Msaada | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by donlucchese, Apr 1, 2011.

 1. donlucchese

  donlucchese JF-Expert Member

  #1
  Apr 1, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 9,355
  Likes Received: 3,492
  Trophy Points: 280
  Joseph na Joyce ni wanandoa wanaoishi pamoja. Jose aliamua kumleta mdogo wake wakiume Jonathan kuja kuish nao. Mda si mrefu Jose akapata safar ya kikazi Kualalumpar na kumwacha mdgo wake na mkewe tanzania. Muda ulipita huku Jonas na Joyce wakiishi bila matatizo yoyote. Pale nyumbani walikua wanaogea bafu moja aina ya bath tub(kama sinki lakuogea). Jonas alikua na mtndo wakujichua(masturbation) akiwa anaoga,na kama inavobainika kisayans kwamba manii huweza kukaa kwenye conducive environment kwa muda wa siku 2-3 alive. Joyce baada ya muda mfupi akajakugundua kua ni mjamzto bila kujua kilichosababisha. Naam,bwana Jose kapga simu anawasili nchni. Je,joyce atamweleza nin jose aweze kumwelewa? Naomba maƶn yako
   
 2. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #2
  Apr 1, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  c amwambie ni mimba ya kwnye sink la kuogea? Ila hii imekaaje? Ina mana wanashea maji ya kuogea? Huu sasa uchafu wa hadharani! Ckubali bana!
   
 3. m

  mbweta JF-Expert Member

  #3
  Apr 1, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 600
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Jonas kakubali alikuwa anapigia nyeto au assumption? Basi mke awe wa jonas kaka m2 ndo shemeji.
   
 4. donlucchese

  donlucchese JF-Expert Member

  #4
  Apr 1, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 9,355
  Likes Received: 3,492
  Trophy Points: 280
  Inaweza ikawa ni slightly mistake lakn ndo ishatokea,so we unashaur nn
   
 5. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #5
  Apr 1, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  Mhhhhhhhhhhhhh
   
 6. Remmy

  Remmy JF-Expert Member

  #6
  Apr 1, 2011
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 4,718
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Mmmm, its unbelievable story. Kazi ngumu kwelikweli.
   
 7. sweetdada

  sweetdada JF-Expert Member

  #7
  Apr 1, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 540
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Duh!hii story ya kusolve puzzle sasa..tungo tata
   
 8. donlucchese

  donlucchese JF-Expert Member

  #8
  Apr 1, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 9,355
  Likes Received: 3,492
  Trophy Points: 280
  yeah ni pasua kchwa. Vp ushaur wako
   
 9. Susy

  Susy JF-Expert Member

  #9
  Apr 2, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 1,450
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  hadidhi za kwenye magazeti!!

  si amwambie niya roho mtakatifu???
   
 10. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #10
  Apr 2, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Mmmmmmhhhh Shigongo type hiii kitu mmmhh sijui ngumu lakini
   
 11. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #11
  Apr 2, 2011
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  mmm japo kisayansi inawezekana kweli lkn huo mtata ni mkubwa.
  sipati picha reaction ya bwana joseph.
   
 12. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #12
  Apr 2, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,701
  Likes Received: 418
  Trophy Points: 180
  kumbe mimba inaingia kirahisi namna hiyo! bac nitawatia mimba wengi kwa style hii
   
 13. S

  SARAWAT Member

  #13
  Apr 2, 2011
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 38
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Acha story za Abunwasi, yaani wana janvi nilikuwa nawaona great thinkers, hata kwa hili mwashindwa ona kabisa. Hayo
  yanaweza kaa siku tatu kama watu wamejamiana, na ni ndani ya mwanamke, siyo kwenye sink la kuogea. hilo jamaa analosema ni uongo mkubwa, impossible under this earth
   
 14. m

  mamakunda JF-Expert Member

  #14
  Apr 2, 2011
  Joined: Jul 4, 2010
  Messages: 371
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Wewe unatudanganya, sinki si sehemu muafaka ya kusurvive manii, yaani mazingira ni totally different
   
 15. N

  Ntulwe New Member

  #15
  Apr 2, 2011
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hili haliwezekani,ni hadithi za vijiweni.
   
 16. donlucchese

  donlucchese JF-Expert Member

  #16
  Apr 2, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 9,355
  Likes Received: 3,492
  Trophy Points: 280
  hahaha
   
 17. Mayasa

  Mayasa JF-Expert Member

  #17
  Apr 2, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 587
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Labda dr Riwa aje atusidie jibu kama alishawahi kusikia kesi kama hii katika pita pita zake
   
 18. Onambali

  Onambali Member

  #18
  Apr 2, 2011
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 68
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naona hapa hakuna ukweli katika hoja hii. Natoa somo kidogo, samahani nitachanganya kimombo na kiswahili.


  During mans' ejaculation, usually sperms mix with accessory fluids (formed by seminal vesicles, cowper's glands, and the prostate gland) to form semen. The roles of the accessory fluids are: to provide energy required to move the sperm forward to the upper vagina, to provide alkaline environment that activates the sperm and provision of optimum chemical environment for the sperms. Then this mixture (semen) is deposited inside the vagina through copulation. Once deposited within the vagina, sperm cells move to the upper vagina (via contractions from the vagina) through the cervix and across the length of the uterus toward the ovum. Thermotactic and chemotactic gradients are involved in sperm guiding towards the egg cell. It is here that fertilization may occur if an "egg" is present. The trip of the sperms is fraught with heavy mortality. An average human ejaculate contains over one hundred million sperm, but only a few dozen complete the journey, arriving within 15 minutes of ejaculation. And of these, only one will succeed in fertilizing the egg.


  Conclusion. Sperm ndani ya sink la kuogea naamini inakosa mazingira haya. Hata kupitia in vitro na artificial insermination, huwa kuna mazingira yanayoandaliwa ili fertilization i-take place. Ni vizuri Joyce awe mkweli kusema kwamba Jonas amejiamiana naye, asitoe visingizio
   
 19. PAS

  PAS JF-Expert Member

  #19
  Apr 2, 2011
  Joined: May 3, 2010
  Messages: 452
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Moderator delete this topic..
  Impossible
   
Loading...