Nani Kidedea mapenzi asilia au mapenzi mwigo(kwenye vitabu na kideoni) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nani Kidedea mapenzi asilia au mapenzi mwigo(kwenye vitabu na kideoni)

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Magulumangu, Apr 9, 2010.

 1. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #1
  Apr 9, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,041
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Jamani avumaye baharini kumbe papa wengine wamo,mchumia juani hulia kivurini,mganga na njaa hafi masikini...ni tatu lkn zina maana kiao jamani...nipeni hoja zenu nyie kinadada maana wengine huwaita kuku wa kienyeji lkn mie huwaita them knows love meanings and love definitions..je who is who kwene mambo?modern one au kale ka kienyeji?Tunda la kumwagiliwa au la porini?apple la Dubai au la Tanga?Jogoo la mjini au lisilowika town?
   
Loading...