia nitampa wakati muafaka ukifika,kwani alitaka tuwe tunaongea.

Huyu shemeji yangu amefikia hatua ni kuniambia kuwa hana mke na kuthibitisha hilo ameniomba aje aspend na mimi kuanzia Ijumaa kuu mpaka Jumatatu ambako Jumanne anatakiwa arudi kazini.
Yeye yuko Dar mi niko Moro, sasa wakuu nimkubalie afu akija nimtoe manundu au mnanishaurije?
Huyu shemeje yangu si atamletea ukimwi dada yangu???
 
Unampenda?
Nia yako ilikuaje tangu mwanzo na usipoangalia unaweza kuvunja mahusiano au ndoa ya mtu na hii ni dhambi kubwa katika ulimwengu wa mapenzi!!!!!
 
Nampenda nani mkuu?? kumbuka huyo ni dada yangu ambae ameolewa na janaume ambalo si mwaminifu.
 
kubaliana nae aje moro ,akija mueleze anavyofanya ni hatari na umuonye asipoacha ulafi utamweleza dada yako
 
Aaah, okay! nimeelewa sasa!
KakaJamnazi - Achana na hiyo usionane nae kabisa ila ww mchukulie poa afu mchimbe bit mnavyochat !!
Mwambie unamfahamu fika na wala asijue ww ni mwanaume,anachotakiwa kujua ni kwamba ww ni demu tu!! ila umeshamjua kabisa - na unamshauri aache hiyo tabia - mchane details za ukweli - mtole ee mauivu!
 
Hivi wewe unafanya kazi ya kuhakikisha shemeji zako hawatoki nje ya ndoa za dada zako? Sijaelewa hiyo curiosity yako imeanzia wapi.
Hivi ukimwambia dada yako, halafu wasipoachana itakuwaje? Nadhani si busara kwa mwanaume kufuatilia ndoa ya dada yake!
Wewe ushawahi ku'cheat'?
 
jamani naona sasa mambo yamegeuka kwa kasi ya ajabu na hiyo ndoa bado changa
Labda shemeji ameshindwa kuridhika na dadaako
Nimekosa la kusema hapa
 
FL1, you are so right - yawezekana pia huyo dadake anakaujazito so vimbwanga vimeanzaa ndani ya nyumba.
 
mmmmh jamani jamani mbona kila sehemu kuna vilio tu!
hizi ndoa kwani wanaume mlilazimishwa?
hawezi kusema mkewe hamridhishi wakati ndo wkanza wana miezi kadhaa, wanatakiwa watatue matatizo yao sio kukimbilia wanawake miji mengine
shame on him ......and shame on wanaume wote wenye tabia za hivi
 
Miezi michache iliyopita nilimkabidhi shemeji yangu dada yangu kwenye sendi off iliyofuatiwa na harusi ya kubwa iliyofana sana.

Wiki mbili zilizopita nilikua natembelea mitandao ya mahusiano, na mara nikakuta jina la a.k.a la shemeji yangu likuwa ninatafuta mchumba au rafiki wa kike TU wa kuchati nae.
Mi nikajipa jina na kike na kuanza ku-flirt naye.
Niliamua kujiridhishe kwa kumwomba namba ya simu, nae akanipa. Kuitest kwenye simu yangu, ika-display jina la shemeji yangu. Sikujali,,,nikaendelea ku-flit naye kimapenzi zaidi. Aliniomba namba ya simu, nikamwambia nitampa wakati muafaka ukifika,kwani alitaka tuwe tunaongea.

Huyu shemeji yangu amefikia hatua ni kuniambia kuwa hana mke na kuthibitisha hilo ameniomba aje aspend na mimi kuanzia Ijumaa kuu mpaka Jumatatu ambako Jumanne anatakiwa arudi kazini.
Yeye yuko Dar mi niko Moro, sasa wakuu nimkubalie afu akija nimtoe manundu au mnanishaurije?
Huyu shemeje yangu si atamletea ukimwi dada yangu???
Mmmmh!! Hyo walioana kwa mantiki ipi,au walikutana tu uchochoroni baadae ndo? Kama ni ndoa walio kusudia na mwenyezi MUNGU akatoa baraka zake sidhani, ila kama wamekutana tu uchochoroni hayo ndo madhara yake.
 
Miezi michache iliyopita nilimkabidhi shemeji yangu dada yangu kwenye sendi off iliyofuatiwa na harusi ya kubwa iliyofana sana.

Wiki mbili zilizopita nilikua natembelea mitandao ya mahusiano, na mara nikakuta jina la a.k.a la shemeji yangu likuwa ninatafuta mchumba au rafiki wa kike TU wa kuchati nae.
Mi nikajipa jina na kike na kuanza ku-flirt naye.
Niliamua kujiridhishe kwa kumwomba namba ya simu, nae akanipa. Kuitest kwenye simu yangu, ika-display jina la shemeji yangu. Sikujali,,,nikaendelea ku-flit naye kimapenzi zaidi. Aliniomba namba ya simu, nikamwambia nitampa wakati muafaka ukifika,kwani alitaka tuwe tunaongea.

Huyu shemeji yangu amefikia hatua ni kuniambia kuwa hana mke na kuthibitisha hilo ameniomba aje aspend na mimi kuanzia Ijumaa kuu mpaka Jumatatu ambako Jumanne anatakiwa arudi kazini.
Yeye yuko Dar mi niko Moro, sasa wakuu nimkubalie afu akija nimtoe manundu au mnanishaurije?
Huyu shemeje yangu si atamletea ukimwi dada yangu???
Angalia asije akakutoa wewe manundu.
 
mheshimiwa kakajambazi,
kwanza nisamehe sana kama NITAKUKWAZA KWA USHAURI HUU.

lakini pia mimi naomba nikushauri tu......JIANGALIE SANA UNAKOELEKEA KISAIKOLOJIA.UNAWEZA KUTA UNA ELEMENT ZA KI-''BWABWA''

watch out
 
very sad indeed... watu wengine hawako tayari na marriage life... sijui kwanini wanaoa...

may be u can have a chat with him (man to man) jaribu kujua anatatizo gani na vipi unaweza kumsaidia...
 
Unampenda?
Nia yako ilikuaje tangu mwanzo na usipoangalia unaweza kuvunja mahusiano au ndoa ya mtu na hii ni dhambi kubwa katika ulimwengu wa mapenzi!!!!!

Naona hujaelewa post, yy ni mwanaume alijifanya mwanamke baada ya kuona jina ni la shemeji yake yani mume wa dadake.
Mtoe nishai huyo akome kujifanya hajaoa wanaume wengine jamani ni wajabu sana, sasa miezi michache tu toka ameoa keshaanza kutafuta nje?
 
Ataokolewa kwa Neema ya Mungu

Hapo hakuna ushauri unaoweza kusaidia - Hiyo "flirting" uliyofanya inanipa picha kuwa na wewe ni maarufu kwenye "online dating" and to be frank you hve got to refrain from such habit!
 
mheshimiwa kakajambazi,
kwanza nisamehe sana kama NITAKUKWAZA KWA USHAURI HUU.

lakini pia mimi naomba nikushauri tu......JIANGALIE SANA UNAKOELEKEA KISAIKOLOJIA.UNAWEZA KUTA UNA ELEMENT ZA KI-''BWABWA''

watch out

What??? ivi umefikiaje iyo conclusion? ulisahawahi kunipa nikashindwa kukufanya??
 
Back
Top Bottom