Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

NDOA ni shida tupu�sioni kama kuna umuhimu wa kuoa au kuolewa,� ndivyo wengi wanavyojisemea. Hayo ni mawazo ambayo wengi siku hizi wanayakuza. Ni kweli ndoa zina matatizo, kama...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Don't worry about the calories in those Valentine's Day chocolates – a proper celebration in the bedroom can help keep you in shape. In fact, sex can benefit your health in many ways. Here...
1 Reactions
33 Replies
4K Views
Wadau naombeni mnijuze kwa hili. Unapokuwa kwenye serious relationship means unaishi na mwanamke au umeoa.Je bill zote na gharama zote i mean outing,hospital,rent,shelter,cloth,saloon,fees and...
2 Reactions
27 Replies
3K Views
fall in love with your destination(know exit strategy than entry strategy) halelluya haleluya namshukuru mungu kwa ktupa siku nyingine tena tuweze kupeana neno la mungu na kulishana kiroho...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Jamani nilikuwa nasikiliza BBC sasa hivi nimecheka sana. Nchini Burundi akina mama na kina baba walikuwa wanahojiwa kuhusu mwanamke kutibiwa na daktari wa kiume hasa wakati wa ujauzito. Akina...
2 Reactions
74 Replies
10K Views
Ndugu zangu wanaJF,mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 sasa,ni mwanafunzi katika moja ya vyuo vikuu hapa nchini,nimekuwa kwenye uhusiano na mabinti tofauti tofauti tangu nilipokuwa form2,tatzo...
0 Reactions
41 Replies
3K Views
Naposema ni kama mimi namaanisha alokutwa na yalo nikuta mimi...mpenzi wangu aliniacha mwaka 1 uliopita na akaolewa. Niliumia sana nikakata tamaa ya kupenda tena...ila naona kwa sasa maumivu...
1 Reactions
27 Replies
4K Views
Hi wapendwa wangu za jumapili, nimekuja leo naomba ushauri kwa hili linalonisibu, nina partner wangu tuko nae muda kidogo, nampenda na yeye ananipenda na kunijali sana, kuna hali imejitokeza...
5 Reactions
85 Replies
9K Views
Wengine wanaenda kuoa vijini, wengine hawataki wa vijijini wanataka wa hapahapa mjini, wanasema wakioa wa vijijini wakifika mjini wanazibuka na kuyalimbukia maisha. Jamani kati ya wa bush na wa...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Mara nyingi nimekuwa nikisoma matangazo kwenye magazeti fulanifulani nakutana na tangazo linalohusu dawa ya kuongeza ukubwa wa maumbile kwa wanaume.Je hizi habari ni za kweli na kuna mahusiano...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wapendwa Habari za weekend? Najua karibu kila mmoja wetu amewahi kumkosea/kosewa mwandani wake, awe mume/mke, mchumba, boy/galfriend, nyumba ndogo/ATM/MBA wake. Sisi sote tu binadamu na kukosea...
14 Reactions
77 Replies
6K Views
Nimezaa nae watoto wawili,tumeishi miaka 12,nampenda sana ila alishanihakikishia katu hatobadili dini,iwapo nataka mke mkristo nioe,wanangu bado wadogo mmoja miaka 7,wa pili miaka 4. Kiimani sipo...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Ukweli napowaona wanaume wenzangu hasa wanaopenda sana wanawake/mademu huwa najiuliza maswali kibao kuhusu hizi lolipop! Utakuta mtu anajisifia eti ashatembea na wanawake kibao wakati mwingine...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
tunawashukuru sana wadau wanao tembelea huku kusin na slogan yao ya dondosha mkono sweta jamani kwa wale ambao wapo na hawaja dondosha mkono sweta tafadhari waungeni mkono hawa jamaa
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Dada huyu ni mtoto wa mama wa kambo wa rafiki yangu niliyesoma nae shule ya msingi;huyu dada yetu ni mfanyakazi wa kampuni moja ya usafirishaji,ameolewa,tatizo ni kuwa ali wahi kuwa na uhusiano na...
1 Reactions
117 Replies
9K Views
) Dress to Kill - all the time: No I don't intend that You wear that $5000 suit to the grocers or the Rolex to walk the dog. What I want you to do is is to dress decently each time you hit the...
4 Reactions
10 Replies
6K Views
Habari wakuu,jamani naomba kufahamishwa jambo moja linalo nisumbua kichwa changu, kuna binti mmoja mwenyeji wa kilimanjaro,nina mpenda sana na tumepeana ahadi ya kuishi pamoja katika maisha ya...
0 Reactions
49 Replies
5K Views
Natafuta mchumba jaman kijana mtana shati wa kitanzania nina umri wa miaka 24 mrefu mweupe nataka binti anayejiamin mrefu wastani miaka 18-23 awe na elimu angalao kidato cha sita na kuendelea kana...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Yani humu ndani kina Da Sophy wanatamani kuninyonga kwa msimamo wangu wa kupinga aina hii ya uzazi. Narudia kusisitiza kuwa si haki hata kidogo kwa mwanamke kukusudia kumzaa mtoto katika mazingira...
2 Reactions
80 Replies
6K Views
Kumbe baadhi ya story za magazeti ya udaku wanazitoa hapa jamvini...Hii nimethibitisha ile story ya Asprin ''Ulikuwa wapi siku zote...eeh!! wamecopy na kupaste katika gazeti la Risasi...
0 Reactions
73 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…