Komamanga...

Annina

JF-Expert Member
Nov 15, 2009
437
57
Nalisifu Komamanga kwa ladha ya mdomoni
Lenyewe ni tumaini kwa utamu namba wani.....


Annina
 
nalisifu komamanga kwa ladha ya mdomoni
lenyewe ni tumaini kwa utamu namba wani.....


annina
komamanga gani mama walisema?
NILONALO MIMI MSHIKI KESHACHUMA
umechuma wapi hilo unalonani hapa?
kama ni iringa hakika wajua kuyalima
 
Nalisifu Komamanga kwa ladha ya mdomoni
Lenyewe ni tumaini kwa utamu namba wani.....


Annina
Lakini kuwa makini,
Lisije ibiwa na anti,
Likapotea machoni,
Kama lile la awali,
Ukaja kulia kwa chozi!
 
Lakini kuwa makini,
Lisije ibiwa na anti,
Likapotea machoni,
Kama lile la awali,
Ukaja kulia kwa chozi!

KOMAMANGA LAWEZA MTOA anina machozi?
hakika holo litakuwa la iringa au kaishozi
tunda hili annina ulichume kwa pozi
ukilipania sana linaweza kutia simanzi
ukiliachia sana linaweza kutia machozi
ningekushauri umshirikishe sana mwenyezi
akusaidie uweze lifurahia tuna hilo kwa bila majonzi
 
komamanga gani mama walisema?
NILONALO MIMI MSHIKI KESHACHUMA
umechuma wapi hilo unalonani hapa?
kama ni iringa hakika wajua kuyalima

Nimechelewa jamvini karamu imeshaliwa...........?


Annina
 
Nimepata komamanga linalonitia damu
Hilo ndio tiba ya hubu lenye mapenzi matamu...


Annina
 
Mwanakijiji ameshaanza kuambukiza watu misamiati ..
Komamanga tunda ama komamanga manga ?
 
Mwanakijiji ameshaanza kuambukiza watu misamiati ..
Komamanga tunda ama komamanga manga ?


Komamanga...Utafiti wa kisayansi unaonyesha linaweza kuzuia kansa ya titi...ni vizuri ukawa nalo karibu...:):):)
pom.jpg


Annina
 
karudi bab mmoja toka safari ya mbali kavimba yote mapaja na kuktetemeka mwili watoto wake ili kumtaka hali......
 
haya mambo ya mashairi jamani wengine tunakosa jibu naona washaingiza na yale ya daraa la4 huku
 
Hapa naona kumamanga litaliwa kabla ya pasaka..............lakini kumbuka una siku kama 50+ hivi kijana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom