Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Yeye anajiita "Non-Celebrity" akiwa na maana kuwa yeye sio mtu maarufu. Ameniomba nimuwekee hadharani nia yake ya kutafuta mchumba katika jamvi la WanaJF. Kwa kifupi amesema yeye anafanya kazi...
0 Reactions
70 Replies
7K Views
igweeeeeeeeeeeeee!! jf. kwa muda sasa watu wamekuwa wakiwatafuta wenza kupitia forum hii, sasa nashangaa kwa nini hawaleti mrejesho nyuma(feedback)??. Yaani kama kwa babu watu wanagonga kikombe...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Habari wana MMU,. Mwaka mmoja nilikutana na mdada mzuri sana, tukapendana. Uchumba ukatimia, tukavishana pete yetu! Tatizo mdada akawa anakavmba kchwa, nkmpigia cm anagoma...Anafoka! Nikawa...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Mimi ni msichana wa miaka 28!nimekua na mahusiano na mkaka mwaka sasa na hapa nilipo ninaujauzito wake wa miez 9.tatizo ni kwamba jamaa alikua anasumbua sana swala la kuwaambia wazaz wake kuja...
0 Reactions
130 Replies
10K Views
Asalam aleykum wadau wote, mimi ni kijana mwezenu na nimeoa miaka 3 iliyopita na nimejaliwa Mtoto mmoja wa Kike wa kuzaa..kilichonisukuma kuandika mada hii ni kupata ushauri kutoka kwenu kwani...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
He's worth $43 million dollars but Hugh Hefner is not putting a pre-nuptial agreement in place with new wife Crystal Harris. The 84-year-old mogul is apparently unconcerned by any suggestion...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Nina rafiki yangu mmoja ambaye anaishi wilaya ya kinondoni (eneo na mtaa sitataja kwani ni kisa cha kweli) yeye na mke wake walikuwa wamejaliwa kupata mtoto mmoja. Rafiki yangu huyo siku moja...
0 Reactions
50 Replies
9K Views
Nilikua naangalia muvi ya kihindi iitwayo 'Khabi Kush Khabi Gham' ambayo kwa wale walioiona ni yakuteka hisia. Kwa kifupi inahusu kijana ambaye ni mtoto wa tajiri mkubwa lakini akatokea kuzimika...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
ndoa takatifu
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Mimi Imma wa Moshi, natafuta rafiki wa kike wa kuchat naye through sms, naomba ambaye anapenda sana kuchat plz no yangu ni 0766116471.
0 Reactions
23 Replies
3K Views
...kwa kina mama wote. Mothering Sunday ...is a Christian festival celebrated throughout Europe that falls on the 4th Sunday in Lent. Secularly it became a celebration of motherhood. It is...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
I must say it is a combination of excited and unaware that some ladies do take me too seriously. There is this particular lady whose heart I must have torn to pieces. She is very beautiful but...
0 Reactions
43 Replies
4K Views
Jamani mi najishangaa sijui nimerogwa yaani nikishamfunua tu msichana mara moja hata kama ni mrembo vipi sitamani hata kurudia tena hadi nipate mwingine nakuwa namuona kero nnachojali ni mahitaji...
0 Reactions
66 Replies
5K Views
Do broken hearts get back home? Or where do they go?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jamani warembo wazuri wa sura, maumbile, rangi macho, pua, sauti waliokamilika kila idara nawaona wengi tu na kila kona tatizo kila ninaetaka kumtakeover anakuonesha mtoto mgongoni na hana ndoa...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Nina rafiki zang walizaliwa mapacha wana asili ya kihindi. Inasemekana mama yao alikuwa na huusiano na mhindi m1 ambaye ni tajiri tu. Lakin kutokana na wahindi hawaruhusiwi kuzaa nnje ivo kuogopa...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Ndugu zanguni mimi ni kijana wa kibongo miaka 30, mbantu halisi na mkrisitu. Natafuta mchumba. Sifa: awe mwarabu au Mhindi na pia awe mcha Mungu mkristu. Umri kati ya 20-25. Maisha ni majaliwa...
0 Reactions
44 Replies
8K Views
Hellow... Nina umri wa miaka 31 naishi rocky city (Mwanza),Nahitaji girl friend wa Kiarabu au kihindi ambaye anaishi Tanzania,umri 20-30. Ambaye yuko tayari na serious tuwasiliane 0777 227972...
0 Reactions
66 Replies
6K Views
mtu una mpenz wako,mnawasiliana sana kwenye simu na muda mwingi wewe ndo unampgia au kumuanza kumtext then yeye ndo anafatia. Tatizo linakujaje? Siku ukiamua kama kuuchuna ivi uone,mwenzako ndo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kila nikiona post ya m2 anatafuta mchumba nakimbilia jinsia nakuta ni wanaume kwa wasichana nadra sana. Je wakina dada ikitokea umempenda m2 kwel waweza mwambia direct?
0 Reactions
42 Replies
3K Views
Back
Top Bottom