Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Ni binti mpole sana na anayejiamini sana ndoh maana anakubalika sana na wengi.hakuna posti inapita hajatagiwa kwa kwel ni mtu wa watu!
6 Reactions
44 Replies
532 Views
Kumbe ni ubatili ni kama kujilisha upepo ukizani unashiba Nilikuwa na hakikisha mama mkwe, wadogo zake, yeye mwenyewe hawakosi mahitaji muhimu, nilikuwa najitoa haswa, na kazi nilikuwa napiga...
11 Reactions
28 Replies
465 Views
Wanaume mlioamua kuoa, timizeni wajibu wenu. Msiwaache wake zenu wakizunguka huku na kule wakijileta kwa wanaume ambao hawana hata mpango wa kuoa. Sisi hatuna mazoea nao, lakini wao ndiyo...
18 Reactions
79 Replies
997 Views
Kumekuwa na mafundisho mengi sana siku hizi kuhusu namna nzuri ya kukabiliana na umaskini , Moja ya jambo linalosemwa ni watumishi kuoana na kufanya ndoa, na tunashauriwa sana kuwe na...
2 Reactions
20 Replies
248 Views
According to the laws of attraction, we are what we think. Sio hapo tu, we subconsciously become who we believe to be so. Wengi tunaishi maisha tusiyo yataka kwasababu that's what we resist...
12 Reactions
65 Replies
786 Views
Sio uzuri au alivyoumbika bali ni utu aliyonayo anaweza akawa mbaya kimuonokano na akawa mzuri kitabiya
2 Reactions
4 Replies
76 Views
Leo nimekaa sehemu karibu na genge la matunda akaja mdada mmoja anataka kununua tango akapewa akasema hapana mi napenda matango manene,baada ya kauli hiyo akaniangalia huku anacheka namimi ikabidi...
10 Reactions
24 Replies
440 Views
Kuna binti kakutana na Surprise ambayo naamini hawezi kusahau kamwe, alikuwa na mpenzi wake ambaye walikuwa na miaka 4 anakwenda mpaka kwa kwao na jamaa akiamini kwa hatua waliyofikia yeye ni mke...
7 Reactions
28 Replies
670 Views
Ndugu.. Kama unataka amani ukiwa na hawa viumbe hakikisha unakua mnafiki kwao. Wewe kua mnafiki tuu utatoboa
6 Reactions
35 Replies
717 Views
Ustadhi anasema kutokana na Experience yake ndogo kwenye ndoa; amengundua kuwa ndoa nyingi za kikristo hudumu kuliko ndoa za kiislam na hii inatokana na wanaume wengi wanakimbilia kuoa wanawake...
7 Reactions
26 Replies
417 Views
Nina rafiki ambaye alimpa mimba msichana aliyekuwa akiishi naye kwa takribani miaka 3 hadi 4. Baadaye alipata kazi mbali na eneo walilokuwa wanaishi. Alipofika kwenye eneo lake jipya la kazi...
7 Reactions
54 Replies
649 Views
Natafuta mke umri 30+ Umri wangu 41 Watoto 2 Sms kujibiwa 0792045560
0 Reactions
1 Replies
141 Views
Yafurahisha hisia, kwa mfereji maringo. Kurambwa hadi safia, mrembo wenye mpango. Maji yaweza pitia, ndani ya fumbo kiungo. Mfereji majinono, wasafiwa kwa ulimi. Mfereji wa heshima, ule wa kingo...
4 Reactions
26 Replies
425 Views
Kibongo bongo ukiacha wasanii kuna hili kundi la wachezaji na wanamichezo mbalimbali ikiwemo ngumi and so on udhaifu wao ni kipochi.... aiseee Hatuwezi kuwa na watu wengi wawakilishi nje huko au...
9 Reactions
44 Replies
534 Views
Hii ni simulizi fupi ya kweli ya mahusiano yangu na ndoa yangu,naomba wengi tujifunze na kushauri pia. Mimi ni baba wa watoto watatu naishi na familia yangu kwa miaka kumi sasa,katika maisha yetu...
18 Reactions
55 Replies
2K Views
🤔 Unakuta mdada ana 35+ anakuuliza "kama hautaki kunioa niambie" sasa unajiuliza hao aliopita tangu akiwa 18 mbona akuwaambia wamuoe akiwa bado kigori
1 Reactions
14 Replies
227 Views
Kama wewe si mmojawapo basi kwa vyovyote kuna mtu unamfahamu mwenye hili tatizo. Anaweza kuwa ndugu jamaa ama rafiki. Ni jambo baya na lenye kutatiza mno. Watoto wa mtaani wanasema KIMAVI. Mind...
107 Reactions
262 Replies
75K Views
Sitawai kupenda mwanamke wala kuoa maisha yangu yote mpaka kifo.nimeapa na damu yangu sitawahi kuthubutu kupenda.
4 Reactions
17 Replies
227 Views
Naomba kufahamu kwa undani kuhusu wanawake wa kinyantuzu kutoka bariadi simiyu
0 Reactions
5 Replies
80 Views
https://www.jamiiforums.com/threads/ushawahi-kujichanganya-kimapenzi-mpaka-ukawa-unawaza-hapo-nyuma-ulikosea-wapi.2291358/ Kwema wanafamilia.... Maisha haya hayana mapumziko, hasa hasa sisi...
20 Reactions
111 Replies
9K Views
Back
Top Bottom