Fikira za ngono baina/kati ya jinsia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Fikira za ngono baina/kati ya jinsia

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Nyani Ngabu, Jun 2, 2010.

 1. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #1
  Jun 2, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Nimeshawahi kuona tafiti mbalimbali na kusoma makala kadhaa zinazodai eti wanaume kwa wastani huwaza kuhusu ngono kila sekunde 7. Sijui kama ni kweli au vipi lakini hivyo ndivyo inavyosemekana.

  Sasa jana wakati natoka zangu kazini nikaamua kupitia mall. Nilikuwa naenda zangu kula mbawa za kuku (chicken wings) kwenye lounge iliyopo ndani ya mall kwa sababu sikuwa najisikia kupika. Basi nikafika nikaegesha mchuma wangu halafu huyo nikaingia ndani. Nikala mbawa zangu nilipomaliza nikajiondokea zangu.

  Kutoka nje kwenye parking lot nikawa nimesahau nimeegesha wapi gari. Hii huwa inanitokea sana hasa kwenye sehemu zenye parking lots kubwa kama Walmart. Sikutaka kubonyeza panic button kwa sababu inapiga kelele sana. Basi nikaamua kuzunguka tu hapo kwenye parking lot kutafuta nilipoegesha.

  Katika zunguka yangu hapo kwenye parking lot nikakutana na mdada aliyekuwa anahangaika kufungua mlango wa gari yake. Nikamsalimu halafu nikajitolea kumsaidia kufungua mlango wa gari yake. Alikuwa mdada maridadi kwelikweli. Kuanzia kichwani hadi miguuni. Halafu alikuwa ananukia vizuri sana hadi nikamwambia 'you smell good' naye kwa tabasamu akasema 'thank you'. Nikafanikiwa kuufungua mlango na akanishukuru sana. Akaniambia anafanya kazi hapo kwenye mall na kama mimi ni mwendaji wa mara kwa mara hapo tunaweza kuonana tena. Basi tukaagana, akaondoka zake nami nikapata nilipoegesha huyo nikatimka zangu.

  Sasa muda wote ule pale wakati namsaidia mawazo ya ngono yakanijia. Nikaanza kumpiga picha kichwani mwangu akiwa mtupu na jinsi nitakavyomnanihino. Yaani muda wote wakati niko pale mpaka hivi sasa naandika hap bado namuwaza kingono ngono. Lakini hii si mara ya kwanza au ya pili. Ni kama jadi kwangu kuwaza ngono nimwonapo mwanamke. Hata nikiwa kazini siku akija demu kapendeza basi mawazo ya ngono yananijia. Hivi ni mimi tu mwenye kuwaza ngono muda mwingi au ni kawaida ya wanaume ngono kutawala fikira zao.

  Na ninyi kina dada huwaga mnawaza sana ngono?
   
 2. T

  Tall JF-Expert Member

  #2
  Jun 2, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 1,431
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  1.kila mwanamme rijali huwaza ngono.
  2.ila wewe naona mkuu umezidi kidogo kila ukionacho unakitaka.na kila mara unawaza mechi.sijui unaishi wapi,lakini bado kidogo waweza jikuta unatongoza jini au unalala nalo kabisa.ni hapo sasa mkuu
  3.najua baadae utabadilika.......ukishakula sanaaaaaaaa utaona vitu vya kawaida tu.
  4.kwa kawaida wanaume wengi muda mwingi tunawaza tutaongezaje pesa tulizonazo ziwe nyingi zaidi.hiyo ndio issue kubwa
  5.halafu pia yaelekea hujakutana na akina mama wataalamu wa ile kitu,akikupigisha mechi ya uhakika, siku tatu au zadi zitapita huna hamu ya mwanamke yeyote.mkuu unaonaje ukioa kabisa?
   
 3. pcman

  pcman JF-Expert Member

  #3
  Jun 2, 2010
  Joined: Oct 9, 2008
  Messages: 743
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  "Lakini kila mmoja hujaribiwa na tamaa yake mwenyewe huku akivutwa na kudanganywa. Halafu ile tamaa ikiisha kuchukua mimba huzaa dhambi, na ile dhambi ikiisha kukomaa huzaa mauti. Ndugu zangu wapenzi, msidanganyike. " (Yakobo 1:14-16).
   
 4. Brooklyn

  Brooklyn JF-Expert Member

  #4
  Jun 2, 2010
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 1,453
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Mkuu Nyani Ngabu, hata mimi hii kitu unitokea mara kwa mara!! Sometime huwa nahisi naweza hata kupata ajali especially nikiwa na drive kwenye barabara ambazo mabinti wanapita pembeni. Niko sexually active mpaka najiogopa.

  Nimuonapo yule anayegusa mtima wangu niko radhi kupaki pembeni (hata sehemu isiyo ruhusiwa ku paki magari) au kama napandisha ofisini floor ya 4, naweza hata kupitiliza hata floor ya 28 ili angalau nibadilishane namba ya simu.

  Wakati mwingine nikikaa na kutafakari ninavyowapenda walimbwende, naona poa tu because its sooooo fun undressing them!! Guys it makes life worth living!!
   
