Jamani tunakumbuka kanuni ya ABC ya kupunguza kasi ya kuenenea kwa HIV? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani tunakumbuka kanuni ya ABC ya kupunguza kasi ya kuenenea kwa HIV?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Gosbertgoodluck, Apr 3, 2011.

 1. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #1
  Apr 3, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Wandugu,
  Nimeona wikiendi hii niwakumbushe ile kanuni ya ABC ya kupunguza kasi ya kuenea kwa virusi vya ukimwi. Kwa wale wasiojua ABC ni kifupi cha maneno yafuatayo:-

  A: Abstain
  B: Be faithful
  C: Condom

  Mimi maishani mwangu nimeamua kutumia 'A' na ninaishi kwa amani sana. Wenzangu mnatumia ipi?
   
 2. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #2
  Apr 3, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 160
  Halafu na wewe bana sema kuenea kwa Virusi Vya UKIMWI badala ya HIV.

  Mie natekeleza B
   
 3. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #3
  Apr 3, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Asante DA. Nimerekebisha tayari. Hongera kwa kutumia 'B'. Una uhakika mwenzio nae ni faithful?
   
 4. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #4
  Apr 3, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 160
  Gosbert bana mie siwezi kumsemea moyo mtu bali mimi mwenyewe dear
   
 5. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #5
  Apr 3, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Ndiyo maana miye naogopa kutumia hiyo B. Kama partner wako ni mwaminifu basi ni raha tupu.
   
 6. LD

  LD JF-Expert Member

  #6
  Apr 3, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Mi natumia A na C.
   
 7. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #7
  Apr 3, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 160
  Kisa nini mpaka uwe muoga wa B????
   
 8. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #8
  Apr 3, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Mmmhhhh, mbona hizo zinakinzana kwa namna fulani!! Any way, kila mtu na lwake!
   
Loading...