Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

TOFAUTI YA UPENDO NA HESHIMA Alisema Niccolo Machiavelli kwamba "Watu huwa wepesi kumdhuru au kumuangamiza mtu ambaye anayehitaji kupendwa sana kuliko mtu ambaye ametengeneza mazingira ya...
3 Reactions
3 Replies
632 Views
Kwema Nna rafiki yangu mkubwa sana ana kidemu chake kizuri kizanzibar Jana kimekuja kunigongea mlango saa nne usiku, Cha ajabu tunakaa mbali mbali na swahiba wangu yeye anaishi magomeni Mimi...
4 Reactions
33 Replies
585 Views
Oooh beib usiii..... aaah Jo mo n unanipatiaaa Ooh kipenz taam yangu nipo tayari hata kuwauza wadogo zangu hela nitayopata ule wewe Daali ha po pee_nye_we usiingize yo tee aah shhh....
3 Reactions
23 Replies
485 Views
Habari zenu ndugu wa MMU. Mnikaribishe na humu pia maana humu ndio kutakuwa jikoni kwangu. Nataka nitibu ndoa nyingi na mahusiano mengi iwezekanavyo kupitia makala zangu, vitabu na mbinu yoyote...
1 Reactions
25 Replies
274 Views
Wakuu nimeshindwa nimejaribu we nimeshindwa aisee bwana mimi nina tamaa sana ya wanawake kiufupi nina tamaa sana ya mademu kwa mfano nikiwa kwenye kutibu natongoza sana wanawake na kweli nawapata...
1 Reactions
14 Replies
295 Views
Tumsifu Yesu Kristo. Huyu mke wangu kila nikimuomba unyumba atalalamika mara aseme "Baba J" umeanza usumbufu wako. Mara aseme kachoka, mara aseme yuko Period kumbe sio kweli, mara aseme...
33 Reactions
138 Replies
2K Views
Za jpili Najua wengi waoga kutokana na matukio ya nyuma Nawaza tu hivi aje dk kupima HIv humu Member gani unahisi atakosa hiv kama mm... 😆 😂 😆 😂 😆 😂 😆 😂 😆 endelea kucheka kama. Mazuri Jpili...
6 Reactions
38 Replies
438 Views
Hii kwangu naona nikukosa adabu.ata demu akinipa mechi huwa naipigia giza maana naogopa kuona uchi wake maana ni tabiya mbaya.
2 Reactions
15 Replies
233 Views
Lazima atakuwa tu na kasoro.maana tumeumbwa kupenda sio upweke.
3 Reactions
18 Replies
198 Views
Hapa dar ukisikia majina kama; mmari,munuo,kileo,mwanri,maimu,mushi ujue hizo namba ni za wilaya ya siha.watoto hawa balaa kwa urembo jaman.
6 Reactions
21 Replies
338 Views
Ingawa mimi nmetoka bongo sitaman kudate wa bongo maana wana maushamba sana na tena sio warembo kama wazungu wananiboa sana.wana show mbovu sana.
3 Reactions
40 Replies
635 Views
Kuanzia mwaka 2014 mpaka leo nimetembea na wasomi 74. wadada wa bachelor degree 47, masters 21, PhD 6. Huenda ni kutokana na mazingira ninayofanya kazi lakini kwa experience yangu msomi wa degree...
4 Reactions
10 Replies
301 Views
Hakuna wa kupinga hapa Tanzania hamna kabla la kuwapinga wadada wakisuma kuwa ni warembo mno. na tena wasukuma ndoh waonajua mahaba kuliko kabila lingine hapa bongo.kama unabisha tukutane kwenye...
4 Reactions
34 Replies
590 Views
Tujitafakari! Ikiwa mtu akisababisha ajali au makosa lesni yake inafungwa ili kutoa nafasi ya kujirekebisha au kujutia umefika wakati sasa hata cheti cha ndoa kitambulike kama leseni mtu...
1 Reactions
10 Replies
111 Views
Habari Wana JF Kwa maisha ya sasahivi ya vijana wakiume na utandawazi uliopo yanaelekea hatarini Nakumbuka kipindi nakuaa nilipoanza form 3 katika kupigapiga story darasani ziliingia story za...
3 Reactions
20 Replies
387 Views
Habari na poleni na uwajibikaji! Kuna jirani yangu (Mtanzania) ndoa ya miaka 3 mpaka sasa, na alimuoa huyo mwanamke (raia wa Zambia) tayari mke akiwa na mtoto aliyezalishwa akiwa nyumbani kwa...
6 Reactions
52 Replies
799 Views
Salama Mama wa miaka 40+ kuonyesha kunitaka kimapenzi, ana watoto 5 wakubwa , mtoto wake wa kwanza ana 22, ana Mme wake wa ndoa anaishi naye na wana maisha ya uchumi wa kati na ana biashara...
5 Reactions
32 Replies
934 Views
Hii mada inawahusu wale waliooa au wanaishi na wachumba zao au wanaishi na mpenzi wake au anaishi na mwanamke tu. Je ni halali kwa mwanamke kubana tendo la ndoa bila sababu na baridi hii kali na...
18 Reactions
143 Replies
26K Views
Kumekuwa na kasumba iliyoibuka hivi karibuni ya mabinti kupenda mwanamme aliyeoa na hata kudiriki kumtegeshea mimba ili aolewe mke mwenza. Nina Brother yangu toka nitoke alipata kazi Shinyanga...
23 Reactions
169 Replies
3K Views
Unaweza pata mke mazingira ya ajabu sana.kama mimi huyu mke wangu tulijuliana naye msiban na nikaanza mazoea naye mpaka tukaja tukaoana.
2 Reactions
13 Replies
303 Views
Back
Top Bottom