Mchumba kutoka moshi

JUAN MANUEL

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
6,833
14,193
Habari wakuu,jamani naomba kufahamishwa jambo moja linalo nisumbua kichwa changu,
kuna binti mmoja mwenyeji wa kilimanjaro,nina mpenda sana na tumepeana ahadi ya kuishi pamoja katika maisha ya ndoa,
Tatizo ni kwamba ameniambia kwamba siwezi kwenda kwao kujitambulisha mpaka kwanza nimpeleke yeye kwetu,sababu anayonipa ni kwamba
kwao wapo mabinti watano,na baba mkwe yaani baba yake anawataka binti zake kwanza wapafahamu nyumbani kwa vijana wanaowapenda kabla hawaja waleta kwake ili atoe idhini michakato mingine iendelee.

sasa wakuu naomba kujuzwa hizi ni taratibu za wenzetu wachaga,au vp nisije kuwa napigwa changa la macho,

kwa wababa wenye mabinti je huo ni utaratibu ambao mwaweza kutumia ili kujilidhisha kwamba kijana anayeletwa na binti zenu ni muoaji au.

Mpenzi wangu bado yupo masomoni anahitimu mwezi wa saba
 
Kwani we unaona ugumu gani kumpeleka kwenu kwanza!???Anataka watoto wake wahakikishe wanapajua kwa hao watarajiwa wasije wakaingizwa mjini na kuachwa solemba wakati hata hawajui kwenu mtaa gani.
 
unataka kuoa ama kumchezea? ni vizuri binti akapajua kwako kabla hujaenda kwao maana mara nyingi wanaume wengi tunavyochukuliwa na mabinti ni tofauti. mpeleke kama ulikuwa bishoo wakati kwenu mnalala nyumba za tope na mikeka na bado binti atakupenda basi ndo mke huyo
 
Kwani we unaona ugumu gani kumpeleka kwenu kwanza!???Anataka watoto wake wahakikishe wanapajua kwa hao watarajiwa wasije wakaingizwa mjini na kuachwa solemba wakati hata hawajui kwenu mtaa gani.
Hata mimi nashangaa, kwani kwenda kwao imekua hoja? Huyo binti kafanya vyema, tena akomae mpaka kieleweke! Huyo njemba lazima ampeleke binti kwao, hata km ni uswazi lazima ampeleke. Angekuwa ni dada yangu ningefurah kweli coz km mshkaji ni mchakachuaji ujue wameisha mkomesha hapo!
 
Habari wakuu,jamani naomba kufahamishwa jambo moja linalo nisumbua kichwa changu,
kuna binti mmoja mwenyeji wa kilimanjaro,nina mpenda sana na tumepeana ahadi ya kuishi pamoja katika maisha ya ndoa,
Tatizo ni kwamba ameniambia kwamba siwezi kwenda kwao kujitambulisha mpaka kwanza nimpeleke yeye kwetu,sababu anayonipa ni kwamba
kwao wapo mabinti watano,na baba mkwe yaani baba yake anawataka binti zake kwanza wapafahamu nyumbani kwa vijana wanaowapenda kabla hawaja waleta kwake ili atoe idhini michakato mingine iendelee.

sasa wakuu naomba kujuzwa hizi ni taratibu za wenzetu wachaga,au vp nisije kuwa napigwa changa la macho,

kwa wababa wenye mabinti je huo ni utaratibu ambao mwaweza kutumia ili kujilidhisha kwamba kijana anayeletwa na binti zenu ni muoaji au.

Mpenzi wangu bado yupo masomoni anahitimu mwezi wa saba

mbona hilo ni jambo la kawaida tu?tena si wachaga, bali ni girls makini wanapenda sana
kuweka mambo hadharani.wewe kumpeleka home ndo unaona mtihani?, kwa hiyo wewe hupendi
akujue kwenu? au ulimdanganya mwanzoni, ....home kuna maji ya dawasco kumbe wewe unatokea kijijini kigoma?
 
Kwani we unaona ugumu gani kumpeleka kwenu kwanza!???Anataka watoto wake wahakikishe wanapajua kwa hao watarajiwa wasije wakaingizwa mjini na kuachwa solemba wakati hata hawajui kwenu mtaa gani.

wala hakuna ugumu dada lizzy,hili jambo nilikuwa naliona geni,nitampeleka tu hm,bk sio mbali
 
asante mkuu,nimekusoma home atafika tu binti,tangu mwanzo nilikuwa mkweli,
 
unataka kuoa mchaga???? poleeeeeeeeeeeeeee....................... hawana mapenzi zaidi ya pesa........ UTAKUJA KUNISIMULIA!!!!
 
wala hakuna ugumu dada lizzy,hili jambo nilikuwa naliona geni,nitampeleka tu hm,bk sio mbali

hakuna geni hapo, ni kweli msichana ni vema na ni kawaida kabisa kwenda kwao mvulana kabla hata ya kwao, ni mara nyingi waxzazi wa mume ndio huwa na ukorofi wa kujitia kumthaminisha binti kabla hajaolewa na wasiporidhika wanakukataza usimwoe. mpe nafasi aende kwenu akakague anachotaka kukagua then uende kwao. mkishaoana mtajipanga upya namna ya kutembelea kwa wazazi wa pabnde zote.
 
mpeleke akapaone kwenu kwanza ndo muende kwao, hata mimi siwezi kukubali kumpeleka mwanaume home kabla sijaenda kwao ni maamuzi mazuri kafanya huyo dada wala hata usishangae ni jambo la kawaida sana
 
Does it real mater. Kwao sijuhi kwetu. Mimi mbona niliolewa na baada ya harusi ndio nikaenda home kwa wakwe zangu. Maana ingekuwa wazazi wako Dar sawa. Sasa niombe likizo hadi ukweni na sijaolewa bado. I loved the man so I did not care about kwao. Though I knew my parents who are in Dar walipeleleza family atokayo hubby in case they have big issue (not their financial status). Mh. My inlaws just accept me through phone and pictures. Kwani wakwe ndio waoaji mpaka issue za kwao na kwetu ziwagonganishe vichwa. Kaazi kweli kweli
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom