Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

wadau, naona huyu jamaa sasa anahitaji serious search au tumweke kwenye lost people Arusha is not the same without him
0 Reactions
67 Replies
5K Views
Jamani habari za maisha na masiku tele,kwaweli nawamiss na kuwapenda sana
0 Reactions
27 Replies
2K Views
Umewahi kuwa na njozi (fantasy) juu ya mke au mume wa rafiki yako? Kuna rafiki yangu ana mke bomba sana na kila mara huwaga namuwaza kwenye njozi zangu kuwa siku nikimpata huyu...atanikoma. Saa...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
:eyeroll2...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
kwa bahati nzuri au mbaya nimefanikiwa kuyanasa mazungumzo fulani kati ya watu wawili wapendanao GF: kwanini uniambie, kata kwanza simu kuna mtu ananipigia BF: alikuwa ni bosi wangu anataka...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Nimeshawahi kuona tafiti mbalimbali na kusoma makala kadhaa zinazodai eti wanaume kwa wastani huwaza kuhusu ngono kila sekunde 7. Sijui kama ni kweli au vipi lakini hivyo ndivyo inavyosemekana...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Secret's out Women cheat out of boredom, men wander for pleasure By TANYA ENBERG We hear a great deal about men who stray - the news of cheating hubbies Tiger to Jesse jump out at us from the...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Imekuwa kama kasumba siku hizi, wadada na wamama wengi walio katika ndoa huwa hawapendi kuvaa pete za ndoa zao. Hii hata kwa wakaka na wababa pete za ndoa zimekuwa kama ni sumu kwao pia. Ajabu...
0 Reactions
81 Replies
9K Views
Moja ya vitu vibaya sana katika mahusiano ya kimapenzi ni kuachwa na mpenzi wako (to get dumped). Mbaya zaidi ni pale unapoachwa kwa ghafla bila hata kuona dalili. Unastukia tu mwenzako anakata...
0 Reactions
29 Replies
10K Views
YouTube - tina turner, david bowie, tonight Neema Upooo
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa wale mnaojitutumia kuwa ni "wana wa mungu milio safi " lakini pia mnapenda kula uroda nje ya ndoa zenu na wana kondoo yawapaswa kuepuka jambo hilo kwani iajapo siku Mungu atasema nanyi kwa...
0 Reactions
15 Replies
8K Views
Top 10: Marital Problems Marriage is an institution, though sometimes it can feel like a mental institution. When yet another argument about your unwillingness to have kids follows hot on the...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Za leo wandungu wapendwa katika jamii hii, Naomba kuuliza hivi ni dalili zepi ambazo mwanaume atajua kuwa mumsapu kamchoka na kumkinai kabisa. Maana kuna dalili nizionazo mimi zanichanganya...
0 Reactions
49 Replies
6K Views
Nina mpenzi wangu,mpaka sasa simuelewi na kila ninalofikria kummfanyia naona halinimtoshi.mwaka 2004 tulikuw wapenzi,tukaachana ktk mazingira yeye mwenyewe kaamua.mwaka 2007 akaomba turudiane...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Right where you are at in life, looking back if you could turn back the hands of time, what would you do differently? Would you not have said yes to the one you have now? Is there anyone in your...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hivi wadada wanapopiga makelele wakati wa tendo kuu je inaashiria nini? wanasikia raha kuliko wanaume wananakuseti ili umalize haraka wanaumia?
0 Reactions
10 Replies
2K Views
This is a true story... Mwaka mmoja baada ya myfriend kupata 1st degree alioa na mwaka mmoja baadae alirudi chuo kupiga masters. At the same year wife wake aliregister for bachelor at the same...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Wapenzi kila mmtu anajua umuhimu wa shuguli ama kazi na hasa kwa wapendanao vyema akija mwenzio toka kazini mkapeana pole hny sijui sweet/darling/luv/nk si haba ukiwa mnaanza shuguli vyrma...
0 Reactions
39 Replies
5K Views
Hatuna budi kumshukuru Aliye Juu kwa uumbaji wake wa kushangaza ambao majira haya ya kiangazi yanaufunua kwa namna ya ajabu na ya kutisha. Tumshukuru kwa kutupa macho ya kuweza kushuhudia...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…