tuungane kupinga uzazi unaotokana na infidelity | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

tuungane kupinga uzazi unaotokana na infidelity

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mtu B, Jan 22, 2011.

 1. M

  Mtu B JF-Expert Member

  #1
  Jan 22, 2011
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 921
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Yani humu ndani kina Da Sophy wanatamani kuninyonga kwa msimamo wangu wa kupinga aina hii ya uzazi. Narudia kusisitiza kuwa si haki hata kidogo kwa mwanamke kukusudia kumzaa mtoto katika mazingira ya infidelity, mnawakosea watoto haki zao kutokana na starehe zenu wenyewe huko, ni ubinafsi na ni ufisadi.
   
 2. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #2
  Jan 22, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  si mwanamke tu ..
  hii inaenda kwa kila mtu..
   
 3. LD

  LD JF-Expert Member

  #3
  Jan 22, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Naona umekuja kivingine, nakubaliana sana na huo msimamo wako, lakini nauchukia pia kwa sababu unaambatana na kiburi, dharau na matusi.

  Unakuwa kama huishi kwenye dunia hii, ambayo hata Bwana Yesu alisema Tunaishi kwa Neema sio kwa matendo ya sheria. Unakuwa kama vile wewe hujawahi kutenda dhambi, wala hutendi dhambi.

  Ashukuriwe Mungu kwa sababu yeye haangalii kama mwanadamu anavyoangalia, Siku moja Mfalme daudi alimkosea Mungu, akasema ni afadhali kuangukia ktk mikono ya Mungu kuliko kwene mikono ya mwanadamu.

  Napingana na uovu wa namna yoyote na ninamheshimu Mungu. Lakini sipendi mtu anaekemea dhambi kwa kiburi na matusi, zaidi hata ya Mungu mwenyewe anavyotuonya.

  BARIKIWA
   
 4. M

  Mtu B JF-Expert Member

  #4
  Jan 22, 2011
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 921
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Nakubali, lakini angalao nafahamu kuwa watoto wanaumizwa sana na hii hali, na kikubwa zaidi ni kuwa mwanamke ana control kubwa zaidi ya mimba kuliko mwanaume. Na pia wapo wanaofanya makusudi kabisa, eti wanasema 'nataka nizae watoto wangu 2' bila kujali baba yao ni nani.
   
 5. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #5
  Jan 22, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  mmhh wewe hapo sasa sikubaliani nawe..

  mimba ni tendo la watu wawili...
  hii ndo ile mwanamke akipata mimba lakini hataki kuseema mume nani
  wote wamuoa muhuni/malaya..
  lakini hembu acheni hayo mwambo ya ku wa depress wanawake..

  simple hutaki mtoto vaa condom..
  hii yaa kusema wanawake ndo wazuie mimba sikubaliani nawe kabisa..
  wote wa weza kufanya hilo nani jukumu lenu wote...
   
 6. M

  Mtu B JF-Expert Member

  #6
  Jan 22, 2011
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 921
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Sizungumzii dhambi, ndio maana sijasema tupinge uzinzi au mambo kama hayo. Nasema tuwatetee watoto, tuungane kuzuia mambo yanayosababisha watoto kuteseka. Hilo tu. Kama kuna mtu anataka starehe yake atumie condom, au kama hataki condom basi afanye njia nyingine za kuzuia hizi wanazoita 'mimba zisizotakiwa', maana hata mtoto anayekuja kuzaliwa kwa mimba kama hiyo anajikuta katika dilemma. Na hata kama mama aliitaka mimba ile, bado mtoto anakuwa katika mazingira yanayomuumiza kihisia. Na sijatukana mtu yeyote, kwani ukimwona mtu akiiba ukamtaja kuwa ni mwizi, umemtukana? Na kuhusu kiburi naona unacho wewe unayetetea uovu bila hata chembe ya aibu.
   
 7. M

  Mtu B JF-Expert Member

  #7
  Jan 22, 2011
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 921
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Kwa hiyo mwanamke asizuie mimba? Azae tu?
   
 8. Darlingtone

  Darlingtone JF-Expert Member

  #8
  Jan 22, 2011
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 393
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kweli kaja kivingine.... kafungua faili la malalamiko...

  Au fanya Vasectomy....

  Jukumu la kuzuia mimba ni sawa na jukumu la kuzuia maambukizi ya magonjwa ya zinaa... ni responsibility yenu wote wawili... sio lawama kwa mwingine, si ungemwaga nje!!
   
 9. LD

  LD JF-Expert Member

  #9
  Jan 22, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Haya baba nimekuelewa, ubarikiwe mpaka ushangae.
   
 10. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #10
  Jan 22, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  sikia dear
  mimi ninachosema swala la mtoto ni watu wawili...

  swala la kusema mwanamke ndo anatakiwa azuie mimba wakati
  wewe unapata starehe zako za kutoa mbegu zako ndani yake
  si kubaliani nalo..

  sikia kama unataka kwenda pekupeku ( hakikisha unatoa kabla maji hayakumwagika)
  kama hilo ni gumu Condom ndo solution ...
  na kwa nini kwanza usivae kama mtu si mkeo?

  jibu lako hilo hapo unalo CONDOM..
  unaua ndege wawili kwa jiwe moja..
  au vipi...
   
 11. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #11
  Jan 22, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  :shock::shock::shock::shock:
   
 12. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #12
  Jan 22, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Eti eheee!!!!!
   
 13. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #13
  Jan 22, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Mhhhh!!!!!!!!!!
   
 14. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #14
  Jan 22, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Umemaliza kabisa
   
 15. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #15
  Jan 22, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  ooohh dear nataka kuongea nawe..
  nime ku miss sana

  ila number siipati lol

  hahahahah lol
   
 16. Darlingtone

  Darlingtone JF-Expert Member

  #16
  Jan 22, 2011
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 393
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nem koling...:ban:
   
 17. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #17
  Jan 22, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Au wameipiga BAN lol!!!!
   
 18. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #18
  Jan 22, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Who me? Lol!!!!!
   
 19. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #19
  Jan 22, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
   
 20. Darlingtone

  Darlingtone JF-Expert Member

  #20
  Jan 22, 2011
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 393
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [​IMG]

  When are you going to stop that?
   
Loading...