Njozi

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
92,232
113,610
Umewahi kuwa na njozi (fantasy) juu ya mke au mume wa rafiki yako? Kuna rafiki yangu ana mke bomba sana na kila mara huwaga namuwaza kwenye njozi zangu kuwa siku nikimpata huyu...atanikoma. Saa ingine huwa nawaza sijui ana ladha gani huyu?

Am I sick or what?
 
Mhhhhh! Mke wa rafiki yako ni NO NO NO NO. Unawezekana ukawa ni mgonjwa au la lakini imeshatokea mume/mke wa rafiki kuzima taa na kushughulika na rafiki wa mwenzie. Kama ni njozi tu zinakutokea na huna mpango wa kuzifanyia kazi basi hakuna tatizo lakini kama unaanza kufikiria jinsi ya kumuingia huo shemejio basi unacheza na moto na usishangae ukaja kukuunguza na kubaki na majuto mjukuu.
:sorry:
 
we ni mchafu. period..kwasababu post zako nyingi zinaongelea ngonongono tuuuu, si uoe wa kwako..utadondosha udenda kwa wanawake wapita njia hadi lini?..
 
No Bubu....I don't have any plans to act on my fantasies and thoughts, at least those kind of thoughts.

I just fantasize about her when I'm zoned in or out. When I'm in my own little world, Ngabu's world. And I'm sure I'm not the only one who fantasizes about other people's property (OPP). I think it's human nature to do that.

Are you going to swear up and down that you have never fantasized about someone else's woman?
 
we ni mchafu. period..kwasababu post zako nyingi zinaongelea ngonongono tuuuu, si uoe wa kwako..utadondosha udenda kwa wanawake wapita njia hadi lini?..

Kwani kuoa au kuolewa ndio suluhu ya njozi kama hizi?
 
Pole NN, jitahidi kumuona kama mke wa rafiki yako badala ya kumuona kama mwanamke anaevutia...

Annina
 
Lakini dada, macho hayana pazia. Siwezi kujifanya naona kitu ambacho hakipo. Mdada wa watu anavutia na huo ndio ukweli wenyewe na habari ndiyo hiyo. Sijamkumbatia na kumwambia ana ngozi laini au kaumbwa kikampeni...Lol..whatever the heck that means...

Ni dhambi hata ku fantasize mwenyewe kivyakovyako?
 
Kutamani ni dhambi...na ww umemtamani ndo maana unam-fantasize!!
One day kua nae njozini hakutatosha utataka zaidi, so find urself another dream...one that u can afford!:target:
 
Lakini dada, macho hayana pazia. Siwezi kujifanya naona kitu ambacho hakipo. Mdada wa watu anavutia na huo ndio ukweli wenyewe na habari ndiyo hiyo. Sijamkumbatia na kumwambia ana ngozi laini au kaumbwa kikampeni...Lol..whatever the heck that means...

Ni dhambi hata ku fantasize mwenyewe kivyakovyako?

NN hapo kwa bold nadhani ndiko unakoelekea...

Annina
 
Mjomba futa hayo mawazo na ndoto....ushauri wa bure, huko bongo watu wanakalia chupa siku hizi. Vitu hivi si utani mazee....
 
Sielewi. Hivi kibaya au kosa ni lipi? Kuota njozi au kutenda kosa kimatendo?
 
Lakini dada, macho hayana pazia. Siwezi kujifanya naona kitu ambacho hakipo. Mdada wa watu anavutia na huo ndio ukweli wenyewe na habari ndiyo hiyo. Sijamkumbatia na kumwambia ana ngozi laini au kaumbwa kikampeni...Lol..whatever the heck that means...

Ni dhambi hata ku fantasize mwenyewe kivyakovyako?

Hahahahahahahah ulipopata upenyo tu ukautumia kumrushia dongo Annina LOL! We mchokozi kweli kweli! Sijui Annina alipokuwa anamwagiwa misifa kem kem na njemba alikuwa anasmile au amenuna!
 
Lakini dada, macho hayana pazia. Siwezi kujifanya naona kitu ambacho hakipo. Mdada wa watu anavutia na huo ndio ukweli wenyewe na habari ndiyo hiyo. Sijamkumbatia na kumwambia ana ngozi laini au kaumbwa kikampeni...Lol..whatever the heck that means...

Ni dhambi hata ku fantasize mwenyewe kivyakovyako?
Huyo ni mmoja. Wako wengi mno. Ukifantasize kwa kila mzuri unaye muona mwishowe fantasy ndiyo itakuwa shughuli yako ya kila siku. See a counsellor for help. That is how rapists and serial killers start their careers.
 
Ndoto hizo jaribu kuzifuta. mtu akatazwi kuota lakini usijitie majaribuni kutaka kuukwea mlima. watakufanyia mbaya mazee!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom