Hello

Karibu sana kwanza halafu wenzio huwa tunasalimia angalau kule kwenye utambulisho hiyo title haijatosha kuwa salamu.

Pole sana ndugu sasa usipomwambia wewe ambaye ni mtu wa karibu yake sisi wa mbali tutamsaidiaje??

Harufu hiyo ni ya wapi chini ya kitovu, mdomo, kwapa, pua au masikio??
 
kwanza lazima umwambie kama unampenda,hapa JF ungekuja kuomba ushauri tu wa jinsi gani mshirikiane kuondoa tatizo la harufu!
Sasa wewe hata kumwambia unaogopa,wengine wakimwambia si atasema "bora simkeri wandani wangu nyie yana wahusu nini?"

Hata tukijua ni harufu ya wapi,kama hutaweza kuongea nae haita saidia chochote
 
Anza wewe kwanza;ukishindwa niambie uone kitakacho endelea baada ya harufu kuwa deal kwa upande wake.Ni hatari kwa afya yako,siyo kitu cha mchezo itakugharimu siku za usoni.
 
Ndugu yangu, wewe ni me au ke? na huyo mpenzi wako ni me au ke? anatoa harufu mbaya mitaa gani?

Kwa hili jina huyu lazima atakua ni me lkn mpenz wake cjui atakua ni me au ni ke.
 
ampeleke bafuni akamuogeshe.... kama ni kikwapa wengi wao ni ngumu kutoa harufu labda payumu kali ambayo pia kama itachangayikana vibaya na harufu hiyo mtu anaweza kutapika na kuugua. kama ni harufu ya mwili ni kuoga na maji ya ukoko itakwisha.:A S-key:
 
ampeleke bafuni akamuogeshe.... kama ni kikwapa wengi wao ni ngumu kutoa harufu labda payumu kali ambayo pia kama itachangayikana vibaya na harufu hiyo mtu anaweza kutapika na kuugua. kama ni harufu ya mwili ni kuoga na maji ya ukoko itakwisha.:A S-key:
Du!!!!!
 
Mara nying harufu itakuwa ya mdomoni,km ni hvyo,amsaidie jinsi ya kupiga mswaki!utafikiri kicheko ila ndio hvyo!lazima ulimi usuguliwe vizuri,ulimi ukiwa mchafu utapata tatizo la harufu,ikishidkana hapo aende kwa wataalam wa kinywa na meno
pole
 
Mwambie ndo kitu kikubwa kama kwel wampenda. Nahisi nae atakuwa analijua ilo tatizo ila mkijadil pa1 mtapata suruhisho.
 
Mhhhh harufu ya samaki au viazi mbatata? pole mwambie tu usiogope utakuwa umemsaidia, wengine hata hawajuagi kama wanatoa harufu
 
Back
Top Bottom