PJ still unreachable

TIMING

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
24,902
11,292
wadau, naona huyu jamaa sasa anahitaji serious search au tumweke kwenye lost people

Arusha is not the same without him
 
wadau, naona huyu jamaa sasa anahitaji serious search au tumweke kwenye lost people

Arusha is not the same without him
HAHAHAHA!
kaka nilikwambia upitie kwa stella hapo kuna bia zangu kadhaa

enewei mi naenda chemba leo kuzindua salario yangu,wadau watakuwepo?

piijei ameenda kuvuna viazi vitamu uwanji-hakuna mtandao
 
yani thanks teamo preta na wadau... Sasa hata aijui nifanyenje! Wp hiyo kwa huyo galaxy?
 
HAHAHAHA!
kaka nilikwambia upitie kwa stella hapo kuna bia zangu kadhaa

enewei mi naenda chemba leo kuzindua salario yangu,wadau watakuwepo?

piijei ameenda kuvuna viazi vitamu uwanji-hakuna mtandao

nshatoka sasa hebu nielekeze kwa stella
 
pj maana yake nini maana nimemsikia jamaa mmoja anatamka pj ikiwa na maana ya pamoja..............hebu kama una nia nzuri eleza kwa ufasaha ili kila anayefungua thread yako aelewe maana ya kile unachokiandika.....................TUSICHOSHANE
wadau, naona huyu jamaa sasa anahitaji serious search au tumweke kwenye lost people

Arusha is not the same without him
 
Back
Top Bottom