Wandugu,
Nimeona wikiendi hii niwakumbushe ile kanuni ya ABC ya kupunguza kasi ya kuenea kwa virusi vya ukimwi. Kwa wale wasiojua ABC ni kifupi cha maneno yafuatayo:-
A: Abstain
B: Be...
Habari zenu.
Hivi usiku wa siku ya kwanza ya fungate wanaharusi wanaweza kufanya tendo la ndoa kutokana na jinsi wanavyokuwa wamechoka kutokana na pilika pilika za harusi?
Nashndwa kuamini kama kweli ananipenda,
siku ambayo simu yangu haipatikani huwa nina kesi kubwa ya kujibu lakin mm ninapokuta call waiting tena saa8 ucku naambia ni rafiki tu tena wa jinsia...
Joseph na Joyce ni wanandoa wanaoishi pamoja. Jose aliamua kumleta mdogo wake wakiume Jonathan kuja kuish nao. Mda si mrefu Jose akapata safar ya kikazi Kualalumpar na kumwacha mdgo wake na mkewe...
Please help me i fooled ma husband.he's jobless so nime mudanganya hivi.yeye yuko arusha mm nairobi.so i told him because of his jobless am running away 2 somalia with his baby i told him he wont...
Ama kweli za mwizi arobaini, nikiwa naendelea na kazi zangu humu ofisini kuna rafiki yangu mmoja amekuja ofisini kwangu macho yamemtoka, sijamuuliza tayari akanipa simu yake na kunionyesha sms...
Baada ya kukaa mda mrefu bila kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi,nimejikuta naangukia penzi la kaka mmoja tuliyefahamiana miaka mitatu iliyopita, huyu kaka aliniambia kwamba ananipenda toka mwanzo...
Schoolgirl,12, gives birth on school trip
A Dutch schoolgirl has been put into foster care after giving birth on a school trip.
Wednesday, 30 March 2011 17:02 BST
A 12-year-old...
Kwa Wana JF Wote:
Mnaobakia nyumbani, pumzikeni salama.
Mnaoenda kusali, ombeni pamoja na mengine, Mapenzi na Amani,
mjiombee nyinyi na wapenzi wenu,
muwaombee wagonjwa, masikini. Watanzania wote...
Habari zenu wandugu...!
Nina tatizo moja nahitaji msaada wa mawazo.
I've been in this relationship for almost a year now., I mean this 6th April will be our Anniversary since we started...
Hello JF
Kuna zawadi nazawadiwa ila kiukweli duh! Kuan jamaa yangu aliwahi kuachwa na mke! By that time jamaa laikuwa mgonjwa wa vidonda vya tumbo. Wakati anaachwa walikuwa na mtoto mmoja wa kike...
Mkazi mmoja wa Arusha alimuaga mkewe anakwenda Dar kwa safari za kikazi. Kumbe safari ikawa ni kwenda Loliondo kwa babu.
Mkewe naye, akaona huu ndiyo wakati haswa wa kwenda kwa babu...
Jamani kunajamaa yangu alimpata binti mmoja miezi minne iliyopita wakapeana sana maluv duvi sasa wameachana ghafla jana amepigiwa simu na dada yake wakati wakiagana akaambiwa "msalimie wifi yangu"...
Habarini wandugu,
Wife kaniambia anataka achukue mkopo kazini kwao kama 1.5mil nikamuuliza kwa ajili ya nini akaniambia nataka kuongeza baadhi ya vitu hapa ndani nikamwambia sawa lakini hiyo 1.5m...
Wana JF nimekuja na mada nyingine kuhusu hizi cm zetu za mikononi, binafs nataman niachane na cm kwn ndio chanzo cha mgongano na my wife! Mke wangu kila nikirud kutoka kazn lazm akague cm zangu...
Nilikuwa na BF wangu tukapenda sana mpaka tukakubaliana kuona kwenda kwa wazazi wake wakanikataa eti kabila tofauti aoe kabila yake baada ya kuambiwa hivyo mie mapenzi yakapungua kabisa, na yeye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.