 5. Da Womanizer

  Da Womanizer JF-Expert Member

  #5
  Jun 2, 2010
  Joined: May 24, 2010
  Messages: 1,561
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  1. nyekundu: sio kwamba unataka bali unatamani tu. Ni kawaida kabisa ubaya ni kuanza kupigia misele especially kama tayari una wako wa kuzikana.
  2. kijani: Mimi nishakula sana mademu lakini kila ninavyokula ndivyo ninavyozidi kudata na hawa viumbe. Halafu kitu cha ajabu ni kwamba nikiamua kutulia hata tamaa pia huwa zinatulia sana. Mi nafikiri kula sana haisaidii kwa sababu hata mkuu NN kama kula kwa mujibu wa yeye mwenyewe amekula sana tu.
  3. blue: pesa ni ishu kwa sababu kuna hawa wanawake, we unadhani bila vidosho tungechakarika sana aaah wapi.
  4. brown: Mkuu mi cku nikikutana na demu halafu nikamkubali kitandani kesho yake huwa nataka nimege tena kitu ileile kwa nadhani inategemea na mtu.
   
 6. Da Womanizer

  Da Womanizer JF-Expert Member

  #6
  Jun 2, 2010
  Joined: May 24, 2010
  Messages: 1,561
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Mkuu wewe ni typical FATAKI mzee wa ATM.
   
 7. JS

  JS JF-Expert Member

  #7
  Jun 2, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 2,065
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Sasa NN wanifanya nisikie wivu mwenzio kama mambo yenyewe ndo hayo huko kwenye parking lots lol...........na ukiwa club inakuaje maana ndo skimpy dresses all over cleavage thighs sijui nguo mibano.............are we safe???:rolleyez:
   
 8. Bazazi

  Bazazi JF-Expert Member

  #8
  Jun 2, 2010
  Joined: Aug 18, 2008
  Messages: 2,026
  Likes Received: 545
  Trophy Points: 280
  Kawaida ya mwanaume kila aonapo mtoto mrembo anayefikia viwango na vigezo vyake kuanza kumuwazia akiwa uchi na shughuli nyingine. NN ni kawaida, tatizo huanza pale unapotaka kuanza kuifanya hisia yako kuwa vitendo. Plz ishia kusifia uumbaji kaka NN!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 9. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #9
  Jun 2, 2010
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  Wewe tatizo lako huna mke.....
  Ukiwa na mke mawazo hayo hupungua
  tafuta mwanamke wa kuishi nae.....
  Halafu find a cause in ur life,
  some dreams to acomplish....
   
 10. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #10
  Jun 3, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  I can't help it if your woman gets wet when she thinks about me...
   
 11. K

  KipimaPembe JF-Expert Member

  #11
  Jun 3, 2010
  Joined: Aug 5, 2007
  Messages: 1,287
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Hii kitu kila mtu unajihisi labda ndo wewe una matatizo. Hata nimege mara mbili kila siku, bado nikiona mdada anatembea na cleavage zinajiachia, za kifuani au za nyuma; lazima nipige jicho. Hapo hakuna msaada. Kuna wakati naweza shinda siku nzima niko kwenye keyboard nafanya kazi lakini kilichomo kichwani ni ngono tupu. Sijui. Wengine tulitakiwa tuwe na wake wengi kama mswati au mfalme solomon; lakini ndo hivyo tena mazingira yanabana. Huyo wako anachoka mapema na kila siku hawezi, aaa mtu unajionea karaha tu.

  Huwa nina tabia ya kufanya mazoezi ya kutembea especially weekend natembea at least 12KM kila siku ya weekend. When I do that Usiku wake inakuwa kama nimekula viagra; na kesho yake ni matatizo. Kuwa busy haisaidii sometimes especially kunapokuwa na vishawishi arround (wadada). Eeeeh, well FATAKI ni ukweli halisi na wengine we are FATAKI's bila kupenda. Ni mwili unajisikia hivyo sasa tufanyeje??? tuwachimbe tuuu hadi cku zetu zitakapoisha.

  Mawazo ya ngono ni 80% of the time, lakini mzigo mtu unadunda bila problem!!
   
 12. Da Womanizer

  Da Womanizer JF-Expert Member

  #12
  Jun 3, 2010
  Joined: May 24, 2010
  Messages: 1,561
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Kula tano kwanza ila nawe balaaaaaaaaaaaaaaaaa
   
 13. Tumsifu Samwel

  Tumsifu Samwel Verified User

  #13
  Jun 3, 2010
  Joined: Jul 30, 2007
  Messages: 1,406
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Kwa bahati mbaya mimi siwazi hayo mambo sijui kwa sababu sijavunja kisaani au?
   
 14. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #14
  Jun 3, 2010
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280

  still obssessed with my woman?
  As if u know her.......
  How pity of u.........
   
 15. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #15
  Jun 3, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Between me and her who soaks her panties at the thought of me, who is obssessed?
   
 16. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #16
  Jun 3, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  NN hamna tatizo hapo hata kidogo ....................unakwenda sambamba na tafiti zilizofanywa. inaonyesha kuwa at least wewe ni kama hao waliofanyiwa utafiti.

  aliefaa kuja kutuuliza suala hapa ni yule anaefikiria ngono mara moja kwa wiki!
   
 17. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #17
  Jun 3, 2010
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  something is wrong with u big time....
  go get a life.......
   
 18. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #18
  Jun 3, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  It ain't my fault if you can't work the middle coz your ting-a-ling is too little. And it ain't my fault your woman has a crush on me...pimpin' ain't easy but somebody (I) got to do it....
   
 19. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #19
  Jun 3, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  tamaa zako tu hizo, kemea shetani huyo!
   
 20. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #20
  Jun 3, 2010
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  senkss..wengne n hevi weiti kiaina..najifua kiaina kuwa fiti..ila hata nchoke vp..binti wa Eva akijpendekeza...atajpa likizo ya ck 3 baada ya libeneke.... hadi huwa najiuliza kama nna ka-pepo!!kazi,zoez c tiba..!!
   
Loading...