Jamaa katuma wrong sms kwa mkewe!

Hmaster

JF-Expert Member
Dec 27, 2010
346
86
Ama kweli za mwizi arobaini, nikiwa naendelea na kazi zangu humu ofisini kuna rafiki yangu mmoja amekuja ofisini kwangu macho yamemtoka, sijamuuliza tayari akanipa simu yake na kunionyesha sms ambayo kwa wakati huo ilikuwa bado ipo juu ya screen. Aliposcroll hadi chini nikaona ni jina na namba ya mke wake. Ujumbe ambao uliforwadiwa na mywife wake uliandikwa hivi: "SIKUTEGEMEA KAMA UNA MAPENZI MATAMU NAMNA ILE, YAANI JANA NIMELALA MWEPESI NA HATA KWENYE NDOTO ZANGU WEWE NDO ULITAWALA, NAAHIDI SITOKUACHA DEAR!". Sababu ya kuja kwangu mbio ni kunieleza kosa alilofanya na kuniomba ushauri ili akakabiliane na mkewe nyumbani. Nimebaki nacheka ingawa jamaa anataka kulia na nikamuahidi tukapate lunch pamoja ili tuchakachue ishu. Nimshauli vipi jamaa huyu ili wainusuru ndoa yao?
icon6.png
 
Mmmmh!
Nyie wanaume mpoje lakini?
Amwambie alimuazima mtu simu yake na hajui alichokifanya.
Akishindwa aseme ukweli kuwa alilala na mwanamke mwingine.
Za mwizi arobaini. Nae amezidi.
Bichwa lake.
 
Ama kweli za mwizi arobaini, nikiwa naendelea na kazi zangu humu ofisini kuna rafiki yangu mmoja amekuja ofisini kwangu macho yamemtoka, sijamuuliza tayari akanipa simu yake na kunionyesha sms ambayo kwa wakati huo ilikuwa bado ipo juu ya screen. Aliposcroll hadi chini nikaona ni jina na namba ya mke wake. Ujumbe ambao uliforwadiwa na mywife wake uliandikwa hivi: "SIKUTEGEMEA KAMA UNA MAPENZI MATAMU NAMNA ILE, YAANI JANA NIMELALA MWEPESI NA HATA KWENYE NDOTO ZANGU WEWE NDO ULITAWALA, NAAHIDI SITOKUACHA DEAR!". Sababu ya kuja kwangu mbio ni kunieleza kosa alilofanya na kuniomba ushauri ili akakabiliane na mkewe nyumbani. Nimebaki nacheka ingawa jamaa anataka kulia na nikamuahidi tukapate lunch pamoja ili tuchakachue ishu. Nimshauli vipi jamaa huyu ili wainusuru ndoa yao?
icon6.png

...panic ya nini, kwani jana hakulala kwake? amwambie ndio kamtumia yeye (mkewe) ujumbe huo.
Tena mwambie akakamae na kumkazia macho wakati akiyatamka hayo iwapo atashindwa mkumbatia.
 
mimi namshauri akifika nyumani atulie amsikilize mkewe akiwa mkali amwambie kumbe mke wangu unanipenda sana hutaki hata niibe nje kidogo nilikutumia hii masage niangalie upendo wako kwangu sasa basi nimekubali unanipenda na naahidi kukupenda daima.
hapo najua atatulia hatakuwa na ubishi wowote.
 
Mnafundishana uovu! Hivi hapa jf kumbe ni darasa la wale wanaoelekea ile njia pana? Your days are numbered!
 
...panic ya nini, kwani jana hakulala kwake? amwambie ndio kamtumia yeye (mkewe) ujumbe huo.
Tena mwambie akakamae na kumkazia macho wakati akiyatamka hayo iwapo atashindwa mkumbatia.

Panic ya ninin? hehe, inategemea kama huo wepesi alipunguza 'jana'kwa mkewe!

Mtoa mada
Sasahivi ndio anajua kuinusuru ndoa?!?! kuna watu wanachukulia wenzao for granted kweli kweli:)) Mshauri amuache mkewe ili asimuache yule 'dear'...
 
Mwambie aache Uma.....ya!Mnakua na wake wa kazi gani kama mapenzi matamu mnapata kwingine?
 
...panic ya nini, kwani jana hakulala kwake? amwambie ndio kamtumia yeye (mkewe) ujumbe huo.
Tena mwambie akakamae na kumkazia macho wakati akiyatamka hayo iwapo atashindwa mkumbatia.

Mbu ni wewe?haya bwana....mie wkati wangu wa kasheshe home hii ilinitokea, akajua mkewe ana akili ya kushikiwa so alijua hakutakalika kabisa japo tupo kweny matatizo, ilikuwa kinyume, alivyorudi job ckumuuliza lolote, anasalimia mara mbili mbili kuhakiki kama naitika, kilimuuma roho sana alikuja kutoa maelezo mwenyewe baada ya kutaka tuweke mambo sawa, wanaume cjui muwekwe kwenye kundi gani kwa kweli.
 
