Speed governor ya kupenda

Mbimbinho

JF-Expert Member
Aug 1, 2009
8,316
7,734
Habari zenu wandugu...!

Nina tatizo moja nahitaji msaada wa mawazo.
I've been in this relationship for almost a year now., I mean this 6th April will be our Anniversary since we started dating. We've been in several misunderstandings, but thank God we solved them.
Cha ajabu najikuta nampenda huyu binti hadi nachukia hii situation, yaan kila siku nazidi mpenda tuu kiasi hadi naona kama inaniumiza. Natamani nipunguze lakin ngumu. Jamani hakuna speed governor ya malavidavida ili nipunguze hii kasi??

Msaada tafadhali wanafamilia wenzangu,

Muathirika wa kupenda, Mbimbinho:mmph::mmph::mmph:
 
Kama swala ni hilo mpige mimba ukamtolee mahari uoe jeuri zenu zitakwisha mtabanana vizuri saa hizi anajua hujamlipia lazima akusumbue utamfanya nini familia zenu hazitambui mahusiano yenu ila kwanza ujue mzizi wa tatizo. Labda kunanjemba inadokoaga asali katika mzinga wako afu imekuzidi kete au ndo huwa unajifanya mume mstaarabu, kila kitu kufunga sala kunajinsi yakumdatisha mpenzi lazma uwe na Swaga.
 
Jambo la kawaida..huwa vinaenda in turn..siku we mapenzi yamepungua ye ndo anakupenda kuliko maelezo.so subiri turn yake ifike hiyo itakuwa ndo governor...
 
Back
Top Bottom