Pete za Ndoa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pete za Ndoa

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Masanilo, May 31, 2010.

 1. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #1
  May 31, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Imekuwa kama kasumba siku hizi, wadada na wamama wengi walio katika ndoa huwa hawapendi kuvaa pete za ndoa zao. Hii hata kwa wakaka na wababa pete za ndoa zimekuwa kama ni sumu kwao pia. Ajabu wadada wasiokuwa na ndoa utawaona wametinga pete tena kwenye kile kidole cha kuvaliwa pete ya ndoa. Hivi pete zinaficha nini? Kuvaa ama kutokuvaa kunabadili heshima ya mtu?
   
 2. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #2
  May 31, 2010
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  kwa yoyote alieoa na kuolewa na avae icho kitambulisho alichokikubali mwenyewe cku anajiingiza kwenye cub ya ndoa bila kulazimishwa na yoyote, lakini ndio hivyo tena kia mtu anazichukulia ki vyake, kwangu mie cjawahi kuivua mwaka wa 6 sasa.
   
 3. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #3
  May 31, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Hapo sasa hebu niambie sababu ni nini haswa? Nina hakika bado unayo hiyo pete
   
 4. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #4
  May 31, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,060
  Likes Received: 24,064
  Trophy Points: 280
  Ungekuwa mke wangu ungesha kamata talaka zako tatu
   
 5. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #5
  May 31, 2010
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  bado ninayo, ndio kitambulisho changu nilichoapa nacho altareni, na wewe ulishawahi kuivua? pale unapotokea dogodogo.
   
 6. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #6
  May 31, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Kuna jamaa angu ana Guest House anasema siku za week end watu wanasahau sana pete za ndoa mjengoni.
  Watumiaji wa hii kitu jamani tunaomba ufafanuzi ukivua ndo tuseme unakuwa humsaliti mwenzio?
   
 7. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #7
  May 31, 2010
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  ndi amna cjawa mkeo mana leo ndoa kesho tungepeana talaka....hatuwezani kabisa mie na we...
   
 8. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #8
  May 31, 2010
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Wizi mtu, wenye hasemi, wasinacho ndio wanapiga kelele
   
 9. Principessa

  Principessa Member

  #9
  May 31, 2010
  Joined: Mar 5, 2009
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwanini mwanzo uivae na baadae uamue kuacha kuivaa?????????
   
 10. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #10
  May 31, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Hehehehe wanasema eti lazima mmoja awe juu mwingine awe chini yaani fahari wawili hawakai zizi moja.
   
 11. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #11
  May 31, 2010
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  wanapotakaga kujichanganya hawakosi ssababu...
   
 12. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #12
  May 31, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Sijawahi kuwa na pete my dear! huenda mwakani nitavaa, ishallah. ila mara nyingi mechi za mchangani na wajasilia mali wenye ndoa zao mara nyingi huwa hawana pete zao!
   
 13. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #13
  May 31, 2010
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0

  kuna mahali na mahali pa kushuka, sio maisha yako yote weee upogo chini tu....
   
 14. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #14
  May 31, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,060
  Likes Received: 24,064
  Trophy Points: 280
  Hilo liko wazi.

  Nyamayao lazima angekuwa chini na mimi juu (yake)
   
 15. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #15
  May 31, 2010
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  utakapokuwa nayo ucivue hata cku 1 plz, hao dogodogo wakupende jinc ulivyo, wajue kabisa una mwenyewe.
   
 16. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #16
  May 31, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Na wale dada zetu ambao kwa uhakika hawako kwenye ndoa wana vaa za nini? Mbona wakaka wasio na ndoa hawana time na hizo pete?
   
 17. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #17
  May 31, 2010
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0

  unavuaga pete? na kwanini.
   
 18. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #18
  May 31, 2010
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0

  fashion.....
   
 19. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #19
  May 31, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,060
  Likes Received: 24,064
  Trophy Points: 280
  Tangu nivishwe hiyo kitu sijawahi kuivua. Kinachotokea napoenda kwenye mechi za mchangani huwa naitoa mkono wa kushoto na kuhamishia kulia. Vinginevyo mtarimbo unalala doro. Nadhani nimeathirika kisaikolojia au rozari anayopiga mama matesha si mchezo............
   
 20. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #20
  May 31, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Hizi fashion dada zangu.....mara vikuku, chupiless, maungo nje mradi mtutege tu!
   
Loading...