Honeymoon

samanya

Member
Feb 1, 2011
48
6
Habari zenu.
Hivi usiku wa siku ya kwanza ya fungate wanaharusi wanaweza kufanya tendo la ndoa kutokana na jinsi wanavyokuwa wamechoka kutokana na pilika pilika za harusi?
 
Kama wamechoka si wata Do asubuhi sio lazima iwe siku hiyo hiyo! Vp akiwa yupo hangani utafanya hivyo hivyo?
 
Mh! Maswal mengine magum utadhan mtihan wa Physcs bana!! C ufnge ndoa then uone km utaweza ku Do cku hyo hyo au?
 
du jamaa ana wasiwasi asipodo night iyo demu anaweza ....
wanasema kisheria et lazima muhitimishe ndoa kwa ku do

maelewano tu km kufunika au kufunua
 
Through experience:
We never had it during our two years courtship and our weding day's reception went together with the inner party.
Sikula mchana siku hiyo due to anxiety na kanisani misa siku hiyo ilikuwa ndefu. Baada ya kula
Ukumbini tuliruhusiwa saa nane; hao hotelini.
Though I was tired but I still had an obligation to consumate my ndoa.
Uchovu ulitutoka na tu ka- consumate ndoa yetu hadi morning!
Ni miaka tisa sasa tuna dume na jike, lakini naukumbuka saaaana usiku ule.
 
Mhh kama ni kubanjua bikira ni ngumu kusubiri asubuhi!ila kama ni kubariki ndoa ambapo ndio mtindo wa siku hizi unakuta bibi harusi ana mimba ya miezi 5 hapo mwaweza piga neutral kwa kua mmezoeana!
 
Through experience:
We never had it during our two years courtship and our weding day's reception went together with the inner party.
Sikula mchana siku hiyo due to anxiety na kanisani misa siku hiyo ilikuwa ndefu. Baada ya kula
Ukumbini tuliruhusiwa saa nane; hao hotelini.
Though I was tired but I still had an obligation to consumate my ndoa.
Uchovu ulitutoka na tu ka- consumate ndoa yetu hadi morning!
Ni miaka tisa sasa tuna dume na jike, lakini naukumbuka saaaana usiku ule.

mlifanya tangia hiyo saa nane-tisa hadi asubuhi??? he he he he, if yes,hongereni sana ndo raha ya kusubiri!
 
Possible broda/sis ila inategemea...

For my case nakumbuka pilika zilituacha tumechoka lakini tulimaliza mapema kama saa 2:30 usiku then tukaelekea hotel na mwenzangu alinitaarifu wazi kuwa amechoka na angependa apumue kidogo na kushusha pressure na anxienty za siku hiyo...

that was simple to agree to my part kwa sababu mwenyewe pia the whole day was more than mchoko............we had some romantic experience then tukapumzika na by saa 7 hivi hakukuwa tena na USINGIZI bali PUMZI za JUUJUU utafikiri tumebwanwa mbavu and we started to have our sexual experience...it was nice

Cha muhimu ni kusikilizana usijemkandamizia mwenzako wakati kachoka na anaweza asiperform vizuri then ikawa taabu hasa wale ambao ndio mara ya kwanza ku-do
 
Habari zenu.
Hivi usiku wa siku ya kwanza ya fungate wanaharusi wanaweza kufanya tendo la ndoa kutokana na jinsi wanavyokuwa wamechoka kutokana na pilika pilika za harusi?

cpati picha ukute bibi harusi mbagala pananyesha mvua.
 
Nimezipenda hizi....

Possible broda/sis ila inategemea...

For my case nakumbuka pilika zilituacha tumechoka lakini tulimaliza mapema kama saa 2:30 usiku then tukaelekea hotel na mwenzangu alinitaarifu wazi kuwa amechoka na angependa apumue kidogo na kushusha pressure na anxienty za siku hiyo...

that was simple to agree to my part kwa sababu mwenyewe pia the whole day was more than mchoko............we had some romantic experience then tukapumzika na by saa 7 hivi hakukuwa tena na USINGIZI bali PUMZI za JUUJUU utafikiri tumebwanwa mbavu and we started to have our sexual experience...it was nice

Cha muhimu ni kusikilizana usijemkandamizia mwenzako wakati kachoka na anaweza asiperform vizuri then ikawa taabu hasa wale ambao ndio mara ya kwanza ku-do

Karibuni....

Back
Top Bottom