Ndo zako eh! Ukiwa unamdanganya mkeo jisura lako linakuwa hivi :bored:
 
Ama kweli za mwizi arobaini, nikiwa naendelea na kazi zangu humu ofisini kuna rafiki yangu mmoja amekuja ofisini kwangu macho yamemtoka, sijamuuliza tayari akanipa simu yake na kunionyesha sms ambayo kwa wakati huo ilikuwa bado ipo juu ya screen. Aliposcroll hadi chini nikaona ni jina na namba ya mke wake. Ujumbe ambao uliforwadiwa na mywife wake uliandikwa hivi: "SIKUTEGEMEA KAMA UNA MAPENZI MATAMU NAMNA ILE, YAANI JANA NIMELALA MWEPESI NA HATA KWENYE NDOTO ZANGU WEWE NDO ULITAWALA, NAAHIDI SITOKUACHA DEAR!". Sababu ya kuja kwangu mbio ni kunieleza kosa alilofanya na kuniomba ushauri ili akakabiliane na mkewe nyumbani. Nimebaki nacheka ingawa jamaa anataka kulia na nikamuahidi tukapate lunch pamoja ili tuchakachue ishu. Nimshauli vipi jamaa huyu ili wainusuru ndoa yao?
icon6.png

Nazeeka vibaya huo ujumbe uliforwadiwa na mkewe kutoka wapi?? Nisamehe sijui njaa kama sijaelewa
 
Hakuna cha kufanya na asubirie matokeo tu,maana anaweza kupanga jambo na lisitokee kwa mkewe hivyo kila litakalotokea itategemea na mkewe atakavyokuwa kwa wakati huo.
Jamani tupunguze kutoka nje,hivi na mkeo nae akitoka nje mtakuwa salama na magonjwa mengi tuliyonayo?Au ndio siku hizi mnajidai na kujifariji na kikombe cha babu?
 
Panic ya ninin? hehe, inategemea kama huo wepesi alipunguza 'jana'kwa mkewe!

Mtoa mada
Sasahivi ndio anajua kuinusuru ndoa?!?! kuna watu wanachukulia wenzao for ganted kweli kweli:)) Mshauri amuache mkewe ili asimuache yule 'dear'...

Tena jamaa alinidokeza kwamba jana yake alichelewa sana kurudi nyumbani na alimweleza mkewe kwamba amechoka sana na kazi na hivyo hakumgusa mkewe kabisa! Kupanic kwake ni juu ya kulala mwepesiiiiiiiii!
 
Mnafundishana uovu! Hivi hapa jf kumbe ni darasa la wale wanaoelekea ile njia pana? Your days are numbered!

Hakuna anayefundisha mtu uovu hapo...watu wanajribu kuokoa ndoa hapo! Ngoja yakukute ndio utaona umuhimu wa kupata ushauri humu.
 
...panic ya nini, kwani jana hakulala kwake? amwambie ndio kamtumia yeye (mkewe) ujumbe huo.
Tena mwambie akakamae na kumkazia macho wakati akiyatamka hayo iwapo atashindwa mkumbatia.

Hata kama alilala tatizo ni kama hawakunanihii.......maana sio kila siku mna...........
 
Mbu ni wewe?haya bwana....mie wkati wangu wa kasheshe home hii ilinitokea, akajua mkewe ana akili ya kushikiwa so alijua hakutakalika kabisa japo tupo kweny matatizo, ilikuwa kinyume, alivyorudi job ckumuuliza lolote, anasalimia mara mbili mbili kuhakiki kama naitika, kilimuuma roho sana alikuja kutoa maelezo mwenyewe baada ya kutaka tuweke mambo sawa, wanaume cjui muwekwe kwenye kundi gani kwa kweli.

...lahaula! ...dada'ngu kipenzi, najaribu kuokoa ndoa hapa. Nisamehe, wan'jua nduguyo siyapendi mambo haya, ila madhara ya kuachana ni makubwa zaidi.
 
Kama hujao useme wewe ndiye uliandika hiyo sms kwenda kwa mtu wako, kama umeoa tafuta jamaa yenu ambaye hajaoa aseme yeye ndiye aliandika kwa mtu wake. Illa mwambie huyo jamaa yako aache ufenenge, mtu ana mke mzuri hivyo halafu aenda kwa Vibiriti Ngoma!!
 
Hapo hakuna ujanja labda apoteze simu na ajitetee kuwa hiyo meseji imetumwa na wezi wake wa simu..
 
amwambie ukweli na kuomba msamaha, siku zake za kuiba nje zimefika ukongoni.
 
Back
Top Bottom