Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Salamu kwenu wakuu........Binafsi siyo mwandishi sana ila nitajitahidi kadiri niwezavyo kufikisha ujumbe. Nimekaa nikawaza hivi kwanini wanaume tunatumia nguvu nyingi sana 1.Tupewe attention na...
3 Reactions
29 Replies
314 Views
Hello guys naamini mko poa, poleni na majukumu ya hapa na pale,… yakiwa yamebaki masaa kadhaa tuianze weekend nilihitaji tuzungumze hii issue japo kwa uchache, sijajua kama mshawahi kuidiscuss ila...
5 Reactions
64 Replies
539 Views
Ukiwa kama mwanandoa ama hujaoa ama hujaolewa bado Ushauri wa bure usidate na mwanandoa ile dhambi haitakaa ikuache wewe na family yako Nakwambia hili fuatilia wanaoteseka kwenye ndoa leo hii...
15 Reactions
126 Replies
2K Views
Kulingana na utafiti usiorasmi uliofanywa na mtaalamu wa sosholojia (sociology) mwalimu Mandela kato ambaye pia ni mhubiri wa neno la mungu imebainika kuwa: 1.Watu wenye kipato cha chini na...
1 Reactions
5 Replies
86 Views
Mchezo gani umecheza utotoni Sana.
4 Reactions
8 Replies
126 Views
Happy Sabbath wanajamvi. Si rahisi kugundua ni Kwa kiwango gani unapendwa,ni ngumu mno,ila bahati mbaya wanaume Tunajikuta si wapembuzi wa mambo.mtu anajikuta anaingia kwenye mtego wa SUBIRA na...
13 Reactions
57 Replies
851 Views
Ni hivi, kwenye mahusiano ya kimapenzi kuna hali mbili kupendwa ama la. Mapenzi siyo kitu cha kudumu kama nyumba, hisia za mtu zinaweza kuwepo na kupotea. Ukiachana na mapenzi ya wanafamilia...
13 Reactions
199 Replies
2K Views
Shikamoni wote humu maana mi ndo last born wenu humu. Huu uzi alitakiwa auandike Binti wa zamani ila acha nijilipue; "My racing white darling uzuri wako hauelezeki. Tangu umekuja kwenye maisha...
7 Reactions
28 Replies
397 Views
Mambo ya kuitana switii, bebiii, asaliii...sitaki, najua mnavizia hiki kimshahara kangu. Mshahara ni wa kwangu, nimeupata baada ya kuchomwa na jua pamoja na kumaliza soli ya kiatu kwa kutembea...
5 Reactions
24 Replies
262 Views
Habari wana jamvi ! poleni na hongereni kwa kila jambo mwaka fulani nilifanikiwa kupata kibarua kampuni (X), hapo baada ya miezi nilikutana na mwanamke mmoja mrembo kwa taarifa nilizopewa yeye...
6 Reactions
92 Replies
1K Views
Nilikukuta umechoka mbwa wewe unalala sebuleni kwa rafiki yako eti umetoka huko ulikotoka kuja kutafuta kazi baada ya kuzalishwa watoto wawili uliowaacha kwa mama yako. Nikakupenda kutokana na...
32 Reactions
91 Replies
2K Views
Asalam aleiko Moja kwa moja kwenye Mada Siku za hivi karibuni nimeanzisha harakati za kuzitandika mbususu ipasavyo na tena bila huruma. Sasa cha ajabu kati ya mbususu 10 ninazokutana nazo basi...
12 Reactions
83 Replies
2K Views
Ciao.! Tushakubali kuwa hamko romantic ila punguzeni usela kwenye mapenzi. Yan ukiwa na pisi ya kichaga inakuchanganya mpaka unashindwa kuelewa wewe ni mshikaji wake, kaka yake au mpenzi wake...
7 Reactions
21 Replies
393 Views
Nimeamua niwasanue vijana wenzangu tafuta wa umri wako hawa km zimesoma sana wasipokupiga na UKIMWI wanakupiga na homa ya in. Wa mama watu wazima kuanzia 40 wanapenda sana kugongwa
4 Reactions
30 Replies
514 Views
Imenichukua miaka 10 kujua wanawake wanaenda gym kutafuta wanaume. Yaani gym ni danguro la wazi. Na baadhi ya wanaume(Wachache) wanaenda gym kutafuta wanawake. Mimi siku zote najua gym ni sehemu...
8 Reactions
27 Replies
554 Views
Niko mbali kidogo na kwangu ambako niseme nje ya Bara la Africa kabisa, Mke wangu kakwama sehemu akawa amemuomba msaada jamaa yake mmoja msaada bila kunihusisha, sasa lichojibiwa ndo...
5 Reactions
99 Replies
10K Views
Ipi kauli nyingine? Lakini hatufanyi kitu Tukutane sehemu iko wazi
1 Reactions
13 Replies
302 Views
Shikamoo wakuu kama kichwa cha habari hapo juu. Ukiona mke wako anakunyima unyumba na hana time na wewe ujue hana hisia na wewe. Mwanamke anayekupenda lazima akumiss na hasiti kukuomba akiwa na...
3 Reactions
18 Replies
356 Views
Wakuu poleni sana na majukumu,,..ama Kwa hakika kwenye hili jukwaa wapo wataalamu na wajuzi na wenye experience katika maswala ya mahusiano..Niende Moja Kwa Moja kwenye mada na kiufupi...
5 Reactions
9 Replies
262 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…