Okoa ndoa hii

Eiyer

JF-Expert Member
Apr 17, 2011
28,258
20,708
Dada huyu ni mtoto wa mama wa kambo wa rafiki yangu niliyesoma nae shule ya msingi;huyu dada yetu ni mfanyakazi wa kampuni moja ya usafirishaji,ameolewa,tatizo ni kuwa ali wahi kuwa na uhusiano na chotara mmoja raia wa Afrika kusini ambae alikuwa nchini na kampuni moja ya ujenzi wa barabara,uhusiano wao ulifikia kikomo baada ya kampuni aliyokuwa anafanyia chotara huyo kumaliza kazi yake,baadae dada yetu akapata mpenzi mwingine na wakaoana,dada yetu akapata safari ya kikazi kwenda Zimbabwe ndipo akakutana na ex wake huko,wakakumbushia na dada yetu akapata ujauzito,lakini aliporudi hakumwambia mumewe,kule Zimbabwe alikaa wiki moja,ujauzito ukawa mkubwa na anakaribia kujifungua,mumewe anajua ni ujauzito wake,dada anaogopa iwapo mtoto atafanana na ex wake rangi na nywele kwani ex wake ana nywele lain kama za kiarabu na ni mweupe sana kutokana na kuchanganya mzungu na mwafrika na inaonekana ana uzungu zaidi,mume wa dada ni mweusi wa kutosha na familia yao haina historia ya weupe,dada kachanganyikiwa,kwani mumewe anampenda sana na alipogundua mkewe ni mjamzito alimnunulia gari mpya na alimtafutia daktari special ili kuhakikisha usalama wa mke wake na mwanae kipenzi!
 
Wakati anamumbushia hakukumbuka ana ndoa leo ndo anataka kuokoa??!

Aamue kumwambia mumewe ukweli ili wasije wakakabana kabari hosp au anyamaze kusubiria mtoto azaliwe ili kama hafanani sana na ex aendelee na uongo wake.Ila akae akijua vyovyote vile hiyo ndoa ndo kashaimwagia mchanga. na kuuondoa haiwezekani....cha muhimu atafute jinsi ya kudeal na mtokeo yanayoweza kujitokeza mbeleni..KUACHIKA likiwa moja wapo.
 
Dada huyu ni mtoto wa mama wa kambo wa rafiki yangu niliyesoma nae shule ya msingi;huyu dada yetu ni mfanyakazi wa kampuni moja ya usafirishaji,ameolewa,tatizo ni kuwa ali wahi kuwa na uhusiano na chotara mmoja raia wa Afrika kusini ambae alikuwa nchini na kampuni moja ya ujenzi wa barabara,uhusiano wao ulifikia kikomo baada ya kampuni aliyokuwa anafanyia chotara huyo kumaliza kazi yake,baadae dada yetu akapata mpenzi mwingine na wakaoana,dada yetu akapata safari ya kikazi kwenda Zimbabwe ndipo akakutana na ex wake huko,wakakumbushia na dada yetu akapata ujauzito,lakini aliporudi hakumwambia mumewe,kule Zimbabwe alikaa wiki moja,ujauzito ukawa mkubwa na anakaribia kujifungua,mumewe anajua ni ujauzito wake,dada anaogopa iwapo mtoto atafanana na ex wake rangi na nywele kwani ex wake ana nywele lain kama za kiarabu na ni mweupe sana kutokana na kuchanganya mzungu na mwafrika na inaonekana ana uzungu zaidi,mume wa dada ni mweusi wa kutosha na familia yao haina historia ya weupe,dada kachanganyikiwa,kwani mumewe anampenda sana na alipogundua mkewe ni mjamzito alimnunulia gari mpya na alimtafutia daktari special ili kuhakikisha usalama wa mke wake na mwanae kipenzi!

Hapo kwenye rangi ya bluu ndipo patamu zaidi....!!!
 
Mwambie achague mume au mtoto wa kizungu. Hiyo tabia madada zetu mmeigeuza kama mchezo wa kawaida, yani umeolewa halafu unaendelea na mechi za mchangani? Ona sasa umevunjika mguu na huna bima!!!!!
 
