Kwa wapendanao na marafiki. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa wapendanao na marafiki.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Edmund, Jun 3, 2010.

 1. E

  Edmund Senior Member

  #1
  Jun 3, 2010
  Joined: Jul 17, 2009
  Messages: 122
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  kwa bahati nzuri au mbaya nimefanikiwa kuyanasa mazungumzo fulani kati ya watu wawili wapendanao
  GF: kwanini uniambie, kata kwanza simu kuna mtu ananipigia
  BF: alikuwa ni bosi wangu anataka taarifa za ofisi
  GF: kwani hamkuonana ofisini
  BF: nilikuwa field mchana kutwa wakati narudi ofisini hakuwepo
  GF: nieleze kabisa kati ya bosi wako na mimi nani muhimu zaidi kwako?
  BF: wote muhimu kwani yeye ananiweka mjini nawe wanipa furaha.
  GF: naomba chagua mojawapo kati ya hayo (mimi au bosi wako)

  Naomba mnisaidie juu ya hili wanaJF, kuna tatizo kumwambia mpenzi au rafiki yako ya kwamba naomba kata simu yako ili uongee na mtu mwingine kwa dharula, kisha baadae utampigia.
   
 2. Egyps-women

  Egyps-women JF-Expert Member

  #2
  Jun 3, 2010
  Joined: Feb 5, 2010
  Messages: 499
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kazi ni muhimu sana ..pia mme ni muhimiu ingawa.............
  Kwa yale yote mme wangu mpenzi aliyonitendea kama ningeichezea kazi yangu ningejikuta nakosa vyote
  mme sina lakini sasa nina kazi naitunza family yangu
   
 3. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #3
  Jun 3, 2010
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Tatizo sisi wabongo UKWELI ni kitu adimu sana.Watu wakweli labda ni 1% wengine 99% all liars(hadi inafikia point mtu anajidanganya mwenyewe).Tena hizi simu ndio kabisaaa zimeongeza uongo.mtu yupo posta lakini atasema nipo ubungo kanisani.Imani imepungua kwakweli.Lakini kama mtu anaeleza ukweli kuwa anaongea na mtu mwingine kwa dharura haina tatizo.
   
 4. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #4
  Jun 3, 2010
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Pole sana Egyps-women.Ndio dunia iilvyo na mapito ni sehemu ya maisha ila kila mtu anayo ya dizain yake.
   
 5. E

  Edmund Senior Member

  #5
  Jun 3, 2010
  Joined: Jul 17, 2009
  Messages: 122
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  nahisi kama yamekukuta, pole hata hivyo jipe moyo utayashinda.
   
 6. T

  Tall JF-Expert Member

  #6
  Jun 3, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 1,431
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  1.Mke au mme kazini ana hadhi ya VIP/mtu muhimu....acha kazi zote msikilize....akikutembelea au akikupigia simu.
  2.Girlfriend/boyfriend/Mchumba......asikubabaishe ....HAJULIKANI WALA HATAMBULIKI KAZINI.....kazi kwanza.
  3.Ukiwa na mke/mme huna haja ya kumpigia simu akiwa kazini kwake hadi saa za kazi ziishe si mlillala wote usiku kucha au UNAVIZIA?
  4.Kunapotokea dhalula, kifo,ajali,...hapa simu ni muhimu sio unajipigia misimu OVYO ukiulizwa ulikuwa unasemaje utasikia....aaaah ''NAKUMISS'' au
  nakusalimia tu ila usisahau ile kitu TULIOONGEA.HII HAIFAI ULE SI MUDA WAKO NI MUDA WA KAZI.
  5.Kama huwezi au huna uvumilivu,mwambie abaki nyumbani.
  6.Utakuta watu kutwa nzima atapiga simu mara 10 hivi kwa mmewe/mkewe akiwa kazini.
  7.Au wengine haipiti siku lazima aende kwa mkewe/mumewe anakofanyia kazi sijui WIVU?utamfumania nani wewe ofisini? watu kutwa nzima wapo pamoja wakitaka wataiiiiiiiiiiiba hadi wachoke.......achana nao USIMFUATILIE MPENZIO KAZINI...TABIA MBAYA SANA
  Hayo ni mawazo yangu samahani kama nawakwaza wadau wa JF
   
 7. Askofu

  Askofu JF-Expert Member

  #7
  Jun 3, 2010
  Joined: Feb 14, 2009
  Messages: 1,668
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 133
  Tatizo simu zina uongo mwingi sana... mm sidhani kama ni tatizo lakini inategemea na mazingira unayoishi ww na huyo mpenzi wako... kama ni uhusiano wa ki-uongo uongo au uhusiano wa kuaminiana
   
 8. T

  Tall JF-Expert Member

  #8
  Jun 3, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 1,431
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  HALAFU MKUU SAMAHANI,UKIONA MAWASILIANO YAMEINGILIANA......KATA SIMU,UTAJASIKILIZA VISIVYOSIKILIZWA.
  SAMAHANI TENA KAMA NAKUKWAZA LABDA NIKUULIZE.......eeeeeeh au uli divert simu yako iingiliane nao mkuu?
   
 9. E

  Edmund Senior Member

  #9
  Jun 4, 2010
  Joined: Jul 17, 2009
  Messages: 122
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Yaani upo unaongea na simu na mkeo/mumeo halafu simu muhimu ya bosi wako inaingia, kwa taahadhari kabisa unamtaka mkeo/mumeo akate kwanza simu ili umalizane na bosi wako. baada ya hapo yeye anakuja na malumbano.
   
 10. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #10
  Jun 4, 2010
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,261
  Trophy Points: 280
  Shida itakuja pale ambapo akimaliza kuongea na 'Boss' akasahau/kushindwa ku-return call yangu. Jamani, tuwaamini wenzi wetu until proven otherwise. Kama ni house B, si ataipigia tu badae kwa wakati wake!!
   
 11. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #11
  Jun 4, 2010
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  hapo blue cjakupata vizuri tall....
   
 12. Iza

  Iza JF-Expert Member

  #12
  Jun 4, 2010
  Joined: Jan 8, 2009
  Messages: 1,848
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Mpenzi/Mke/muhimu..ila KAZI ni muhimu zaidi...
  Bila kazi walahi kesho ashawasha indiketa....safari..
  Mjini hapa utakuwa mgeni wa nani?...
   
 13. s

  shwishwi Member

  #13
  Jun 4, 2010
  Joined: May 21, 2010
  Messages: 56
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  duh kazi aiseee kaniuzi usiku kucha ila asubuhi nimeamkia job at least akili haiwi pale pale...
   
Loading...