Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Usaliti wa mapenzi niliofanyiwa unanifanya nazidi kudhoofika sana, kuna muda nalia pekee yangu kuona wapi nilipokosea kwanini napitia kipindi hichi kigumu katika maisha yangu Sikuwahi kupitia...
7 Reactions
73 Replies
1K Views
Good morning people. Mimi ni mwanamke age 28 nmekua na mahusiano na hyo aliekua mpenzi yangu for almost a year .lakini tuliachana sababu ya usaliti alimpea mtu mwingine ujauzito,na hyo mtoto...
13 Reactions
156 Replies
2K Views
Maisha ya ndoa enzi ya kale ilikuwa bora heshima ili dumu, ila saivi utapel tu hamna kitu. Ndoa sai haiheshimiki na talaka zimejaa kibao.kwa sai sioni...
0 Reactions
5 Replies
87 Views
Leo naamka na wanawake. Hivi mwanamke anaweza kuwa mlevi na asiwe malaya? Sizungumzii mwanamke mnywaji, nazungumzia mlevi. Yule wa kurudi usiku kutoka kwenye ulevi.
13 Reactions
97 Replies
2K Views
Mdogo wangu wa kike, wakati unasubiri mwanaume mwenye hela tumia muda wako kujijenga kiakili, maarifa na kipato kidogo. Yaani unakaa kabisa na kuwaza kuna mwanaume anatafuta hela, akishapata aje...
2 Reactions
6 Replies
123 Views
Mimi nina miaka 23, napiga kazi za uashi. Sasa kuna muda narudi nyumbani nimechoka, sijaoga, nafika nipo tired kinoma, sijapika. Yaani inaniboa sana. Hata nikinunua vya kupika ili nikapike getto...
12 Reactions
90 Replies
1K Views
Wasalaam; Miaka hiyo nikiwa mwaka wa pili chuoni. Dada ambaye tulikuwa naye kwenye group moja akanitumia meseji ni sms haya mambo ya whatsapp hayakuwepo). Meseji fupi tu ''njoo hapa room kwangu...
3 Reactions
7 Replies
361 Views
Jamani habari zenu, Mi nina mchumba wangu tumedumu miaka 3 kwenye uchumba, sasa nikaona kama simuelewi elewi nikamwambia tuachane kutokana na hasira zangu, akaendelea kunisumbua na muda wa ndoa...
2 Reactions
156 Replies
14K Views
Wapendwa katika Kristo, BWANA YESU asifiwe sana,, Asalaam Aleykum kwa Waislam wote ,Twende kwa maada wapendwa,kuna binti yupo kidato cha sita na atamaliza mwaka huu baadae ataenda chuo kama miaka...
7 Reactions
91 Replies
1K Views
Kuna wale wanawake ambao huwa wanaikalia wakichoka wanalala kifuani halafu watulia sisi ndio tunakuwa tunanyanyua kiuno kuwafaata juu utasikia aaaa, ai na huwa tunawakumbatia kwa nguvu halafu...
9 Reactions
35 Replies
780 Views
Kichwa cha Habari Kazi kukodolea macho na kutuiga sisi matajiri kufungua zipu, lakini kulea mnakimbia: Huu utumwa wa njaa mtaacha lini? Hivi huwa mnafikiri kwa kutumia viungo gani nyie wanaume...
2 Reactions
5 Replies
185 Views
***VEROSSA*** Inside a Verossa you'd think it’s some sleek automobile There she lost her virginity, her dignity and her guile, Inside a Verossa, she hopped in a lift home There she was...
55 Reactions
2K Replies
105K Views
Ndoa kweli zimeisha, zimeisha ndoa zilikuwa zile za mababu na baba zetu ndoa Sasa hakuna. Imagine mke wa mtu anasema ananipenda Sana na anasema hawezi kuniacha anasema anataka muda wa kutosha na...
29 Reactions
136 Replies
2K Views
Nimeipenda sana kauli yake. Wakati anatangaza kujiuzulu Uwaziri Mkuu, amesema anaenda kufanya kazi muhimu zaidi: "Kuwa mume bora kwa mke wangu mzuri... na kuwa baba bora zaidi kwa watoto wangu...
6 Reactions
33 Replies
540 Views
Nianze na mimi huwa namuita My Racing white darling❤️ yeye huniita Daddy.........................................Je, wewe unamuita kwa jina gani la utani ili kukoleza upendo?
5 Reactions
51 Replies
647 Views
1. Nikiwa sekondari wakati tunaanza form 2 nilijikuta accidental Nanyoosha mkono kugombea uongozi wa darasa, Nilipata Kura Moja (1) yani kura moja yakujipigia mwenyewe darasa lina zaidi ya...
2 Reactions
13 Replies
312 Views
Shikamoon wakubwa wadogo zangu hamjambo. Suala la Sisi wanawake kumzalia mtu si la bahati mbaya, yaani ukiona tu nimebeba ujauzito ujue kabisa muhusika nimempenda, kubwa zaidi huwa ni Sura na...
10 Reactions
62 Replies
780 Views
Mtu anatakiwa aolewe akiwa na umri gani?
9 Reactions
34 Replies
474 Views
Et dem mbaya wewe unaelewa nin? Mi naelewa hakuna m baya kwa wote
2 Reactions
8 Replies
124 Views
PESA NI NZITO KULIKO UPENDO Hakuna Mwanamke Anayevutiwa na Mwanaume Anayetembea kwa Miguu, "Upendo wa Dhati ni Hadithi ya Kufikirika. Wakuu, humu JamiiForums kuna watu wanajifariji kwa utopolo...
10 Reactions
48 Replies
695 Views
Back
Top Bottom