Alafu wewe mhukumu mhusika achana na habari ya sijui dada zako ndio zao....kwani wanaume wote walio kwenye mahuasiano/ndoa wametulia tuli!???
 
Dah, hili pepo la ngono hili, linatuharibia mengi. Atubu tu kwa Mungu wake, amuombe kikombe cha kuachika kimuepuke. Au pia ampe nguvu za kukabidhiana na lolote litakalomkuta.
 
ni mjinga sana, yeye anajua ana mume cha kuiacha hiyo mimba ni nini wakati alijua fika ametembea na mtu mwingine, na isitoshe ni mzungu, wanawake wengine taaabu wanazitafuta wenyewe, asubirie hiyo aibu, kuna msichana namfahamu yeye alizaa africast kabisa eti akawa anakazana kuosha nywele za mtoto na bia ziwe ngumu, sijui alidanganywa wapi, ila hakuachwa, alikuja kuachana na mumewe kwa mambo mengine ya kijinga sana
 
Is it a real story? It looks unreal... anyyway, huyo dada ajiandae kwa chochote kitakacho tokea.
 
ni mjinga sana, yeye anajua ana mume cha kuiacha hiyo mimba ni nini wakati alijua fika ametembea na mtu mwingine, na isitoshe ni mzungu, wanawake wengine taaabu wanazitafuta wenyewe, asubirie hiyo aibu,
Aiseee...kumbe kosa lake lilikua kuacha mimba? !Kaazi kweli kweli!Haya mtoa mada mwambie mhusika afanye mpango wa kupoteza ushahidi!!
 
Nitakua mnafiki kumshauri huyu dada...labda ni suggest tu akapime afya kujua km hakupata maambukizi simply kwa kufanya ngono zembe! Haiingii akilini kua muda wote huyo "chotara" alikua anamsubiri huyo dada na kwa mechi zote alizouza kwake km alikua mwoaji mbona alimwacha solemba? Kwanini shemeji zetu hamjifunzi kutokana na historia za wenzenu?
 
Ha ha akizaliwa tu unamruka anafanana na wewe kila kitu kesi imeisha.:music:
 
Dah...inasikitisha sana..huyu dada anakesi ya kujibu. Nadhan haipendi hiyo ndoa yake na pia hakujali kuwa na hiyo ndoa. Mpaka afikie uamuzi wa kuikubali hiyo mimba ya Ex ni kwamba alijitoa muhanga. ni wazi mtoto atafanana na baba japo kwa vitu vichache kama sio vingi. Ajiandae kwa lolote kwan upendo aliounyesha mumewe wa ndoa ni wa dhati..sasa itakavyokuja kuwa ndivyo sivyo awa tayari kwa lolote

Dada huyu ni mtoto wa mama wa kambo wa rafiki yangu niliyesoma nae shule ya msingi;huyu dada yetu ni mfanyakazi wa kampuni moja ya usafirishaji,ameolewa,tatizo ni kuwa ali wahi kuwa na uhusiano na chotara mmoja raia wa Afrika kusini ambae alikuwa nchini na kampuni moja ya ujenzi wa barabara,uhusiano wao ulifikia kikomo baada ya kampuni aliyokuwa anafanyia chotara huyo kumaliza kazi yake,baadae dada yetu akapata mpenzi mwingine na wakaoana,dada yetu akapata safari ya kikazi kwenda Zimbabwe ndipo akakutana na ex wake huko,wakakumbushia na dada yetu akapata ujauzito,lakini aliporudi hakumwambia mumewe,kule Zimbabwe alikaa wiki moja,ujauzito ukawa mkubwa na anakaribia kujifungua,mumewe anajua ni ujauzito wake,dada anaogopa iwapo mtoto atafanana na ex wake rangi na nywele kwani ex wake ana nywele lain kama za kiarabu na ni mweupe sana kutokana na kuchanganya mzungu na mwafrika na inaonekana ana uzungu zaidi,mume wa dada ni mweusi wa kutosha na familia yao haina historia ya weupe,dada kachanganyikiwa,kwani mumewe anampenda sana na alipogundua mkewe ni mjamzito alimnunulia gari mpya na alimtafutia daktari special ili kuhakikisha usalama wa mke wake na mwanae kipenzi!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom