Mapenzi college. Sasa kimefunguliwa

Yahemovich

Senior Member
Jan 20, 2011
170
3
Jamani kunajamaa yangu alimpata binti mmoja miezi minne iliyopita wakapeana sana maluv duvi sasa wameachana ghafla jana amepigiwa simu na dada yake wakati wakiagana akaambiwa "msalimie wifi yangu" akajibu kuwa ashamwacha kwasababu alianza kujifunza uongo dada yake akamwambia "wanaume wakichaga ndivyo mlivyo, hamjui mapenzi" sasa Je ni kweli wanaume wakichaga hawajui mapenzi?
 
ni kweli hawajui mapenzi wao wanajali sana pesa na mali. mapenzi kwao ni optional kwao
 
:disapointed::disapointed:
 
ni kweli hawajui mapenzi wao wanajali sana pesa na mali. mapenzi kwao ni optional kwao

mapenzi ya siku hizi yanahitaji sana vitu hivyo. hatya wanaoimba bongo fleva wameshaimba sana kuhusiana na hilo. kweli mapenzi hawajui lakini mali zao zinawavutia wadada kibao.
 
Uchagani ni kuijaza dunia na kuongeza nguvu kazi, pesa ipatikane. malovee wajue wap? Ni hulka ya wachaga, kike na kiume.
 
mapenzi ya siku hizi yanahitaji sana vitu hivyo. hatya wanaoimba bongo fleva wameshaimba sana kuhusiana na hilo. kweli mapenzi hawajui lakini mali zao zinawavutia wadada kibao.

ni kweli kuwa pesa na mali zinavuta wadada lakini hayo mapenzi ni ya nani sasa maana matajiri wanatendwa na masikini wanaachwa!
 
hmm! Lizzy inaonekana we mkali, eeh! maana post zako..!! n'wayz hop upo guda:love:

Ahhh watu wanatuandama sana.....alafu pamoja na kutusema sana bado kaka zetu wanaoa na tunaolewa kwa wingi kama siafu!!!
Niko pouwaaa......hope ijumaa yako iko fresh!
 
CRAP!Mambo ya kulebo makabila yamepitwa na wakati!

Thanks Lizzy

juzi mwingine kaja anataka sifa za mzaramo sijui, huyu leo mchaga!! kesho atauliza rangi, keshokutwa dudu fupi au ndefu ipi nzuri

mimi simo nilikua napita tu!!
 
We susy acha kuzingua kama unataka dudu we nipm kwa pembeni tu nitakuhudumia, sio unasemea pembe ili wanishauri kukuomba wakati mi ni wakujiamulia tu, nipe hiyo tinginya.
 
Dahhh
kwa Wachaga
kuna pesa,mali
And super super good ***...
Not so much luvi dave
but they do know how to
Look after there ladies

P. S ~ sintojibu swali lelote Amen
 
Ukimaliza kuuliza wanaume wa kichaga uje uulize wanaume wakiislamu au wakristu, halafu uje uulize wanaume madaktari, maafisa mipango nk, halafu wanaume wafupi au warefu na mengine meeeengi
 
mi nitakûulîzia wewe huenda tukadumu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom